Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Nadhani hamna anae jua baba ake museven mama ake alitokea Rwanda bila baba kawa mkimbizi Uganda, anyway sina wakika na hiyo narration ila museven ni jamii ya watusi wa Rwanda wa watwa ni jamii ya wahutu wa Rwanda.Wakuu wapenda historia na investigative history!
Je ni kweli yoweri mseveni baba yake alitokea kwa abatwaa na mama yake alikua mtusi!
Kma ni kweli je kwanini hawasaidii watwaa wenzie wanaokufa au waliokaribu kutoweka duniani kwa sababu ya kutengwa na kubaguliwa kiuchumi, elimu kijamii na kisiasa?
ndio kabisaNadhani hamna anae jua baba ake museven mama ake alitokea Rwanda bila baba kawa mkimbizi Uganda, anyway sina wakika na hiyo narration ila museven ni myarwanda wa rwanda watwa ni jamii ya wahutu wa rwanda.
Kwani Baba ake anajulikana?ndio kabisa
Mama yake ndio mtusi ila si baba ake
Baba akae anaitwa Amos kaguta bahati mbaya mtandao haujui mengi kuhusu yeyeKwani Baba ake anajulikana?
Hiyo hapo juu ni picha yakeKwani Baba ake anajulikana?
Huyu ni baba wake wakambo mme wa mama ake ndo akaza salimu saleh his halfbrother huyu sio baba museveni wa kuzaa, wewe uliona wapi mtu wa miaka 90 kuzaa mtoto wa miaka 80Baba akae anaitwa Amos kaguta bahati mbaya mtandao haujui mengi kuhusu yeye
😂😂😂kaka nashukuru sana aiseeHuyu ni baba wake wakambo mme wa mama ake ndo akaza salimu saleh his halfbrother huyu sio baba museveni wa kuzaa, wewe uliona wapi mtu wa miaka 90 kuzaa mtoto wa miaka 80
kivipNa yeye akaamua kurudi nyumbani kwa kumuona mtutsi