Je, Balozi Kipilimba ni mzalendo?

Utawafurahisha wengi humu, lakini my point stands.
 
Hio katiba alio apa nayo ndio ndani yake kuna takwa la kumheshimu na kumtii rais wa jamuhuri.

Lakini achaneni na propaganda za lisu, yeye ashukuru Mungu yu mzima sasa.

Ikumbukwe pia modestus ni mchungaji.
Nikimiliki silaha siku moja nakuvuruga hiyo mironjo alafu nduguzo washukuru haujafa
 
Kwa hiyo lissu alitakaje?... Nchi isiwe na kikosi kushughulikia usalama wa nchi? Watu wasaliti wenye kushirikiana na adui kuhujumu malengo na mstakabali wa taifa anataka wawe wanaombewa misikitini na makanisani? ..waombwe kutubu hata kama wameapiza usaliti na kushirikiana na adui wa nchi ni wajibu wao?
Yafaa hawa wenye kuwataja kwa majina watumishi wa umma ambao wametimiza tu wajibu wao wawe wanashughulikiwa kukomesha umbea au uzandiki.
 
Lodi lofa huyooo🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…