Je, biashara ya Movie Library na Play Station (PS) bado zina soko kwa sasa?

Kuna kitu unaweza kuongea ukaonekana limbukeni bila kujijua, unajua gharama za kupakua movie Moja tu let's say Ina 1.3 gb?
Acha uzwazwa ,limbukeni mama yako na baba yako , nani limbukeni ?
Unajua bei ya movie moja ni shilingi ngapi kwenye hizo sehemu wanazouza ?
Yaani movie ununue kwa buku ,wakati kuna free sites GB moja unadownload movies mbili au tatu za mb 300 kila moja ?
Gb moja unadownload movie 3.
Wewe na umbumbumbu wako unaona ina make sense kutumia buku kununua movie moja wakati unaweza weka bundle la GB moja na kudownload movie tatu ? na wajanja zaidi hata bundle hatutumii ,kuna free vpns tu za speed Tu Kwa ajili ya free internet ,unaenda tumia kudownload , Mimi binafsi ni miaka miwili sasa sijajaza bundle la internet la mitandao uchwara ya humu nchini .
Kama hujui vitu kaa kimya mbwa wewe
 
Ok nimewafuatilia comments za kila mmoja huku kunawanaojua vyema hii biashara na wengine hawajui kitu,hii business nimeifanya toka 2018 kipindi hicho naanza nilikuwa na computer ya quare 2 duo na external ya 1tb jumla nilikuwa na storage GB 1500 na nikianza kwenye kibanda cha mtu yeye pia alikuwa anaifanya hii biashara sasa computer zake ziliharibika akawa hana jinsi akaona anikodishie.
Basi nikaanza kwa kusua sua na CD kama 15 za rango,chandraagupta,Aladdin, na udaani basi nikakomaa nakumbuka kwa siku nilikuwa naaingiza 1500 tena hapo naweka tu nyimbo basi,Sikh nzima na shinda officine nasikiliza nyimbo tu,siku kata tamaa nimekomaa mpaka sasa nina computer 2 za maana moja inamovies za kutafsiriwa tu nyingine zisizotafsiriwa kwa storage niliyokuwa nayo sasa tb 20 za movies za kutafisiriwa na TB 24 za movies zisizotafisiriwa aisee naaingiza pesa kinyama siju biashara ikiwa vinzuri naaingiza mpaka elfu 50 siku ikiwa mbaya elfu 25 mpaka 30 uniambii kitu kuhusu hii biashara naijua A to Z kwangu ukija ukosi kitu kama sina naidownload maana nina router ya airtel nailipia kwa mwenzi aisee nimejipanga
 
Bado unaendeleza kuleta u much know mwingi kumbe Zero brain tu. Aliyeanzisha thread kaomba ushauri kuhusu biashara ya movie library, miziki kwenye simu etc kama zinalipa. Wewe unaleta habari za ku download na kelele kibao, umewahi kufika Mbagala Zakhiem, Buguruni, Tandika na uswahilini kote nchini ukaona watu kibao bado wanatumia deki za DVD!??,hujajiuliza nani anatumia DVD Karne hii, jibu ni wapo wengi. Ukiangalia hili swala kijasiriamali bado hiyo biashara Ina pesa chafu (nyingi sana). Binafsi hata flash situmii tena, hata hizo cheap movies unazojidai nazo hapa sina time ya ku download naingia direct Netflix. Lakini hunikuti hapa nikikandia wanaweka movie kwenye mabanda sababu najua hiyo biashara ilivyo na ela. Hii dunia ni pana sana, usijione unajua kila kitu. Wakati mtu ananunua Smartphone ya milioni 4 au zaidi kuna mtu wiki hii hii ndo kashika smartphone yake ya kwanza tena Itel ya laki na 20. Ukikuta mjadala kama huu changia kwa ku consider jamii tofauti sio kuja kama unajaribu kuonyesha unajua kumbe mweupe tu. Kumbuka Jamii forums Kuna watu wa kuanzia watu wa Nanjilinji, Sengerema,..... hadi Berlin na Washington DC/New York ila tunaelimishana kwa busara, sio mmoja kujifanya analeta taarifa za New York kwenye topic inayohusu wanaoishi Tandahimba. Kama una akili utanielewa. Usiponielewa huna akili.
 
Ok nimewafuatilia comments za kila mmoja huku kunawanaojua vyema hii biashara na wengine hawajui kitu,hii business nimeifanya toka 2018 kipindi hicho naanza nilikuwa na computer ya quare 2 duo na external ya 1tb jumla nilikuwa na storage GB 1500 na nikianza kwenye kibanda cha mtu yeye pia alikuwa anaifanya hii biashara sasa computer zake ziliharibika akawa hana jinsi akaona anikodishie.
Basi nikaanza kwa kusua sua na CD kama 15 za rango,chandraagupta,Aladdin, na udaani basi nikakomaa nakumbuka kwa siku nilikuwa naaingiza 1500 tena hapo naweka tu nyimbo basi,Sikh nzima na shinda officine nasikiliza nyimbo tu,siku kata tamaa nimekomaa mpaka sasa nina computer 2 za maana moja inamovies za kutafsiriwa tu nyingine zisizotafsiriwa kwa storage niliyokuwa nayo sasa tb 20 za movies za kutafisiriwa na TB 24 za movies zisizotafisiriwa aisee naaingiza pesa kinyama siju biashara ikiwa vinzuri naaingiza mpaka elfu 50 siku ikiwa mbaya elfu 25 mpaka 30 uniambii kitu kuhusu hii biashara naijua A to Z kwangu ukija ukosi kitu kama sina naidownload maana nina router ya airtel nailipia kwa mwenzi aisee nimejipanga
Uko sahihi mkuu, hii biashara waweza kuingiza hadi laki siku za oyaoya. Unamuuzia mtu flashi ya 16 Gb, anakwambia nijazie miziki ya audio tupu, bongo fleva,bolingo kwaito , Nigeria etc. Unamwambia utanipa elfu 30, elfu 10 flash, elfu 20 miziki anakubali tu. Huyo ni mmoja tu. Na kwa wiki hukosi watatu wanne wa hivyo kama upo kona nzuri. Hii biashara Ina pesa nyingi sana, ukitulia inakutoa kimaisha..,hapa watu wengine wanaleta u much know wa sijui ku download.., mabando yalivyo juu wangapi wataweza ku download!!??
 
Kudownload kitu online inahitaji uwe na ujunzi maana site zipo nyingi sana na sio kila site zina movies hd,unaweza kudownload movies ikawa low quality au ikashindwa kuplaya kwenye TV,lila TV zinazotoka sasa lazima ujue code zake lasivyo utakuwa unawaza maji kwenye gunia,alafu kudownload movies inahitaji uwe na wifi maana kuitumia mb za hii mitandao itakata faster utanikuta download movies ya GB 1 kwa kutumia GB 5 maana internetbitakuwa inalika kwa ads za site au simu itakuwa inaji update yenyewe au app za simu,ili use na movies shop lazima uwe na internet ya kueleweka kama mimi nalioia kwa mwenzi 11000 unlimited
 
Acha uzwazwa ,limbukeni mama yako na baba yako , nani limbukeni ?
Unajua bei ya movie moja ni shilingi ngapi kwenye hizo sehemu wanazouza ?
Yaani movie ununue kwa buku ,wakati kuna free sites GB moja unadownload movies mbili au tatu za mb 300 kila moja ?
Gb moja unadownload movie 3.
Wewe na umbumbumbu wako unaona ina make sense kutumia buku kununua movie moja wakati unaweza weka bundle la GB moja na kudownload movie tatu ? na wajanja zaidi hata bundle hatutumii ,kuna free vpns tu za speed Tu Kwa ajili ya free internet ,unaenda tumia kudownload , Mimi binafsi ni miaka miwili sasa sijajaza bundle la internet la mitandao uchwara ya humu nchini .
Kama hujui vitu kaa kimya mbwa wewe
Kunywa maji kwanza basi chief😃
 
Kwanza mnazungumzia bei za Daslam
Mikoani movies ni Tsh.200 na hawana story na issue za kudownload yaani kwa simu gani?? Kwa bei gani ya bando?? Kwa WiFi kutoka wapi???
Series/season yote ep zote unapata kwa buku tu kwanini uhangaike kuunga Mb labda kufuatilia story za Jobe na Kibu D na kuangalia Pilau
 
Back
Top Bottom