kuongeza bei ya petrol ni sawa na kupandisha bei ya kila kila kitu, maana hakuna kitu kisichotegemea usafiri. vitafutwe vyanzo vingine vya mapatoAthari yake ni kuchochea mfumuko wa bei ya bidhaa na huduma nyingine nyingi na kusababisha maumivu kwa wananchi.