I ingipower Member Joined Apr 3, 2012 Posts 86 Reaction score 37 May 15, 2017 #21 Cannibal OX said: Athari yake ni kuchochea mfumuko wa bei ya bidhaa na huduma nyingine nyingi na kusababisha maumivu kwa wananchi. Click to expand... kuongeza bei ya petrol ni sawa na kupandisha bei ya kila kila kitu, maana hakuna kitu kisichotegemea usafiri. vitafutwe vyanzo vingine vya mapato
Cannibal OX said: Athari yake ni kuchochea mfumuko wa bei ya bidhaa na huduma nyingine nyingi na kusababisha maumivu kwa wananchi. Click to expand... kuongeza bei ya petrol ni sawa na kupandisha bei ya kila kila kitu, maana hakuna kitu kisichotegemea usafiri. vitafutwe vyanzo vingine vya mapato
W wa hapahapa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 7,455 Reaction score 4,395 May 15, 2017 #22 kama waziri ameweka bujeti ndogo hilo ni tatizo la wizara kwa kukosa vbunifu wa kutafuta mapato ya ziada na utekelezaji wa miradi
kama waziri ameweka bujeti ndogo hilo ni tatizo la wizara kwa kukosa vbunifu wa kutafuta mapato ya ziada na utekelezaji wa miradi
jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 May 15, 2017 #23 Huu ni mtego wa kumhujumu Magufuli...ukipandisha petroli umepandisha kila kitu....by the way Kitila Mkumbo amesema bajeti inamtosha.
Huu ni mtego wa kumhujumu Magufuli...ukipandisha petroli umepandisha kila kitu....by the way Kitila Mkumbo amesema bajeti inamtosha.