Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Ni kweli mkuu. Ni kama mchawi akishagundulika tu kama ni mchawi, basi huogopwa na kila mtu mpaka watoto wake.Na siku wamempokea Lowassa ndio siku chama kilikufa rasmi, imani waliyokua nayo kwa wananchi kabla ya kumpokea huyu mzee hawatokuja kuipata tena, KAMWE ASILANI.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Lissu ni mende na ni kwa sasa yuko kundi maalumu katika binadamu wanyonge hawezi kufanya chochote huyo bwege, sasa hivi anasogelea kaburi na kukiita kifo kila siku, huyu mpumbavu wanaomtuma ni vibwengo.
Lissu kasema bila kupingwa kwamba kikosi kazi cha kumpiga risasi yeye, kutunga kesi, utekaji wote mpaka wa Dewji umefanywa chini ya maelekezo na usamamizi wa mtu mmoja ambaye ni Balozi Kipilimba. Hajawahi kutoka hata siku mmoja kukana chochote maana ni ukweli mtupu.
Kuna wanaofikiria alikuwa mazalendo na kufuata au kunusa hasira za Raisi bosi wake hivyo hana hatia. Wengine wanasema huwezi kufanya mauaji kwa niaba ya mtu yeyote unatakiwa kufuata katiba. Je leo hii ikigundulika kama wanavyodai anaweza kufunguliwa mashitaka? Na je huyu ni mzalendo au muuaji? Na Je aliapa kwa katiba au Raisi ?
Mimi kwa mawazo yangu na kumjua Magufuli kama kiongozi na kama familia siamini kama alimtuma huyu balozi kuuwa mtu yeyote lakini Magufuli anakuwa na hasira na anaweza kuongea vitu vya kutisha lakini siamini kama anaweza kumpigia simu na kutoa maelekezo kutoka kwenye kinywa chake kwamba fulani apigwe risasi hili ni gumu kuamini. Lakini Magufuli huyo huyo anaweza kuwasamahe na kusema tuko vitani na hawa ni kama wanajeshi wa taifa na hata ingilia kazi yao. Magufuli alikuwa na double personality.
Yeye Lissu kaongea yake ya kumtafutia umaarufu. Huwezi kupinga kila ngonjera anayoleta mpuuzi anayotafuta umaarufu. Sana sana angemshitaki kwa kumchafua ili atoe ushahidi. Sasa maridhiano waliyoingia na CCM ni kuwa hakuna kesi zote zimefutwa na waongee tu. Kapilima ana akili sana hataki malumbano na CCM. Ujue sio malumbano na Lissu bali ni malumbano na CCM.
Lissu kasema bila kupingwa kwamba kikosi kazi cha kumpiga risasi yeye, kutunga kesi, utekaji wote mpaka wa Dewji umefanywa chini ya maelekezo na usamamizi wa mtu mmoja ambaye ni Balozi Kipilimba. Hajawahi kutoka hata siku mmoja kukana chochote maana ni ukweli mtupu.
Kuna wanaofikiria alikuwa mazalendo na kufuata au kunusa hasira za Raisi bosi wake hivyo hana hatia. Wengine wanasema huwezi kufanya mauaji kwa niaba ya mtu yeyote unatakiwa kufuata katiba. Je leo hii ikigundulika kama wanavyodai anaweza kufunguliwa mashitaka? Na je huyu ni mzalendo au muuaji? Na Je aliapa kwa katiba au Raisi ?
Mimi kwa mawazo yangu na kumjua Magufuli kama kiongozi na kama familia siamini kama alimtuma huyu balozi kuuwa mtu yeyote lakini Magufuli anakuwa na hasira na anaweza kuongea vitu vya kutisha lakini siamini kama anaweza kumpigia simu na kutoa maelekezo kutoka kwenye kinywa chake kwamba fulani apigwe risasi hili ni gumu kuamini. Lakini Magufuli huyo huyo anaweza kuwasamahe na kusema tuko vitani na hawa ni kama wanajeshi wa taifa na hata ingilia kazi yao. Magufuli alikuwa na double personality.
Hai make sense bro, huyu mama would take the earliest possible opportunity to vilify her predecessor, ukiona hafanyi ujue hakuna ishu hapo.Kulindana ni jambo la kawaida kwa wanaccm wote, na hiyo imepewa jina kulinda siri za serikali.
Hai make sense bro, huyu mama would take the earliest possible opportunity to vilify her predecessor, ukiona hafanyi ujue hakuna ishu hapo.
Live with it man!
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Wewew ni kimaLisu kaisha waacha solemba wanachama wa Chadema. 85% hawana tena hamu nae na hawataki tena kuongelea habari zake.
Nashangaa mleta mada umepataje ujasiri leo wakuja kumzungumzia mtu aliekikimbia chama chake mwenyewe.
Lisu amekimbia nchi huku Magufuli na Kapilimba wakiwa hawapo madarakani.
85%? ulijuaje?Lisu kaisha waacha solemba wanachama wa Chadema. 85% hawana tena hamu nae na hawataki tena kuongelea habari zake.
Nashangaa mleta mada umepataje ujasiri leo wakuja kumzungumzia mtu aliekikimbia chama chake mwenyewe.
Lisu amekimbia nchi huku Magufuli na Kapilimba wakiwa hawapo madarakani.
Wakifanya hili natembea Mafinga Hadi Igawa Kwa miguu...Raisi aunde TUME YA UCHUNGUZI ili ukweli ujulikane.
Wakifanya hili natembea Mafinga Hadi Igawa Kwa miguu.
Dada acha kupanic. Mumeo kachagua kuwa mwanasiasa, kwahiyo acha asemwe kama wanavyosemwa wanasiasa wengine.Wewew ni kima
Hebu watafute wale wote waliokuwa wanaandika habari zake humu usiku na mchana, ili uone kama wameandika habari zingine baada ya kuondoka.85%? ulijuaje?
uliongea na wana chadema wangapi?
lengo lako lilikuwa nini?
hao wana cdm uliwapataje ili kuwahoji?
wana elimu gani, umri na wanaishi wapi?
hujui chochote kuhusu utafiti una rocharocha tu. kawambie wapuuzi wenzio indo watakuelewa unamaanisha nini?Hebu watafute wale wote waliokuwa wanaandika habari zake humu usiku na mchana, ili uone kama wameandika habari zingine baada ya kuondoka.
Haya hamna shida.hujui chochote kuhusu utafiti una rocharocha tu. kawambie wapuuzi wenzio indo watakuelewa unamaanisha nini?
Huyo nduyo Msaliti Wetu tundulissu. He throws mud and dirt around, scurrilous but plausible, then waits for some poor fellow to respond to give credence to his story. Ni sawa na mwehu aliyeuchi aibe nguo yako ubaki uchi halafu uanze kumfukuza ukiwa uchi, wewe ndiyo utaumbuka. Kapilinga is a pro, he knows all these gimmicks. Another example alisema "Magufuli wenu amejigungia kikao na ma RAS na ma DED wote wanapanga kuiba kura za CHADEMA. Magu said nothing - he was then at Kwa Koa in Same - but the DG of the Electoral Commission intervened and suspended him (tundulissu) for a week, hakuacha kutoa matusi, sawa na mwizi wa nguo za uchi. Right now anasema matokeo ya Urais hayajatangazwa,walitangaza kwenye TV siku ile dunia nzima ikiona na hadi leo yako kwenye we site. Ni wazi tundulissu anataka Afisa fulani awe uchi waanze kufukuzana.
Lissu kasema bila kupingwa kwamba kikosi kazi cha kumpiga risasi yeye, kutunga kesi, utekaji wote mpaka wa Dewji umefanywa chini ya maelekezo na usamamizi wa mtu mmoja ambaye ni Balozi Kipilimba. Hajawahi kutoka hata siku mmoja kukana chochote maana ni ukweli mtupu.
Kuna wanaofikiria alikuwa mazalendo na kufuata au kunusa hasira za Raisi bosi wake hivyo hana hatia. Wengine wanasema huwezi kufanya mauaji kwa niaba ya mtu yeyote unatakiwa kufuata katiba. Je leo hii ikigundulika kama wanavyodai anaweza kufunguliwa mashitaka? Na je huyu ni mzalendo au muuaji? Na Je aliapa kwa katiba au Raisi ?
Mimi kwa mawazo yangu na kumjua Magufuli kama kiongozi na kama familia siamini kama alimtuma huyu balozi kuuwa mtu yeyote lakini Magufuli anakuwa na hasira na anaweza kuongea vitu vya kutisha lakini siamini kama anaweza kumpigia simu na kutoa maelekezo kutoka kwenye kinywa chake kwamba fulani apigwe risasi hili ni gumu kuamini. Lakini Magufuli huyo huyo anaweza kuwasamahe na kusema tuko vitani na hawa ni kama wanajeshi wa taifa na hata ingilia kazi yao. Magufuli alikuwa na double personality.
Jibu hoja mbona mlitaka kumuua?.Lisu kaisha waacha solemba wanachama wa Chadema. 85% hawana tena hamu nae na hawataki tena kuongelea habari zake.
Nashangaa mleta mada umepataje ujasiri leo wakuja kumzungumzia mtu aliekikimbia chama chake mwenyewe.
Lisu amekimbia nchi huku Magufuli na Kapilimba wakiwa hawapo madarakani.
Waswahili wanasema kikulacho kipo nguoni mwako.Jibu hoja mbona mlitaka kumuua?.
IPO siku wote mliohusika mtaaibika.