Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Ni kweli mkuu. Ni kama mchawi akishagundulika tu kama ni mchawi, basi huogopwa na kila mtu mpaka watoto wake.Na siku wamempokea Lowassa ndio siku chama kilikufa rasmi, imani waliyokua nayo kwa wananchi kabla ya kumpokea huyu mzee hawatokuja kuipata tena, KAMWE ASILANI.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Hakuna mtu atakaewaamini na kuwasikiliza tena hao wapinzani uchwara. Labda wasikilizwe na hawa vijana wao wanaowalipa viela vya kula ili waje kujaza propaganda zao humu mitandaoni.