Nimeona
Swali la kizushi id name yako unaweza nipa maana yake PM lakini
Nilishajibu huku juu mm ni mshabiki wa liver
Nimejiweka mwenyewe
Hiyo avatar ni mimi mwenyewe...nimejificha sura maana naona aibu sana.
Hapo nilikuwa bar Arusha napata moja moto moja baridi.
Najikubali...ndio maana nimejiweka
Usinicheke bhasi[emoji1][emoji1][emoji1]
This must be good news for me[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeh chura naziona kwa majirani hukooo
AiseeeNimeona
Swali la kizushi id name yako unaweza nipa maana yake PM lakini
Tulia mzee baba niaje lakini mkuuAiseee
I remember it bro, but people are watching we gotta be careful [emoji28][emoji28][emoji28]You like tits, you hate milk.
You remember that thread?
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Nenda tu PM hakutii mimba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaka
Huyo kwenye avatar wala simjui niliona picha imetumwa hivyo group fulani nikashtuka nikajua ni mimi kuifungua nikakuta sio mimi ila tunaendana flani kimuonekano Na hiyo avatar nikaamua kuitumia huku
jamaa alikuwa kabira gani?Huyo kwa avatar yangu ni Shaaban Robert, Baba wa kiswahili. Napenda kiswahili lugha poa sana ndio lugha yangu ya kwanza kuijua(fikra halisi huja kwa lugha asili), sipendi zile " xawa, tantee, jomoni, vepe, na zingine kama izo" Hua namuona fala sana anae andika au kuongea ivo
inabidi upitee tuNapita mkuu
Power/friend of Ghostumeanza maswali ya kipolis
Ayyt man!I remember it bro, but people are watching we gotta be careful [emoji28][emoji28][emoji28]
Sio wa pili duniani sema indiaHuyo kwa avatar ni Shahrukh Khan, king of bollywood. Huwa ananinspire sana. Ukifuatilia story yake alianza chin kabisa bila kubebwa. Juhudi na nidham ndio zimemfanya kuwa muigizaj wa pili kwa utajiri duniani.
Naamin kwenye kila mafanikio kuna siri nyuma yake, siri ya wengi ni juhudi na nidham kwa kile unacho kifanya.
Especially there is this ladyAyyt man!
Keep it low key!
[emoji28][emoji28][emoji28]
Bado sijaona PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda tu PM hakutii mimba
Nigga, you're lucky!Especially there is this lady
Monitor every of my posts