figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Upo sahihiTangu alipoua Watanganyika wasio na hatia, Samia anaogopa kila kitu, hata kivuli chake kinamtisha
Mh Samia Suluhu ni mwamba huwa haogopi kenge kama hizoSalaam Wakuu,
Tupige Story za Siasa za Tanzania. Bila kuingia deep sana.
Wote tunajua nguvu ya hawa Wana CCM wenye Ushawishi.
Je, kwanini mfumo wa CCM ya Samia unawatema?
Je, Beno Morris Malisa, Hussein Bashe, Emmanuel Nchimbi, Rostam Aziz na Fred Lowassa ndo Wanamuogofya Samia? Ndo wanafanya aishi kwa uoga?
Hadi sasa timu ya Samia ambayo ina Wanaccm waaminifu kwake kama Kiziga, Riziwani Kikwete, Mafwele, wanaupiga mwingi na wanatumia mamlaka yao kuhakikisha wananyongonyesha CCM clean.
Ila Beno kawaibisha kulialia wakati Kundi la Samia limebakiza miaka 3 tu. Kwanini asitulie?
Je ni kundi gani litaibuka Kidedea mwisho wa siku?
Sidhani kama unaijuwa ccm vizuri, labda unaungaunga taarifa tu.Salaam Wakuu,
Tupige Story za Siasa za Tanzania. Bila kuingia deep sana.
Wote tunajua nguvu ya hawa Wana CCM wenye Ushawishi.
Je, kwanini mfumo wa CCM ya Samia unawatema?
Je, Beno Morris Malisa, Hussein Bashe, Emmanuel Nchimbi, Rostam Aziz na Fred Lowassa ndo Wanamuogofya Samia? Ndo wanafanya aishi kwa uoga?
Hadi sasa timu ya Samia ambayo ina Wanaccm waaminifu kwake kama Kiziga, Riziwani Kikwete, Mafwele, wanaupiga mwingi na wanatumia mamlaka yao kuhakikisha wananyongonyesha CCM clean.
Ila Beno kawaibisha kulialia wakati Kundi la Samia limebakiza miaka 3 tu. Kwanini asitulie?
Je ni kundi gani litaibuka Kidedea mwisho wa siku?
Husomeki bado. Bashe ni Lostam, Lostam ni Lowasa, Lowasa ni Nchimbi, Nchimbi ni Malisa. Wapi huelewi?Hussein Bashe ni kijana wa Rostam Aziz
Update software zako.Husomeki bado. Bashe ni Lostam, Lostam ni Lowasa, Lowasa ni Nchimbi, Nchimbi ni Malisa. Wapi huelewi?