Je, Bado Una Imani na Jason Bourne?

Je, Bado Una Imani na Jason Bourne?

Sielewi cha kuchekesha hapo...facts haziwezi kuwa substituted na habari zinazotakiwa 'kuaminiwa'. Sjui kaa umensoma.
Kunakosa kubwa sana unalolifanya ktk kutafsiri hoja na mktada mzima.

Kama swala hili ulilifuatilia tangu ripoti ya richmond,ripoti ya mwakyembe polisi,ajali ya gari, kuugua kwake na RIPOTI yangu, ningekuomba utafakari bila jaziba!
Sifa mojawapo ya kutafsiri taarifa za kiintelijenzia ni kutotumia jaziba!

Sikulazimishi uamini ila sikubaliani unipinge bila maelezo sahihi. Unatumia kigezo gani cha kiuchunguzi kutoiamini ripoti yangu? Je kurudi kwa Mwakyembe ni uthibitisho wa uongo wangu?

Mkuu nakuomba jenga hoja yenye kulikomboa taifa au kuliua kama wafanyavyo wabaya wa Mageuzi.

Ila kunipinga kwa jaziba hutakua kifikra na utaitwa mpinzani wakati sio kweli!
 
Joson bourne u r very honest! Usiwajibu hawa,jibu mwenye fact tu,wafuatiliaji wa mambo ndio wanaokuelewa.kumbuka shule zimefungwa! Watoto wamejaa sasa! Waliotajwa hawajakanusha! Mnafikiri wajinga?
 
Samahan kwa wale ambao hawajasoma sheria...hivi maana na mantiki ya kuweka "causation" kwenye offence ya murder ni nini???
 
Ooh Amen Zion daughter niliomba lakini sikufunga jamani mungu aendelee kuonyesha miujiza
 
sharp mind na mtu mwenye access ndo anaweza kumpima jb kama ni kweli au la. sio ww unaecheza karata kwenye laptop yako na kuingia jf usubiri habari. toka nje zunguka then utaweza kujua yanayojili. jb taarifa aliyotoa inajitosheleza kwa kuwa matukio yamefuatana kimantiki. maanake jb ana internal informer so. ww leo kuanza uzi huu ni enemy side maana umejaribu kuyarecal uzi za jb kinyume. akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Dah inavyoonekana watu walikuwa wanataka jamaa wafe............. tatizo na walengwa pia wanachangia maana hawajatoa hata tamko wala nini kiliwasibu anyways tuendelee kusubiri maana hii ndio Tz zaidi ya uijuavyo............
 
Pamoja na yote aliyoyaandika, lakini usisahau kuwa aliwataka watanzania kuwaombea hao viongoizi wetu, na kwa jinsi watanzania walivyo na imani za dini zao bila shaka walimuombea, na Mungu akasikia maombi yao na kuwaponya viongozi hao, sioni kama kuna nongwa hapo.

Au wewe huamini kwamba Mungu ana uwezo wa kuwaponya??

Kwa Mungu kila jambo lawezekana, hata wafu hufufuka. Bado nina imani naye@u ukitaka toa hoja makini na za kiuchambuzi na za kitaalam bila kusahau za kiimani kumpinga maana mambo yote yalihusika, utaalam na maombi kwa pamoja, hata hao wagonjwa walipotua nchini walisema hivi= Nawashukuru WaTanzania kwa maombi yenu na siyo kwa matibabu yenu. Uko hapo?
 
Kidini (UKRISTO) Imani ni nini?
Waebrania 11:1 inajibu “ Imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarijiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana”.


Kidunia na haswa katika mada hii, kuwa na imani na mtu ni kuwa na utayari wa kuyakubali au kuyaafiki yale yote anayoyasema au kuyaandika huku ukiwa huna jinsi ya kuyathibitisha mpaka muda umetimia kuthibitisha aliyoyasema au kuyaandika.

Naomba kukosolewa!

Uko sawa na makini
 
Sina jukumu la 'kuamini'. Endelea kuhangaika na wanaotaka kuamini.

pia siyo lzima uamini kila kitu, waweza pia amini vile akili yako inavyokutuma kuamini ila pia usitake na wengine wakuamini wewe, waweza kunyamaza bila kuendelea kutujazia nafasi.
 
Samahan,
ntajie mfu alofufuka,ambae media zimemripoti au wewe kumu0na
Kwa Mungu kila jambo lawezekana, hata wafu hufufuka. Bado nina imani naye@u ukitaka toa hoja makini na za kiuchambuzi na za kitaalam bila kusahau za kiimani kumpinga maana mambo yote yalihusika, utaalam na maombi kwa pamoja, hata hao wagonjwa walipotua nchini walisema hivi= Nawashukuru WaTanzania kwa maombi yenu na siyo kwa matibabu yenu. Uko hapo?
 
hadi sasa report ya JB naiamini 90%, wanaopinga ndo hao wa kikosi cha LTK.
 
It ıs very obvıous kuna watu wametumwa hapa kudıstort ukwelı wa report nzıma ya jason bourne na kutuchanganya!nashındwa kuelewa kwanza kwanın revısed versıon ya hıyo report ına mapungufu mengı kulıko report halısı na kwanın hasa kulıkuwa na sababu ya kufanya hıvyo?alıyesoma report ya kwanza hatakuwa na shaka that JB's report ıs full of facts
 
Back
Top Bottom