Je, asubuhi yako inapambwa na kifungua kinywa kipi? Mimi lazima ninywe Alkasusus mujarabu

Je, asubuhi yako inapambwa na kifungua kinywa kipi? Mimi lazima ninywe Alkasusus mujarabu

Wakuu kifungua kinywa Ni kitu muhimu Sana Je unapendelea kifungua kinywa gani

Kwa sisi watu wa Pwani lazima tutangulize kiburudisho Adimu kinaitwa Alikasusu Mujarabu.

nb wale ambao kwa bahati mbaya hamjawai kufika hapa Dsm au Zanzibar Jambiani , Tunaomba kuelekea mwisho wa mwaka mtume majina yenu ili tuwachangie maana mnapitwa na Mengi.View attachment 2414014
kinywaji hiki wanaouza wengi ni waislam tu kwanini?
 
Asubuhi huwa namalizia ka KVANT kangu kalikobaki...then natafuta supu ya utumbo na chapati moja kisha ndo nafungua siku sasa
 
nakimbia kwa mangi fasta nachukua sungura nagonga sasa baada ya hapo akili itakavyonituma kitu Cha kula ndio icho icho!
 
Hii hapa
FB_IMG_1668414838591.jpg
 
Back
Top Bottom