Je Biblia inapoongelea MVINYO na DIVAI inamaanisha nini? Je DIVAI na MVINYO vinaeitwaje kwa Kingereza?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Muujiza wa kwanza alioufanya Yesu ulikuwa ni kubadili maji kuwa divai. Yesu alikuwa anagonga maji mazuri, ndio maana mara kadhaa kuwa walimwita mlevi, lakini walokole wanabisha wanasema eti Yesu alitengeneza juice.

Sasa nataka waje wasome hapa

Luka 7:31-50 BHN​

Yesu akaendelea kusema, “Basi, nitawafananisha watu wa kizazi hiki na kitu gani? Ni watu wa namna gani? Ni kama vijana waliokuwa wamekaa sokoni na kuambiana, kikundi kimoja na kingine: ‘Tumewapigieni ngoma, lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkulia!’ Kwa maana Yohane alikuja, akawa anafunga na hakunywa divai, nanyi mkasema: ‘Amepagawa na pepo!’ Naye Mwana wa Mtu amekuja, anakula na kunywa, nanyi mkasema: ‘Mwangalieni mlafi huyu na mlevi; rafiki ya watozaushuru na wenye dhambi!’

Lycaon pictus, uzi tayari ngoja tusubiri masadukayo wanasemaje wakiongozwa na Interlacustrine R
 
Kwani ulevi ni kutumia alcohol pekee?
 
Upo nje ya mada,acha kukurupuka.
 
Nashindwa nikufananishe na kitu gani. Yaani mtu akishakunywa divai tayari ni mlevi?

Yesu amezungumzia habar za unywaji divai na ulevi, Je amezungumzia ulevi? Au alielezea fikra za watu juu ya unywaji divai?(mafarisayo au wajuaji wa taurati)

Aliyepelekwa mashariki ya mbali alitenganishwa mbali na ufahamu.

Fikiria kidogo juu ya maneno ya mafarisayo kuhusu yohane mbatizaji. Uhusishwaji wa utendaji wa kinabii na ulevi, Utagundua shida yako iko mahala fulani.
 
Back
Top Bottom