Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
kinywaji hiki wanaouza wengi ni waislam tu kwanini?Wakuu kifungua kinywa Ni kitu muhimu Sana Je unapendelea kifungua kinywa gani
Kwa sisi watu wa Pwani lazima tutangulize kiburudisho Adimu kinaitwa Alikasusu Mujarabu.
nb wale ambao kwa bahati mbaya hamjawai kufika hapa Dsm au Zanzibar Jambiani , Tunaomba kuelekea mwisho wa mwaka mtume majina yenu ili tuwachangie maana mnapitwa na Mengi.View attachment 2414014
Ni kinywaji cha Watu wa Pwani,kinywaji hiki wanaouza wengi ni waislam tu kwanini?
Chapati haivutiiFuraha yetu sio pesView attachment 2414026
SI unajua kwetu uswahiliniChapati haivutii
poa,mi asbh inapambwana uji wa lishe.Ni kinywaji cha Watu wa Pwani,
Ni sawa uulize mbona Mbege inauzwa na Wachaga tu