Je Biblia inapoongelea MVINYO na DIVAI inamaanisha nini? Je DIVAI na MVINYO vinaeitwaje kwa Kingereza?

Kwani kwenye Amri kumi za YWH Kuna Amri inasema usinywe pombe na usilewe?
Au Mimi ndio sizijui zile Amri kumi zilizotelemshwa na Makerubi!
 
Kwanza neno mvinyo limetokana na neno Vino. Neno hili ni la kiitaliano na kispanish, linamaanisha wine. Neno wine kwa kiswahili ni divai. Hivyo basi, divai na mvinyo ni kitu kimoja. Watu wanataka kuyatofautisha ili kupotosha neno la Mungu.
 
Divai na Mvinyo vyote ni vileo.
Mvinyo ni neno la Kiswahili
Divai ni kifaransa, limetokana na Kifaransa du vin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…