Je baada ya Nyerere ni Lissu?

Je baada ya Nyerere ni Lissu?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Ukija kwa sasa nje ya Nyerere ambaye aliweza kukiri makosa yake kadhaa na kukosoa chama chake! Naona mwingine anayeweza kuthubutu ni Tundu A Lissu,
CHADEMA ni chama tegemeo la Ukombozi kwa Watanzania hasa wapenda mabadiliko,

Walianza kumbwera au kupoteza ushawishi kwa watu wenye misimamo mikali baada ya Mwaka 2015 kumkaribisha Bwana Mkubwa Ngoyai Lowassa,

Watu wajinga uwa wanadhani Lowassa ndo aliwapa kura Nyingi CHADEMA , kwa maneno tu ya kuhadaiwa na mwenyekiti wao Lakin ukweli ni kwamba CHADEMA ilisha gain Momentum kitambo sana! Hata Bila Lowassa the issue was clear kwamba wangepatikana wabunge wengi tu!

Watu wakaanza kuyasahau machungu! Kiongozi fulan akapewa kesi fulan alafu haraka haraka akawa black mailed kutumika kudhoofisha anaowaongoza, “CHADEMA KUNA KIRUSI”

Leo hii Pesa si kificho, inagawiwa Kama njugu,

Vijana wamepewa magari na Pesa na wengine wamejengewa hadi majumba ya Kifahari, from zero now wana Pesa CHAFU,

Siasa Tanzania inatumika Kama biashara sana, ukiwa mpinzani mkali ukamwaga nondo sana utataftwa upozwe,

CHADEMA inazama Hii,
CHADEMA inazama aiseee,
CHADEMA Chukueni hatua za haraka sana ninyi ni watetezi, mkiwekwa kwenye mifuko ya Dully Inaumiza,

Leo Lissu baada ya kutoa press na Ana ushahidi Lakin CHADEMA wote na TV ZAO za online ni Kama zinamtenga,

Hivi kweli Tanzania ukombozi utapatikana KWELI?

cc Pascal Mayalla
Britanicca
 
CHADEMA ndio msingi wa Taifa hili na hii nchi hakuna kiongozi aliyebaki kutoka upinzani zaidi ya Lissu

Kuna siku niliwahi kuota kuwa amekuwa Rais wa Nchi hii………Mungu ampe maisha marefu sana
 
Ulichowaza kumfananisha Liissu na Nyerere kwenye kukusoa hadharani vyama vyao, hata mimi nimewaza hivyo, ila tatizo ni CCM kutumia kauli za Lissu kupotosha. Wakati wa Nyerere hakukuwa na mitandao kama sasa.
 
Hakika
 
Ndiyo mpambane sasa kuweka rekodi sawia. Mwenyewe umekimbia jukwaa 😃😃😃😅
 
Kiuhalisia mbowe siyo mpinzani yupo hapo kupooza pace ya upinzani, siku chama kikiwa cha moto yeye ndo anatuliza na kurudisha mambo nyuma kitaalam, kuna malipo makubwa anapata kutokana na harakati hizo za kutuliza presha ya upinzani.
Hiyo ukiwa nyumbu huwezi kuelewa hata uelezwe vipi ila walio ndani wanajua, Lissu anaelewa vizuri huo mchezo anaocheza mwenye kiti
 
🥲
 
Back
Top Bottom