Je, baada ya kupata pigo kwenye vita vyake na Ukraine, sasa Russia iko tayari kutafuta muafaka?

Hayo kayasema siku nyingi zilizo pita msiyafanye as if kayasema jana au leo - propaganda nyingine ni za ajabu sana - mfano nimesoma leo kwenye comments nyingine ya kutunga eti Putin kalemewa ndio maana amemwagiza waziri wake wa ulinzi afanye mazungumzo na waziri wa ulinzi wa Merikani - huo ni uongo na ulaghai ulio piiliza mipaka, ukweli ni kwamba Serikali ya Merikani kwa kupitia Waziri wake wa ulizi ndiye alimpigia simu waziri wa Ulizi wa Urusi na si kinyume chake, sijui wanao leta upotoshaji huu wana lengo gani, nafikiri baada ya NATO/US mambo yao hayawaendei vizuri huko Ukraine ndio wamehamua kuja na gea mpya ya upotoshaji -sijui hiyo wanafikiri itawasaidia vipi kwenye war efforts zao nchini Ukraine.
Point hapa ni alikiri,whether ni jana,juzi,last week bado haoindoi uhalisia kuwa alikiri.Hayo mengine umeandika hayaondoi uhalisia wa Kamands kukiri
 
Surovikin kakiri siku 3 au 4 zilizopita kuwa hali tete kwa warusi huko kherson na mpaka imebidi evacuation warusi wafanye kuwaokoa warusi wenzao sasa siku tatu ni siku nyingi? ok toka alipokiri russia kuwa inakula kipondo Kherson kuna ushindi Urusi kapata huko kherson? kweli una mahaba mno na urusi wewe
 
Mkuu kama hujui kwamba Al Jazeela is part and parcel ya media ambazo ni his master's Voice za ku-propagate propaganda za west-basi tena, sina shaka unajua vizuri lugha ya kingereza - labda nikukumbushe kwa mara nyingine tena kwamba aliye husika ku-initiate mazungumzo ni Wamerikani wenyewe kupitia waziri wake wa ulinzi na sio Warusi, lakini hapa waandishi wa habari for political reasons wanaongezea mambo hambayo hayakuwa kwenye ajenda wanayatunga wao wenyewe ili kuzuga Dunia kwamba Amerika zaidi - ndio walivyo walaghai kama nini.

We fikiria waliyo watu wa ajabu, wao wenyewe wanakwenda kumbembeleza Putin mwenye kupitia waziri wake wa Ulinzi baadae mavuvuzela wanaleta habari zilizo jaa upotoshaji mkubwa giving an impression simu was meant kuonyesha kwamba Amerika zaidi -ulaghai mtupu.

Nashindwa kuelewa kwa nini watu hata hawajiulizi kwa nini Biden alimwagiza waziri wake wa ulizi ndiye afanye mazungumzo/pigia simu waziri wa ulinzi wa Urusi, kwa nini Biden hakumwagiza waziri wake wa mambo ya nje na sio wa ulinzi - hata mnashindwa kutambua kinacho endelea nyuma ya pazia - mbona muda wote huo wa vita nchini Ukraine utawala wa Biden ulikuwa umekaa kimya tuuu huku ukiendelea kumimina silaha za matrillion nchini Ukraine wakiwa na imani kwamba watamshinda Putin na kumfanya apinduliwe hivi karibuni, sasa baada ya kugunduwa kwamba njama zao zimegonga mwamba hasa kwenye siku za hivi karibuni ambazo Putin na jeshi lake wamehamua kuvua velvet gloves na kupigana kavu kavu bila ya kuionea huruma utawala wa Zelensky na jeshi lake - baada ya operation za Russia za siku za hivi karibuni, basi utawala wa Amerika imechekecha ukaona kwamba operation kababe ya jeshi la Urusi inayo tegemewa kuanzishwa hivi karibuni ni wazi Zelensky na utawala wake utashindwa vita na kuondolewa fasta regardless ya msaada mkubwa wa silaha na kijeshi anao upata kutoka mataifa ya magharibi hasa hasa USA - ndio maana Waziri wa Ulinzi wa Merikani amehamua/katumwa kufanya mazungumzo fasta na waziri wa ulinzi wa Urusi, lengo likiwa hasa ni kutaka kumunusuru Zelensky na utawala wake ingawa hayo hawayasemi moja kwa moja lakini watu wenye akili wanajua hilo ndilo lengo kuu la Serikali ya Merikani - yaani kumuhokoa Zelensky na utawala wake - mtakuja kuniambia, Amerika haija kurupuka tu bila ya kuwa na sababu za dhalula za kufanya hivyo - nawambieni vyuma vimekaza kwa Zelensky si bure.
Mi nikajua Aljazeera utawamini kuwa ni media ya waarabu
 
Point hapa ni alikiri,whether ni jana,juzi,last week bado haoindoi uhalisia kuwa alikiri.Hayo mengine umeandika hayaondoi uhalisia wa Kamands kukiri
Shida ya huyu jamaa anaumia mnooooo akiona mtu kaandika habari mbaya kuhusu russia hata kama ni ya kweli atatafuta kauchochoro ka kuonyesha habari hiyo si kweli na urusi inaandikwa vibaya, au urusi inaonewa yaan kifupi ana gubu na wivu mkali sanaaaa kwa russia
 
Point hapa ni alikiri,whether ni jana,juzi,last week bado haoindoi uhalisia kuwa alikiri.Hayo mengine umeandika hayaondoi uhalisia wa Kamands kukiri

How do you mean, I don't get it?? Mbona mna quote,quote vijineno vya kufurahisha baraza conveniently avoiding to mention kwamba alisema mambo yanavyo elekea jeshi la Urusi litalazimika kuchukua mahamuzi magumu-hivi kwa akili za kawaida taifa ambalo ni super power kijeshi likitoa statements kama hizo wewe kama ni amiri mkuu wa jeshi pinzani utafikiria nini? Ukiwekea maanani kwamba jeshi la Urusi limewahamisha raia wengi kusini mashariki mwa Ukraine ambao ni ethnic Russians na kuwahamishia Urusi kwenyewe - hii inaleta picha gani na ukiongezea kwamba kuna wanajeshi wa Urusi wslijifanya kukimbia sehemu hizo na kuacha baadhi ya silaha - je,Zelensky kama Zelensky na majenerali wake wa jeshi wanachukulia tukio kama hilo kwamba ni la kawaida kweli??

Sasa subirini muone kitakacho tokea katika jiji na KHERSON na viunga vyake - tusiende mbali fatilieni yaliyotokea huko Allepo Syria ambapo waasi wa ISIS,Daesh nacwanajedhi wa Merikani waliokuwa wana wasaidia waasi waliokuwa wampinga Asaad karibu apinduliwe kutoka madarakani lakini Urusi ika-save utawala wake at the eleventh hour!! Je, huko Georgia kulitokea nini? Nargoka Karabakh huko kote kuligeuzi jehanamu ya hapa Duniani - bottom line is: jeshi la Urusi sio la kuchukuliwa kimzaa mzaa likihamua kifanya kweli - na ili ndilo litakuja kulikumba jeshi la Zelensky na wafadhili wake siku za hivi karibuni unless Zelensky awe na walao busara za kusitisha mapigano na ku-surrender unconditionally -hilo tu ndilolinaweza kumunusuru yeye na jeshi lake otherwise they all gonna be a dead meat.
 
Baada ya kupigana vita vikali kwa zaidi ya miezi minane tofauti na walivyotegemea, inaonekana sasa Russia wanaweza kuwa tayari kutafuta muafaka wa namna ya kuweza kumaliza hivi vita.

Inaonekana vilevile kwamba Russia wanakiri kwamba hawataweza kufikia malengo yao waliojiwekea kufuatia matokeo yaliyojiri kwenye vita hivyo katika siku za karibuni.

=======

‘Much softer’: Is Russia eyeing a way out of the Ukraine war?​

The war’s unpredictability raises questions about whether Washington and Moscow should engage in negotiations to avoid an expansion of the conflict, including a nuclear confrontation.

View attachment 2394359
A Ukrainian soldier prepares to fire a D-30 howitzer towards Russian troops in the Kharkiv region [File: Vyacheslav Madiyevskyy/Reuters]

Russian President Vladimir Putin may be softening his hardline stance on the war in Ukraine as Moscow’s defence minister held rare talks with his United States counterpart after a spate of battlefield setbacks.
Turkish President Recep Tayyip Erdogan, who has mediated between Russia and Ukraine, said on Friday that Putin appeared to be “much softer and more open to negotiations” with Ukraine than in the past.

“We are not without hope,” Erdogan said of the possibility of talks to end the conflict.
Kremlin spokesman Dmitry Peskov told reporters on Friday that Putin has been open for negotiations “from the very beginning” and “nothing has changed”.

“If you remember, President Putin tried to initiate talks with both NATO and the United States even before the special military operation,” he said.

“Putin was open to negotiations when a document was almost agreed on between Russian and Ukrainian [negotiators]. So in that respect, nothing has changed. The position of the Ukrainian side has changed… Ukrainian law now prohibits any negotiations,” Peskov added.

Earlier this month, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov said in an interview that Russia was willing to engage with the United States or Turkey on ways to end the war, now in its eighth month, but had yet to receive any serious proposal to negotiate.

The biggest conflict in Europe in decades has drawn comparisons with the 1962 Cuban Missile Crisis, which brought the world to the brink of nuclear war and raised questions about whether Washington and Moscow should engage in talks to avoid an expansion of the conflict, including a nuclear confrontation.

‘Maintaining communication’​

Russian Defence Minister Sergey Shoigu, meanwhile, spoke on the telephone with US Pentagon chief Lloyd Austin on Friday — their first call in five months.
The two talked about “international security problems, notably the situation in Ukraine”, the Russian defence ministry said.

“Secretary Austin emphasised the importance of maintaining lines of communication amid the ongoing war against Ukraine,” the Pentagon said in a statement.

It was only the second time Shoigu and Austin spoke since the start of the invasion on February 24. On May 13, Austin pressed for an immediate ceasefire and made the same request to have open lines of communication.

At the time, Russia’s invading force had been beaten back from the capital Kyiv but it was making steady gains in the eastern Donbas and Kharkiv regions and had consolidated positions in the south.

Six months on, however, Ukraine’s forces have pushed back on all fronts.

Kyiv’s military in recent weeks — aided by Western weapons — has advanced towards the southern Kherson region’s main city, also called Kherson.

Kherson was the first crucial city to fall to Moscow’s troops and retaking it would be a major victory in Ukraine’s counteroffensive. Russian-installed officials are trying to evacuate up to 60,000 people from the Kherson region for their safety and to allow the military to build fortifications.

Ukraine’s push in the south comes after a sweeping counterattack in the northeast Kharkiv region, which badly impaired Russia’s supply routes and logistics corridors in the Donbas.

INTERACTIVE - WHO CONTROLS WHAT IN UKRAINE 240

‘Meaningful diplomacy’​

Whether the military setbacks have forced Russia into looking at possible ways out of Ukraine remains to be seen.

US Secretary of State Antony Blinken said on Friday that Washington will consider every means to advance diplomacy with Russia if it sees an opening but at the moment Moscow shows no sign of willingness to engage in meaningful talks.

“Every indication is that far from being willing to engage in meaningful diplomacy, President Putin continues to push in the opposite direction,” Blinken said at a press conference.

“We consider and will consider every means to advance diplomacy if we see an opening to advance it by whatever means, of course we’ll always look at it,” he said but added Moscow was instead “doubling and tripling down” on its aggression.

Russia intensified its missile and drone attacks on Ukraine’s power and water infrastructure this week in what Ukraine and the West call a campaign to intimidate civilians ahead of the cold winter.

A new Mariupol?​

For now, the next significant battle appears to be for Kherson city.

Analyst Mykhailo Samus said Russian troops should have been evacuated “a long time ago”, but added he thought it was unlikely the Ukrainians would want to attack the Russian-held city where tens of thousands of residents remain.

“The Ukrainians won’t conduct any battle for Kherson. They don’t attack and destroy cities like Russia, like Mariupol,” Samus said, referring to the city the Russians pounded to rubble earlier in the war.

Retired US General Ben Hodges agreed the Ukrainians were likely to avoid a “giant fight inside the city” and instead are “keeping these Russian troops fixed there so that they cannot escape”.

Pierre Grasser, a researcher tied to Paris’ Sorbonne University, said Ukrainian troops were having to carefully weigh their movements outside the city. Any closer and “they will be entering the Kherson suburbs and that could be dangerous”, he said.

“Urban warfare always leads to many deaths on the attacker’s side [and] it would risk a new Mariupol” in terms of damage, said Grasser.

Valeriy Zaluzhnyi, commander-in-chief of Ukraine’s armed forces, faces a dilemma, analysts say.

“Besiege [the city] for as long as it takes or annihilate it and reduce it to rubble,” retired French General Michel Yakovleff said, calling it a “terrible choice”

Chanzo: Aljazeera

Mkuu soma taarfa ifuatayo utagundua kwamba mengi uliyo present hapo juu ni uongo.Vyombo vya Magharibi vyote including Aljazeera ni fake news tupu mkuu.Infact mimi huwa nasema mtu anayeamini Western News Media outlets naye ana shida kwenye ubongo.Hebu cheki chini uone how Western Media Journalists are infact told and trained to cheat the masses.Sasa do you need more truth than this,unless you are an idiot.​

TV CLAIM: Nuclear Bomb set in Mykolaiv will be detonated by Ukraine to blame Russia.It's clear now that the Khazarian Mafia want war with Russia at any cost.​

22 OCTOBER 2022
Television stations in both Russia and in Ukraine are broadcasting claims that a nuclear bomb is in Mykolaiv, Ukraine, and will be detonated. Yet in Russia, the TV stations say this is a Ukrainian plot to blame Russia so as to get NATO to come into the war, but in Ukraine their TV is saying it is a Russian Bomb because Russia is losing the war.
Here is one such segment of a Russian TV show making the claim below.Television stations in both Russia and in Ukraine are broadcasting claims that a nuclear bomb is in Mykolaiv, Ukraine, and will be detonated. Yet in Russia, the TV stations say this is a Ukrainian plot to blame Russia so as to get NATO to come into the war, but in Ukraine their TV is saying it is a Russian Bomb because Russia is losing the war.
Here is one such segment of a Russian TV show making the claim below.

HAL TURNER ANALYSIS AND EDITORIAL OPINION
With BOTH sides now claiming there is a nuclear bomb in Ukraine that WILL be detonated, many on both sides are being lead to believe this is now factual - although there is NO PROOF.
The map below shows Mykolaiv, so readers can familiarize themselves with the area:

For its part, the United States and its NATO vassals, have been playing this up for weeks in the western media, falsely claiming that somehow Russia is losing the war, and must therefore resort to a nuclear attack.
For its part, Russia has pointed out that Ukraine had the largest standing army in Europe when Russia began its Special Military Operation in February. When it began, Russia committed less than ten percent of its actual army to the fight.
In less than 6 months, that ten percent of the Russian Army destroyed the Ukraine Army so badly, they had to start asking for donations of weapons from NATO, and begin conscripting men all the way up to 60 years old.
In fact, just this week, Ukraine is enacting legislation for conscripting boys ages TWELVE (12) thru seventeen (17).
Russia also points out that in those 6 months, Russia has taken 163,000 square kilometers of Ukraine, and has legally annexed four full states: Luhansk, Donetsk, Kherson, and Zaporozyhe. If that's "losing" then there must be some strange, new, definition of "losing."
As such, the Russians say, Russia has no need and no plans to use any nuclear weapons. Besides, they say, if a nuclear bomb detonates in Ukraine, the fallout will likely drift into Russia and they definitely don't want that.
These facts are irrefutable, and do favor Russia's position that there is no need to use any nuclear device.
Speculation about Ukraine, however, is another story. It is factually correct that Ukraine's Army has been decimated on the battlefield. It is factually correct that Ukraine had to begin conscripting men as old as age 60. It is factually correct that Ukraine is now enacting legislation to draft boys ages 12 thru 17.
With these established facts, it is clear to any thinking person that Ukraine is in dire straits and needs NATO to enter the war in order to have any chance of even surviving, never mind winning. The ONLY way to get NATO to enter the war, is if Russia uses Chemical, Biological, or Nuclear weapons.
So the notion that Ukraine is going to detonate a nuke so as to trigger NATO's entry into the war, is not far fetched at all. Ukraine is losing the war, it desperately needs NATO entry and that would be achieved if a nuke detonates.
The question, of course is, who gave Ukraine the nuke?
That aside, if a nuclear explosion does take place anywhere in Ukraine, and Russia is immediately blamed, it is widely expected that NATO would immediately enter the hostilities on the side of Ukraine, and by doing so, instantly trigger World War 3,which is what the Khazarian Mafia desperately want.
The point however is this,if Russia are not the ones who actually did it, they would see this as having THEIR TROOPS hit with a nuclear attack which, under Russian nuclear doctrine, would then permit Russia to use nuclear weapons.
Result: Instant nuclear war. With no warning for any of us.
That is the precarious situation the world finds itself in this 22nd Day of October, 2022.
God Help us.

Attachments

  • IMG-20220318-WA0000.jpg
    IMG-20220318-WA0000.jpg
    76.9 KB · Views: 3
Surovikin kakiri siku 3 au 4 zilizopita kuwa hali tete kwa warusi huko kherson na mpaka imebidi evacuation warusi wafanye kuwaokoa warusi wenzao sasa siku tatu ni siku nyingi? ok toka alipokiri russia kuwa inakula kipondo Kherson kuna ushindi Urusi kapata huko kherson? kweli una mahaba mno na urusi wewe
Dakika chache zilizopita Aljazeera wameonyesha evacuation inaendelea halafu mtu anaanza kutwist hapa maneno kuwa ni soku nyingi.
 
Winter war itatoa majibu ya mshindi.tuweni wapole muda unakaribia,maneno mengine unayosasikia yote ni ya kwenye kijiwe.
 
Mkuu kama hujui kwamba Al Jazeela is part and parcel ya media ambazo ni his master's Voice za ku-propagate propaganda za west-basi tena, sina shaka unajua vizuri lugha ya kingereza - labda nikukumbushe kwa mara nyingine tena kwamba aliye husika ku-initiate mazungumzo ni Wamerikani wenyewe kupitia waziri wake wa ulinzi na sio Warusi, lakini hapa waandishi wa habari for political reasons wanaongezea mambo hambayo hayakuwa kwenye ajenda wanayatunga wao wenyewe ili kuzuga Dunia kwamba Amerika zaidi - ndio walivyo walaghai kama nini.

We fikiria waliyo watu wa ajabu, wao wenyewe wanakwenda kumbembeleza Putin mwenye kupitia waziri wake wa Ulinzi baadae mavuvuzela wanaleta habari zilizo jaa upotoshaji mkubwa giving an impression simu was meant kuonyesha kwamba Amerika zaidi -ulaghai mtupu.

Nashindwa kuelewa kwa nini watu hata hawajiulizi kwa nini Biden alimwagiza waziri wake wa ulizi ndiye afanye mazungumzo/pigia simu waziri wa ulinzi wa Urusi, kwa nini Biden hakumwagiza waziri wake wa mambo ya nje na sio wa ulinzi - hata mnashindwa kutambua kinacho endelea nyuma ya pazia - mbona muda wote huo wa vita nchini Ukraine utawala wa Biden ulikuwa umekaa kimya tuuu huku ukiendelea kumimina silaha za matrillion nchini Ukraine wakiwa na imani kwamba watamshinda Putin na kumfanya apinduliwe hivi karibuni, sasa baada ya kugunduwa kwamba njama zao zimegonga mwamba hasa kwenye siku za hivi karibuni ambazo Putin na jeshi lake wamehamua kuvua velvet gloves na kupigana kavu kavu bila ya kuionea huruma utawala wa Zelensky na jeshi lake - baada ya operation za Russia za siku za hivi karibuni, basi utawala wa Amerika imechekecha ukaona kwamba operation kababe ya jeshi la Urusi inayo tegemewa kuanzishwa hivi karibuni ni wazi Zelensky na utawala wake utashindwa vita na kuondolewa fasta regardless ya msaada mkubwa wa silaha na kijeshi anao upata kutoka mataifa ya magharibi hasa hasa USA - ndio maana Waziri wa Ulinzi wa Merikani amehamua/katumwa kufanya mazungumzo fasta na waziri wa ulinzi wa Urusi, lengo likiwa hasa ni kutaka kumunusuru Zelensky na utawala wake ingawa hayo hawayasemi moja kwa moja lakini watu wenye akili wanajua hilo ndilo lengo kuu la Serikali ya Merikani - yaani kumuhokoa Zelensky na utawala wake - mtakuja kuniambia, Amerika haija kurupuka tu bila ya kuwa na sababu za dhalula za kufanya hivyo - nawambieni vyuma vimekaza kwa Zelensky si bure.
Kwanza watuambie aliko Zelensky. Kitambo sana hatumsikii
 
Mkuu soma taarfa ifuatayo utagundua kwamba mengi uliyo present hapo juu ni uongo.Vyombo vya Magharibi vyote including Aljazeera ni fake news tupu mkuu.Infact mimi huwa nasema mtu anayeamini Western News Media outlets naye ana shida kwenye ubongo.Hebu cheki chini uone how Western Media Journalists are infact told and trained to cheat the masses.Sasa do you need more truth than this,unless you are an idiot.​

TV CLAIM: Nuclear Bomb set in Mykolaiv will be detonated by Ukraine to blame Russia.It's clear now that the Khazarian Mafia want war with Russia at any cost.​

22 OCTOBER 2022
Television stations in both Russia and in Ukraine are broadcasting claims that a nuclear bomb is in Mykolaiv, Ukraine, and will be detonated. Yet in Russia, the TV stations say this is a Ukrainian plot to blame Russia so as to get NATO to come into the war, but in Ukraine their TV is saying it is a Russian Bomb because Russia is losing the war.
Here is one such segment of a Russian TV show making the claim below.Television stations in both Russia and in Ukraine are broadcasting claims that a nuclear bomb is in Mykolaiv, Ukraine, and will be detonated. Yet in Russia, the TV stations say this is a Ukrainian plot to blame Russia so as to get NATO to come into the war, but in Ukraine their TV is saying it is a Russian Bomb because Russia is losing the war.
Here is one such segment of a Russian TV show making the claim below.

HAL TURNER ANALYSIS AND EDITORIAL OPINION
With BOTH sides now claiming there is a nuclear bomb in Ukraine that WILL be detonated, many on both sides are being lead to believe this is now factual - although there is NO PROOF.
The map below shows Mykolaiv, so readers can familiarize themselves with the area:

For its part, the United States and its NATO vassals, have been playing this up for weeks in the western media, falsely claiming that somehow Russia is losing the war, and must therefore resort to a nuclear attack.
For its part, Russia has pointed out that Ukraine had the largest standing army in Europe when Russia began its Special Military Operation in February. When it began, Russia committed less than ten percent of its actual army to the fight.
In less than 6 months, that ten percent of the Russian Army destroyed the Ukraine Army so badly, they had to start asking for donations of weapons from NATO, and begin conscripting men all the way up to 60 years old.
In fact, just this week, Ukraine is enacting legislation for conscripting boys ages TWELVE (12) thru seventeen (17).
Russia also points out that in those 6 months, Russia has taken 163,000 square kilometers of Ukraine, and has legally annexed four full states: Luhansk, Donetsk, Kherson, and Zaporozyhe. If that's "losing" then there must be some strange, new, definition of "losing."
As such, the Russians say, Russia has no need and no plans to use any nuclear weapons. Besides, they say, if a nuclear bomb detonates in Ukraine, the fallout will likely drift into Russia and they definitely don't want that.
These facts are irrefutable, and do favor Russia's position that there is no need to use any nuclear device.
Speculation about Ukraine, however, is another story. It is factually correct that Ukraine's Army has been decimated on the battlefield. It is factually correct that Ukraine had to begin conscripting men as old as age 60. It is factually correct that Ukraine is now enacting legislation to draft boys ages 12 thru 17.
With these established facts, it is clear to any thinking person that Ukraine is in dire straits and needs NATO to enter the war in order to have any chance of even surviving, never mind winning. The ONLY way to get NATO to enter the war, is if Russia uses Chemical, Biological, or Nuclear weapons.
So the notion that Ukraine is going to detonate a nuke so as to trigger NATO's entry into the war, is not far fetched at all. Ukraine is losing the war, it desperately needs NATO entry and that would be achieved if a nuke detonates.
The question, of course is, who gave Ukraine the nuke?
That aside, if a nuclear explosion does take place anywhere in Ukraine, and Russia is immediately blamed, it is widely expected that NATO would immediately enter the hostilities on the side of Ukraine, and by doing so, instantly trigger World War 3,which is what the Khazarian Mafia desperately want.
The point however is this,if Russia are not the ones who actually did it, they would see this as having THEIR TROOPS hit with a nuclear attack which, under Russian nuclear doctrine, would then permit Russia to use nuclear weapons.
Result: Instant nuclear war. With no warning for any of us.
That is the precarious situation the world finds itself in this 22nd Day of October, 2022.
God Help us.

Kwa hiyo wewe unataka tuamini RT, CCTV na ile Press Tv ya Iran kisa tu nchi za magharibi zina imani tofauti ya kidini na wewe.

Wewe ni bure kabisa na huna hoja. Acha kila mtu aamini anachojua kwa sababu wote hawawezi kuwa na imani sawa na wewe.
 
How do you mean, I don't get it?? Mbona mna quote,quote vijineno vya kufurahisha baraza conveniently avoiding to mention kwamba alisema mambo yanavyo elekea jeshi la Urusi litalazimika kuchukua mahamuzi magumu-hivi kwa akili za kawaida taifa ambalo ni super power kijeshi likitoa statements kama hizo wewe kama ni amiri mkuu wa jeshi pinzani utafikiria nini? Ukiwekea maanani kwamba jeshi la Urusi limewahamisha raia wengi kusini mashariki mwa Ukraine ambao ni ethnic Russians na kuwahamishia Urusi kwenyewe - hii inaleta picha gani na ukiongezea kwamba kuna wanajeshi wa Urusi wslijifanya kukimbia sehemu hizo na kuacha baadhi ya silaha - je,Zelensky kama Zelensky na majenerali wake wa jeshi wanachukulia tukio kama hilo kwamba ni la kawaida kweli??

Sasa subirini muone kitakacho tokea katika jiji na KHERSON na viunga vyake - tusiende mbali fatilieni yaliyotokea huko Allepo Syria ambapo waasi wa ISIS,Daesh nacwanajedhi wa Merikani waliokuwa wana wasaidia waasi waliokuwa wampinga Asaad karibu apinduliwe kutoka madarakani lakini Urusi ika-save utawala wake at the eleventh hour!! Je, huko Georgia kulitokea nini? Nargoka Karabakh huko kote kuligeuzi jehanamu ya hapa Duniani - bottom line is: jeshi la Urusi sio la kuchukuliwa kimzaa mzaa likihamua kifanya kweli - na ili ndilo litakuja kulikumba jeshi la Zelensky na wafadhili wake siku za hivi karibuni unless Zelensky awe na walao busara za kusitisha mapigano na ku-surrender unconditionally -hilo tu ndilolinaweza kumunusuru yeye na jeshi lake otherwise they all gonna be a dead meat.
Nakumbuka hata wakati wa Lyman ulikuja na sababu hizi hizi na ukasema baada ya week moja kitakachotokea Lyman Dunia itashikwa na mshangao,leo hii twaenda week ya tatu hakuna cha maana sana zaidi ya kuona huko Kherson wakielemewa na kuhamisha "watu wao".Tatizo lako wewe unaongea utadhani upo kwenye corridors za Kremlin.

Tuendelee kuwa wavumilivu na muda ni mwalimu mzuri tu atatupa majibu sahihi zaidi.
 
Putin alisema "siku tano"
Zilikua west media, putin hakua na lengo la kuiteka ukraine yote, ndo maana waliunzunguka mji wa kiev kisha wakaondoa askari, lengo la kuyateka maeneo yenye population kubwa ya warusi, limetimia,,kilichobaki sasa ni kuisoftisha ukraine ili isije kuwa tishio
 
Kumbe anatumia 'ujanja' kutaka kuuza gesi,si tuliambiwa hapa kuwa Russia itabidi apigiwe magoti kuuza gesi? Sasa ukisema anatumia ujanja maana yake anajua na yeye kuwa watu wana mbadala wa hiyo gesi yake.Yeye atulie tu na gesi yake tuone kama Bara la Ulaya litakwisha sababu halipati gesi kutoka Russia.
Russia anapeleka gas ulaya kupitia bluestream pipeline via Turkey na Turkstream pipelines,, kwasasa turkey itakua hub ya gesi inayotoka Russia to europe
 
Mimi siko upande wa dini,after all mimi nipo above concepts za dini.Mimi nasimania ukweli.Mainstream Media News Outlets zote without exception,news zao ni fake kwa kuwa journalists wao wanafundishwa kudanganya as part of their training.Sasa who are you to deny this kama wao wenyewe wanakiri hivyo.Nadhani mtu wa hivyo sitakuwa nimekosea nikimuita mpumbavu!
 
Attachments

  • IMG-20220318-WA0000.jpg
    IMG-20220318-WA0000.jpg
    76.9 KB · Views: 3
Nakumbuka hata wakati wa Lyman ulikuja na sababu hizi hizi na ukasema baada ya week moja kitakachotokea Lyman Dunia itashikwa na mshangao,leo hii twaenda week ya tatu hakuna cha maana sana zaidi ya kuona huko Kherson wakielemewa na kuhamisha "watu wao".Tatizo lako wewe unaongea utadhani upo kwenye corridors za Kremlin.

Tuendelee kuwa wavumilivu na muda ni mwalimu mzuri tu atatupa majibu sahihi zaidi.

Leo kumetokea nini kwa mara ya kwanza nchini Ukraine na huo ndio mwanzo - Putin ndio ameanza kukunjua makucha yake - Putin alikuwa anamstahi sana Zelensky lakini ujeuri wa Zelensky ndio utakuja kuangamiza Taifa zima la Ukraine hasipo surrender unconditionally kwa jeshi la Urusi.

Kitu kingine mimi sikuwahi kuzungumzia wala kutaja kwa jina/majina Lyman!!! Nilicho zungumzia ni mji wa KHERSON na viunga vyake sio Lyman na nilikuwa na sababu za msingi kwa nini na insist kwamba KHERSON ni mtego ulio tegwa na jeshi la Urusi as a final solution kwa majeshi ya Zelensky,mamuluki na baadhi ya troops wa NATO wanao msadia Zelensky - wote watapata zahama kuliko za Allepo wakiendelea kujitia utemi kwa kudanganywa na washauri wa NATO - watajuta kuzaliwa jeshi la Russia si mchezo wakihamua kufanya kweli - angalia kipigo Ukraine alicho shushiwa leo na Putin - Zelensky na wapambe wake wote kimya wanaishia kuwasha koroboi,basi wazitume hizo HIMARS tuone kama zitawaletea umeme na maji.
 
Kumbe anatumia 'ujanja' kutaka kuuza gesi,si tuliambiwa hapa kuwa Russia itabidi apigiwe magoti kuuza gesi? Sasa ukisema anatumia ujanja maana yake anajua na yeye kuwa watu wana mbadala wa hiyo gesi yake.Yeye atulie tu na gesi yake tuone kama Bara la Ulaya litakwisha sababu halipati gesi kutoka Russia.
Vita zao ni za timing za kiuchumi na kiulinzi sio tunavyowaza
 
Russia anapeleka gas ulaya kupitia bluestream pipeline via Turkey na Turkstream pipelines,, kwasasa turkey itakua hub ya gesi inayotoka Russia to europe
Kwanini asiwakatie kabisa kuwapelekea ili kuwaonyesha kuwa yeye ni mwamba wao na awakomeshe kwakuwa Winter inakuja? Kumbe bado soko la Ulaya analihitaji pia?
 
Vita zao ni za timing za kiuchumi na kiulinzi sio tunavyowaza
Afadhari wewe umekuja na hoja hii,kuna Pro Russia hapa wanatakaga kutuaminisha Russia ni pumzi ya Ulaya Magharibi upande wa gesi kwamba bila Russia basi Ulaya Magharibi itaangamia.
 
Leo kumetokea nini kwa mara ya kwanza nchini Ukraine na huo ndio mwanzo - Putin ndio ameanza kukunjua makucha yake - Putin alikuwa anamstahi sana Zelensky lakini ujeuri wa Zelensky ndio utakuja kuangamiza Taifa zima la Ukraine hasipo surrender unconditionally kwa jeshi la Urusi.

Kitu kingine mimi sikuwahi kuzungumzia wala kutaja kwa jina/majina Lyman!!! Nilicho zungumzia ni mji wa KHERSON na viunga vyake sio Lyman na nilikuwa na sababu za msingi kwa nini na insist kwamba KHERSON ni mtego ulio tegwa na jeshi la Urusi as a final solution kwa majeshi ya Zelensky,mamuluki na baadhi ya troops wa NATO wanao msadia Zelensky - wote watapata zahama kuliko za Allepo wakiendelea kujitia utemi kwa kudanganywa na washauri wa NATO - watajuta kuzaliwa jeshi la Russia si mchezo wakihamua kufanya kweli - angalia kipigo Ukraine alicho shushiwa leo na Putin - Zelensky na wapambe wake wote kimya wanaishia kuwasha koroboi,basi wazitume hizo HIMARS tuone kama zitawaletea umeme na maji.
[emoji3][emoji3][emoji3] imebidi nicheke tu,yani unawaongelea Ukraine kuwasha koroboi utadhani wapo Kiziba
 
Back
Top Bottom