Ha!ha!ha!ha!ha!ha!.......mbele mbele.....mipambano daima.....no fear, no makandokando, no boss in my path....I am always the Next.....in whatever I want mkuu.....U know it all!
Mpenzi na mwanachama Maarufu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA.😀
Nashukuru maana nilikuwa naitafsiri vibaya....
Eti ulikuwa "kill time" enzi zile then uko bwiii... umeweka ndovu za kutosha mida hiyo uko na 100% confidence. Ukakutana na kimwana unamwambia lets go to the next level... unamwambia awahi pale king palace au pale royal njombe......
Haaaa.... just thinking beyong what i see thiking to the next level!
Nimekumbuka kitu mkuuu....haaaa... hiyo tai hiyo tai!!!!
Unakumbuka hiyo tai......
Mimi nimeshinda. Si rahisi kunishinda mkuu😀Maarufu wapi?nani kakupa? pole kwa kushindwa uchaguzi wa mitaa.
Mimi nimeshinda. Si rahisi kunishinda mkuu😀
Mimi sina Avatar kwasababu tu, sijui namna ya kuiweka
Je avator ya george porgie?
Yangu inaonyesha ndege mmoja aliye tulia, to me it means peace and calmness always.