Hahahahhhhahh Hebu Cheki avatar yangu! yaani Panya akicheza na mausi!.....Hata sijuwi ina maanisha nini maana mausi zinatumika kwenye computer ku CLICK.Panya huyu anatamani ku click lakini li MAUSi ni likubwa kaamua kulikalia juu kisha... aaaah Bwana eeee... Just Computer application!
yangu mimi kwa jinsi hali ilivyo katika nchii yetu Tanzania,inabidi tufanye kazi kwabidii hasa kwa waale wanaofanya/kupata rizikimki halali(sio wizi wizi/ujanja,dhulma) tuumize vichwa vyetu kwa kila namna ili kuweza kuendesha gurudumu la maisha yetu pasi na kuyumbishwa na vitu vidogo vidogo,ndivyo nilivyo napenda kufanya/kuitafutia ufumbuzi kazi yangu bila kuchoka,najituma kwa hali na mali.
Leo hata hiyo avatar yangu siioni,sijui ndio wameifisadi,kwahiyo si coment kitu!!
Yangu inaonyesha ndege mmoja aliye tulia, to me it means peace and calmness always.
yangu inafanana na sisi hata wazungu wanatufananisha na hawa jamaa!!! kwa hiyo kwa vile wazungu wananibagua huku nilipo nimeamua tu kukubali na kumpenda huyu avator wangu!!!
kama Avatar inavyojionyesha "mimi ni kisura najitambua" i like beuty
FL1
Yangu sina haja ya kufafanua sana. Niko kwenye mbio za kuelekea mbinguni. Nasubiri kipyenga kipigwe mbio zianze. Karibuni tuungane kuukimbilia ufalme wa mbinguni.
PROBABLY the best athletic on bed
Yeah! I know what you real mean. Ungeweka picha yako kabisa watu wangekuelewa unamaanisha nini.