Je, baada ya kupata pigo kwenye vita vyake na Ukraine, sasa Russia iko tayari kutafuta muafaka?

Point hapa ni alikiri,whether ni jana,juzi,last week bado haoindoi uhalisia kuwa alikiri.Hayo mengine umeandika hayaondoi uhalisia wa Kamands kukiri
 
Surovikin kakiri siku 3 au 4 zilizopita kuwa hali tete kwa warusi huko kherson na mpaka imebidi evacuation warusi wafanye kuwaokoa warusi wenzao sasa siku tatu ni siku nyingi? ok toka alipokiri russia kuwa inakula kipondo Kherson kuna ushindi Urusi kapata huko kherson? kweli una mahaba mno na urusi wewe
 
Mi nikajua Aljazeera utawamini kuwa ni media ya waarabu
 
Point hapa ni alikiri,whether ni jana,juzi,last week bado haoindoi uhalisia kuwa alikiri.Hayo mengine umeandika hayaondoi uhalisia wa Kamands kukiri
Shida ya huyu jamaa anaumia mnooooo akiona mtu kaandika habari mbaya kuhusu russia hata kama ni ya kweli atatafuta kauchochoro ka kuonyesha habari hiyo si kweli na urusi inaandikwa vibaya, au urusi inaonewa yaan kifupi ana gubu na wivu mkali sanaaaa kwa russia
 
Point hapa ni alikiri,whether ni jana,juzi,last week bado haoindoi uhalisia kuwa alikiri.Hayo mengine umeandika hayaondoi uhalisia wa Kamands kukiri

How do you mean, I don't get it?? Mbona mna quote,quote vijineno vya kufurahisha baraza conveniently avoiding to mention kwamba alisema mambo yanavyo elekea jeshi la Urusi litalazimika kuchukua mahamuzi magumu-hivi kwa akili za kawaida taifa ambalo ni super power kijeshi likitoa statements kama hizo wewe kama ni amiri mkuu wa jeshi pinzani utafikiria nini? Ukiwekea maanani kwamba jeshi la Urusi limewahamisha raia wengi kusini mashariki mwa Ukraine ambao ni ethnic Russians na kuwahamishia Urusi kwenyewe - hii inaleta picha gani na ukiongezea kwamba kuna wanajeshi wa Urusi wslijifanya kukimbia sehemu hizo na kuacha baadhi ya silaha - je,Zelensky kama Zelensky na majenerali wake wa jeshi wanachukulia tukio kama hilo kwamba ni la kawaida kweli??

Sasa subirini muone kitakacho tokea katika jiji na KHERSON na viunga vyake - tusiende mbali fatilieni yaliyotokea huko Allepo Syria ambapo waasi wa ISIS,Daesh nacwanajedhi wa Merikani waliokuwa wana wasaidia waasi waliokuwa wampinga Asaad karibu apinduliwe kutoka madarakani lakini Urusi ika-save utawala wake at the eleventh hour!! Je, huko Georgia kulitokea nini? Nargoka Karabakh huko kote kuligeuzi jehanamu ya hapa Duniani - bottom line is: jeshi la Urusi sio la kuchukuliwa kimzaa mzaa likihamua kifanya kweli - na ili ndilo litakuja kulikumba jeshi la Zelensky na wafadhili wake siku za hivi karibuni unless Zelensky awe na walao busara za kusitisha mapigano na ku-surrender unconditionally -hilo tu ndilolinaweza kumunusuru yeye na jeshi lake otherwise they all gonna be a dead meat.
 

Mkuu soma taarfa ifuatayo utagundua kwamba mengi uliyo present hapo juu ni uongo.Vyombo vya Magharibi vyote including Aljazeera ni fake news tupu mkuu.Infact mimi huwa nasema mtu anayeamini Western News Media outlets naye ana shida kwenye ubongo.Hebu cheki chini uone how Western Media Journalists are infact told and trained to cheat the masses.Sasa do you need more truth than this,unless you are an idiot.​

TV CLAIM: Nuclear Bomb set in Mykolaiv will be detonated by Ukraine to blame Russia.It's clear now that the Khazarian Mafia want war with Russia at any cost.​

22 OCTOBER 2022
Television stations in both Russia and in Ukraine are broadcasting claims that a nuclear bomb is in Mykolaiv, Ukraine, and will be detonated. Yet in Russia, the TV stations say this is a Ukrainian plot to blame Russia so as to get NATO to come into the war, but in Ukraine their TV is saying it is a Russian Bomb because Russia is losing the war.
Here is one such segment of a Russian TV show making the claim below.Television stations in both Russia and in Ukraine are broadcasting claims that a nuclear bomb is in Mykolaiv, Ukraine, and will be detonated. Yet in Russia, the TV stations say this is a Ukrainian plot to blame Russia so as to get NATO to come into the war, but in Ukraine their TV is saying it is a Russian Bomb because Russia is losing the war.
Here is one such segment of a Russian TV show making the claim below.

HAL TURNER ANALYSIS AND EDITORIAL OPINION
With BOTH sides now claiming there is a nuclear bomb in Ukraine that WILL be detonated, many on both sides are being lead to believe this is now factual - although there is NO PROOF.
The map below shows Mykolaiv, so readers can familiarize themselves with the area:

For its part, the United States and its NATO vassals, have been playing this up for weeks in the western media, falsely claiming that somehow Russia is losing the war, and must therefore resort to a nuclear attack.
For its part, Russia has pointed out that Ukraine had the largest standing army in Europe when Russia began its Special Military Operation in February. When it began, Russia committed less than ten percent of its actual army to the fight.
In less than 6 months, that ten percent of the Russian Army destroyed the Ukraine Army so badly, they had to start asking for donations of weapons from NATO, and begin conscripting men all the way up to 60 years old.
In fact, just this week, Ukraine is enacting legislation for conscripting boys ages TWELVE (12) thru seventeen (17).
Russia also points out that in those 6 months, Russia has taken 163,000 square kilometers of Ukraine, and has legally annexed four full states: Luhansk, Donetsk, Kherson, and Zaporozyhe. If that's "losing" then there must be some strange, new, definition of "losing."
As such, the Russians say, Russia has no need and no plans to use any nuclear weapons. Besides, they say, if a nuclear bomb detonates in Ukraine, the fallout will likely drift into Russia and they definitely don't want that.
These facts are irrefutable, and do favor Russia's position that there is no need to use any nuclear device.
Speculation about Ukraine, however, is another story. It is factually correct that Ukraine's Army has been decimated on the battlefield. It is factually correct that Ukraine had to begin conscripting men as old as age 60. It is factually correct that Ukraine is now enacting legislation to draft boys ages 12 thru 17.
With these established facts, it is clear to any thinking person that Ukraine is in dire straits and needs NATO to enter the war in order to have any chance of even surviving, never mind winning. The ONLY way to get NATO to enter the war, is if Russia uses Chemical, Biological, or Nuclear weapons.
So the notion that Ukraine is going to detonate a nuke so as to trigger NATO's entry into the war, is not far fetched at all. Ukraine is losing the war, it desperately needs NATO entry and that would be achieved if a nuke detonates.
The question, of course is, who gave Ukraine the nuke?
That aside, if a nuclear explosion does take place anywhere in Ukraine, and Russia is immediately blamed, it is widely expected that NATO would immediately enter the hostilities on the side of Ukraine, and by doing so, instantly trigger World War 3,which is what the Khazarian Mafia desperately want.
The point however is this,if Russia are not the ones who actually did it, they would see this as having THEIR TROOPS hit with a nuclear attack which, under Russian nuclear doctrine, would then permit Russia to use nuclear weapons.
Result: Instant nuclear war. With no warning for any of us.
That is the precarious situation the world finds itself in this 22nd Day of October, 2022.
God Help us.

 

Attachments

  • IMG-20220318-WA0000.jpg
    76.9 KB · Views: 3
Dakika chache zilizopita Aljazeera wameonyesha evacuation inaendelea halafu mtu anaanza kutwist hapa maneno kuwa ni soku nyingi.
 
Winter war itatoa majibu ya mshindi.tuweni wapole muda unakaribia,maneno mengine unayosasikia yote ni ya kwenye kijiwe.
 
Kwanza watuambie aliko Zelensky. Kitambo sana hatumsikii
 
Kwa hiyo wewe unataka tuamini RT, CCTV na ile Press Tv ya Iran kisa tu nchi za magharibi zina imani tofauti ya kidini na wewe.

Wewe ni bure kabisa na huna hoja. Acha kila mtu aamini anachojua kwa sababu wote hawawezi kuwa na imani sawa na wewe.
 
Nakumbuka hata wakati wa Lyman ulikuja na sababu hizi hizi na ukasema baada ya week moja kitakachotokea Lyman Dunia itashikwa na mshangao,leo hii twaenda week ya tatu hakuna cha maana sana zaidi ya kuona huko Kherson wakielemewa na kuhamisha "watu wao".Tatizo lako wewe unaongea utadhani upo kwenye corridors za Kremlin.

Tuendelee kuwa wavumilivu na muda ni mwalimu mzuri tu atatupa majibu sahihi zaidi.
 
Putin alisema "siku tano"
Zilikua west media, putin hakua na lengo la kuiteka ukraine yote, ndo maana waliunzunguka mji wa kiev kisha wakaondoa askari, lengo la kuyateka maeneo yenye population kubwa ya warusi, limetimia,,kilichobaki sasa ni kuisoftisha ukraine ili isije kuwa tishio
 
Russia anapeleka gas ulaya kupitia bluestream pipeline via Turkey na Turkstream pipelines,, kwasasa turkey itakua hub ya gesi inayotoka Russia to europe
 
Mimi siko upande wa dini,after all mimi nipo above concepts za dini.Mimi nasimania ukweli.Mainstream Media News Outlets zote without exception,news zao ni fake kwa kuwa journalists wao wanafundishwa kudanganya as part of their training.Sasa who are you to deny this kama wao wenyewe wanakiri hivyo.Nadhani mtu wa hivyo sitakuwa nimekosea nikimuita mpumbavu!
 

Attachments

  • IMG-20220318-WA0000.jpg
    76.9 KB · Views: 3

Leo kumetokea nini kwa mara ya kwanza nchini Ukraine na huo ndio mwanzo - Putin ndio ameanza kukunjua makucha yake - Putin alikuwa anamstahi sana Zelensky lakini ujeuri wa Zelensky ndio utakuja kuangamiza Taifa zima la Ukraine hasipo surrender unconditionally kwa jeshi la Urusi.

Kitu kingine mimi sikuwahi kuzungumzia wala kutaja kwa jina/majina Lyman!!! Nilicho zungumzia ni mji wa KHERSON na viunga vyake sio Lyman na nilikuwa na sababu za msingi kwa nini na insist kwamba KHERSON ni mtego ulio tegwa na jeshi la Urusi as a final solution kwa majeshi ya Zelensky,mamuluki na baadhi ya troops wa NATO wanao msadia Zelensky - wote watapata zahama kuliko za Allepo wakiendelea kujitia utemi kwa kudanganywa na washauri wa NATO - watajuta kuzaliwa jeshi la Russia si mchezo wakihamua kufanya kweli - angalia kipigo Ukraine alicho shushiwa leo na Putin - Zelensky na wapambe wake wote kimya wanaishia kuwasha koroboi,basi wazitume hizo HIMARS tuone kama zitawaletea umeme na maji.
 
Vita zao ni za timing za kiuchumi na kiulinzi sio tunavyowaza
 
Russia anapeleka gas ulaya kupitia bluestream pipeline via Turkey na Turkstream pipelines,, kwasasa turkey itakua hub ya gesi inayotoka Russia to europe
Kwanini asiwakatie kabisa kuwapelekea ili kuwaonyesha kuwa yeye ni mwamba wao na awakomeshe kwakuwa Winter inakuja? Kumbe bado soko la Ulaya analihitaji pia?
 
Vita zao ni za timing za kiuchumi na kiulinzi sio tunavyowaza
Afadhari wewe umekuja na hoja hii,kuna Pro Russia hapa wanatakaga kutuaminisha Russia ni pumzi ya Ulaya Magharibi upande wa gesi kwamba bila Russia basi Ulaya Magharibi itaangamia.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] imebidi nicheke tu,yani unawaongelea Ukraine kuwasha koroboi utadhani wapo Kiziba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…