Je, Baba yake Kaguta Museveni alikuwa ni Mtwaa/ Batwaa wakati mama yake alikuwa mtusi?

Je, Baba yake Kaguta Museveni alikuwa ni Mtwaa/ Batwaa wakati mama yake alikuwa mtusi?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Wakuu wapenda historia na investigative history!
Je ni kweli Yoweri Museveni baba yake alitokea kwa abatwaa na mama yake alikuwa mtusi?

Kama ni kweli je kwanini hawasaidii watwaa wenzie wanaokufa au waliokaribu kutoweka duniani kwa sababu ya kutengwa na kubaguliwa kiuchumi, elimu kijamii na kisiasa?

776F075C-B6A4-4B39-A543-D2420D167E27.jpeg
 
Wakuu wapenda historia na investigative history!
Je ni kweli yoweri mseveni baba yake alitokea kwa abatwaa na mama yake alikua mtusi!

Kma ni kweli je kwanini hawasaidii watwaa wenzie wanaokufa au waliokaribu kutoweka duniani kwa sababu ya kutengwa na kubaguliwa kiuchumi, elimu kijamii na kisiasa?
Nadhani hamna anae jua baba ake museven mama ake alitokea Rwanda bila baba kawa mkimbizi Uganda, anyway sina wakika na hiyo narration ila museven ni jamii ya watusi wa Rwanda wa watwa ni jamii ya wahutu wa Rwanda.
 
Nadhani hamna anae jua baba ake museven mama ake alitokea Rwanda bila baba kawa mkimbizi Uganda, anyway sina wakika na hiyo narration ila museven ni myarwanda wa rwanda watwa ni jamii ya wahutu wa rwanda.
ndio kabisa
Mama yake ndio mtusi ila si baba ake
 
Baba akae anaitwa Amos kaguta bahati mbaya mtandao haujui mengi kuhusu yeye
Huyu ni baba wake wakambo mme wa mama ake ndo akaza salimu saleh his halfbrother huyu sio baba museveni wa kuzaa, wewe uliona wapi mtu wa miaka 90 kuzaa mtoto wa miaka 80
 
Huyu ni baba wake wakambo mme wa mama ake ndo akaza salimu saleh his halfbrother huyu sio baba museveni wa kuzaa, wewe uliona wapi mtu wa miaka 90 kuzaa mtoto wa miaka 80
😂😂😂kaka nashukuru sana aisee
 
Back
Top Bottom