Tetesi: Je, bei ya petroli nchini kuongezeka?

Tetesi: Je, bei ya petroli nchini kuongezeka?

Athari yake ni kuchochea mfumuko wa bei ya bidhaa na huduma nyingine nyingi na kusababisha maumivu kwa wananchi.
kuongeza bei ya petrol ni sawa na kupandisha bei ya kila kila kitu, maana hakuna kitu kisichotegemea usafiri. vitafutwe vyanzo vingine vya mapato
 
kama waziri ameweka bujeti ndogo hilo ni tatizo la wizara kwa kukosa vbunifu wa kutafuta mapato ya ziada na utekelezaji wa miradi
 
Huu ni mtego wa kumhujumu Magufuli...ukipandisha petroli umepandisha kila kitu....by the way Kitila Mkumbo amesema bajeti inamtosha.
 
Back
Top Bottom