yaan mwanamke kutokuwa na bikra sawa sio issue... ila jambo la kusema ukimkuta na bikra unamwacha... hakunaga hiyo kitu aisee..!Namaanisha...labda nkuulize kitu unasikia nn unapokuwa na mwanamke bikra....?!...tofauti na ubinafsi baada ya tukio
Soma post yangu hapo chini ili uone kwa nini siwahitaji wala siwapendiyaan mwanamke kutokuwa na bikra sawa sio issue... ila jambo la kusema ukimkuta na bikra unamwacha... hakunaga hiyo kitu aisee..!
"UBINAFSI"....kwa nini usimwache?au Asikuache?...sababu ulimtoa bikra?...mbona tunaoa ambao hawana bikra kama unareason kwamba huwezi kumwacha mwanamke mwenye bikra....!na ukumbuke kila mwanamke alikuwa bikra kwa hiyo tunakutana nao Wameachwa na waliowabikiri kwa hiyo Wanaachwa tena sana...Wewe kama Mwanamme una Akili timamu Na unaupenda Ukweli Mwanamke bikra unaenda nae wapi kwa hii dunia tuliopo walikuwa na nafasi zao Dunia iliyopita siyo hiiyaan mwanamke kutokuwa na bikra sawa sio issue... ila jambo la kusema ukimkuta na bikra unamwacha... hakunaga hiyo kitu aisee..!
Subiri Ray Van Boy; tuombe msaada jamani wana jf hebu tujuzeni mkoa gani kwahapa Tanzania inapatikana kwawingi hii kitu bikira jamaa Ray Van boy anasema adimu kama fafafaKwanza mm sijaona hiyo bikra wanayo isema siku zote labda niaiona ndotoni
Utamjuaje mwanamke Bikra!Yaani umtoe bikra mwnamke na usijue??? Alikua mwanamke wako wa kwanza?
Nitafutie aiseeSubiri Ray Van Boy; tuombe msaada jamani wana jf hebu tujuzeni mkoa gani kwahapa Tanzania inapatikana kwawingi hii kitu bikira jamaa Ray Van boy anasema adimu kama fafafa
Wangine wametolewa bikra kwa vikotikoti wakiwa wanachuma kismvuuJamani kuendesha baiskeli kutoa bikra balaaaaaa
Ni kweli kabisa ukiwauliza hilo swali huwa wanachukia sana sijui ni kwa niniHilo swali wanawake wengi hawalipendi... Wanahisi utawaona kama namna gani sijui..
hahahahhahahah........Nmekumbuk enz hzo chuo kuna manz nilimtoa usichana, nilimkaba shingo huku namla alikua analia kama mbuzi
Nitafutie aisee
Umefurahi nini sasahahahahhahahah........
Nawe mkeo kwako no wa ngapi?Naombeni msaada kwanza ni kweli bikra inaweza kutolewa bila mwanaume kumwingilia msichana na kwanini wadada wengi wanapoulizwa swali hili wanakuwa wakali sana mfano mke wangu kila nikimuuliza swali hili lazima uzuke ugomvi na kudai mtoaji ni mimi na hukasirika sana na kudai kama siamini basi nshakuwa na wanaume mia
Sasa swali ninalojiuliza kwanini anakuwa mkali na kuniambia ni mimi ndo mtoaji wakati sikuona dalili hizo for the first time
SWALI HILI NAJUA WENGI WA WANAUME WANALO KICHWANI WANAWEZA KUWA MAJASIRI WAKAULIZA AU WAKAMEZA TU BILA KUULIZA
ha ha ha ha ah aha ha ha duuuuuuh sidhani labda kama kashakuuwa kizeeee....mwendo kasiiiiiiWengine toka watolewe bikra mpk akitaja idadi ya waliopita hapo kati anajaza mwendokasi