Je Biblia inapoongelea MVINYO na DIVAI inamaanisha nini? Je DIVAI na MVINYO vinaeitwaje kwa Kingereza?

Kwani kwenye Amri kumi za YWH Kuna Amri inasema usinywe pombe na usilewe?
Au Mimi ndio sizijui zile Amri kumi zilizotelemshwa na Makerubi!
 
Muujiza wa kwanza alioufanya Yesu ulikuwa ni kubadili maji kuwa divai. Yesu alikuwa anagonga maji mazuri, ndio maana mara kadhaa kuwa walimwita mlevi, lakini walokole wanabisha wanasema eti Yesu alitengeneza juice.

Sasa nataka waje wasome hapa

Luka 7:31-50 BHN​

Yesu akaendelea kusema, “Basi, nitawafananisha watu wa kizazi hiki na kitu gani? Ni watu wa namna gani? Ni kama vijana waliokuwa wamekaa sokoni na kuambiana, kikundi kimoja na kingine: ‘Tumewapigieni ngoma, lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkulia!’ Kwa maana Yohane alikuja, akawa anafunga na hakunywa divai, nanyi mkasema: ‘Amepagawa na pepo!’ Naye Mwana wa Mtu amekuja, anakula na kunywa, nanyi mkasema: ‘Mwangalieni mlafi huyu na mlevi; rafiki ya watozaushuru na wenye dhambi!’

Lycaon pictus, uzi tayari ngoja tusubiri masadukayo wanasemaje wakiongozwa na Interlacustrine R
Kwanza neno mvinyo limetokana na neno Vino. Neno hili ni la kiitaliano na kispanish, linamaanisha wine. Neno wine kwa kiswahili ni divai. Hivyo basi, divai na mvinyo ni kitu kimoja. Watu wanataka kuyatofautisha ili kupotosha neno la Mungu.
 
Muujiza wa kwanza alioufanya Yesu ulikuwa ni kubadili maji kuwa divai. Yesu alikuwa anagonga maji mazuri, ndio maana mara kadhaa kuwa walimwita mlevi, lakini walokole wanabisha wanasema eti Yesu alitengeneza juice.

Sasa nataka waje wasome hapa

Luka 7:31-50 BHN​

Yesu akaendelea kusema, “Basi, nitawafananisha watu wa kizazi hiki na kitu gani? Ni watu wa namna gani? Ni kama vijana waliokuwa wamekaa sokoni na kuambiana, kikundi kimoja na kingine: ‘Tumewapigieni ngoma, lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkulia!’ Kwa maana Yohane alikuja, akawa anafunga na hakunywa divai, nanyi mkasema: ‘Amepagawa na pepo!’ Naye Mwana wa Mtu amekuja, anakula na kunywa, nanyi mkasema: ‘Mwangalieni mlafi huyu na mlevi; rafiki ya watozaushuru na wenye dhambi!’

Lycaon pictus, uzi tayari ngoja tusubiri masadukayo wanasemaje wakiongozwa na Interlacustrine R
Divai na Mvinyo vyote ni vileo.
Mvinyo ni neno la Kiswahili
Divai ni kifaransa, limetokana na Kifaransa du vin.
 
Back
Top Bottom