Je, Askofu Malasusa anamchukia Mchungaji Kimaro?


Punguza uongo. Unaleta uccm Hadi kwenye mambo ya kanisa?.
 
FEDHA NDICHO CHANZO CHA HAYA YOTE, YESU ALIKEMEA SANA SUALA LA BIASHARA KATIKA MASINAGOG, TUTAZUNGUKA SANA LAKINI CHANJO CHA HAYA YOTE NI BIASHARA KATIKA NYUMBA ZA IBADA.

Acheni kujifanya hamjui sababu kwanini kasimamishwa. Muulizeni awaambie ukweli.
 
Hapo zamani tulizoea kuona mashekhe ndio wakizodoana na mpaka kushikana ajabu Leo mambo yamebadilika wachungaji maskofu wameanza nao zodoana ila ukichunguza kwa hawa maskofu, wachungaji na mapadri ni wivu tu baina yao hususani wale ambao hapo awali walipata kujulikana Hilo kundi halitaki wenzao nao wachipuke so ndio mipasho inaanza hakuna Kingine ni wivu tu
 
Fedha,ndio chanzo cha haya yote!
 
Sasa ukiangalia mfano mdogo tu askofu wa kanisa katoriki anamzodoa wa kanisa KKkT watu ambao wapo maeneo tofauti kimaslahi afadhali kakobe anavyomzodoa mwamposa ukiwaza hawa ni njaa tu maana kazi zao zinafanana upigaji
Fedha,ndio chanzo cha haya yote!
 
Mchungaji Kimaro kupewa likizo mambo yanazidi kuibuka tu, ngoja niendelee kusubiri mapya yajayo.
 
Siku hizi waumini wanakwenda kanisani ili kusikiliza mahubiri ya mchungaji fulani, sio sio kumuomba Mungu tena, naona ushabiki wa watu umeshavamia makanisa.

Lakini kuandamana kutaka fulani arudishwe ni ujinga mkubwa sana, kwani kabla hajapelekwa pale walikuwa wanamjua? na kama hawakuwa wakimjua, kwanini wasiamini yupo mwingine bora au zaidi yake anayestahili kupewa nafasi?

Hii tabia inaenda kutengeneza wachungaji wawe na vichwa vikubwa, wajae viburi, wasiheshimu mamlaka zilizo juu yao, matokeo yake hayo makanisa yataanza kuwa vichekesho.
 
Hili zee kwa kuliangalia tu, utaona lina wivu mkali sana kwa kijana yeyote anayetaka kufanya makubwa popote pale ndani ya himaya yake.

IMANI NDIO UGONJWA MBAYA KABISA WA AKILI KUWAHI KUIKUMBA HII DUNIA
 
Tumuombe na kumuabudu Mungu na sio dini na madhehebu, ila ukisema hivyo utajikuta unashambuliwa haswa kwa sababu ndio ukweli mchungu.
 
ivi Elisha alivyokiwa anamng'ang'ania Eliya alikuwa hajui kuwa wakung'ang'aniwa ni Mungu??
.
unaweza ukawa na haki ya unachokisema lkn jua Mungu hutumia watu wake na kwa hao watu viwango hupishana, waumini hao hawamng'ang'anii kimaro wanang'ang'ania huduma ya Mungu iliyowekwa ndani ya Kimaro.
 

kweli kabisa
 
Na kwanini mumng'ang'anie huyo mchungaji hamjui kwamba kupitia yeye kuna watu mahali pengine wanataka kumjua Mungu kupitia yeye?

Kwamba ninyi Wanakijitonyama ndo mna haki zaidi ya kusikia neno la Mungu?huo ni unibafsi na Mungu haupendi.
 
Nakuunga mkono sana... huyu baba amenifanya nikaacha kwenda kanisani kkkt kabisaaa... Kwanza alikua na kashfa ambazo hatukupewa hata majibu... amebadilisha katiba ili atawale na hii dayosis ameifanya kama Saccos yake
Ni wazi Askofu Malasussa alikuwa wakala wa Dikteta Magufuli, hawezi kumatch na Mch Elionora Kimaro
 
Umeandika WAIZI!
 
Kimaro Hana kashfa?
Kashfa za Kimaro zingewekwa hadharani na viongozi wake hakuna ambae angemtetea! Viongozi wa Kanisa wanamsitiri na ndio maana analalamika kuwa wanampekua pekua!! Ana madhaifu mengi ndio maana anakimbilia huruma ya washirika.
 
Sio kweli kuhusu mkopo kuliwa na hao maaskofu. Ila Dr. Shoo anakula kwa mgongo wa exemption wanazopewa hospitali ya KCMC.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…