Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Kunakosa kubwa sana unalolifanya ktk kutafsiri hoja na mktada mzima.Sielewi cha kuchekesha hapo...facts haziwezi kuwa substituted na habari zinazotakiwa 'kuaminiwa'. Sjui kaa umensoma.
Kama swala hili ulilifuatilia tangu ripoti ya richmond,ripoti ya mwakyembe polisi,ajali ya gari, kuugua kwake na RIPOTI yangu, ningekuomba utafakari bila jaziba!
Sifa mojawapo ya kutafsiri taarifa za kiintelijenzia ni kutotumia jaziba!
Sikulazimishi uamini ila sikubaliani unipinge bila maelezo sahihi. Unatumia kigezo gani cha kiuchunguzi kutoiamini ripoti yangu? Je kurudi kwa Mwakyembe ni uthibitisho wa uongo wangu?
Mkuu nakuomba jenga hoja yenye kulikomboa taifa au kuliua kama wafanyavyo wabaya wa Mageuzi.
Ila kunipinga kwa jaziba hutakua kifikra na utaitwa mpinzani wakati sio kweli!