Kwani Lissu yeye ni Yesu?
kwamba kila asemalo ni la ukweli 100%?
Na kama anao ushahidi,ni kwa nini asimpatie mwanasheria wake, Robert Amsterdam,ili awapeleke the Hague,kule Uholanzi ICJ?
Mtu aliyejeruhiwa anakuwa amerukwa akili hivyo hata Lissu,tufike mahali,kutokana na anavyotuhumu bila ushahidi?
Tumchukulie hivyo!
Kila siku humu,mnachafua majina ya watu,na familia zao!
Lissu...Lissu Lissu!
Mfike mahali mjidharau na nyinyi!
Kuna wengi wameumia nchi hii.sio huyo Lissu wenu wa Chadema pekee!
Na kupigwa Risasi isiwe kigezo cha kuwa mkweli au muadilifu!
Au kuwa ndio testimony ya kuupata uraisi.
Tumchukulie Lissu, kama majeruhi wa risasi aliechanganyikiwa....
Yaani kwamba,huenda Dish lake limetingishika kidogo,huenda ndio maana anarudi rudi kwa Daktari mara kwa mara!
Chadema Lissu ni kama Nabii au??
View attachment 2525654
Acheni Uzwazwa...tumewachoka sasa!