Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakuu, salama?
Kama tunavyojua mvua ikinyesha kidogo tu kutokana na miondombinu mibovu basi huleta maafa makubwa kwenye baadhi ya maeneo ikiwemo kwenye barabara.
Serikali hutoa fedha kwa madai ya kukarabati barabara hizo. Je, mdau huko ulipo barabara zilizoharibika kwa mvua mwaka jana zimekarabatiwa? Viongozi wa eneo hilo pia wanasemaje?
Soma: Haya mabilioni yanayotolewaga msimu wa mvua kukarabati barabara zilizoathirika ni ufisadi mwingine