johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mkuu uliadimika kidogo......au ni sikukuu?!Upinzani imara utatoka Nccr mageuzi na sio hawa vijakazi wa mabeberu kutoka mitaa ya ufipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna upinzani au waimba mipasho tu!
Mkuu uliadimika kidogo......au ni sikukuu?!
Pole sana mkuu humu Ufipa ndio wanajiona wako uwanja wa nyumbani!Sikukuu Mkuu, pia wakubwa wa humu wananitandika sana ban yaani naonewa sana humu Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaoshabikia kuua upinzani wajiulize 2005-2015 tusingekuwa na upinzani imara nani angebeba bendera ya CCM? Jiulize pia kwa maguvu yanayotumika kuua upinzani-matokeo kwenye mambo ya utawala bora yakoje,na upinzani wa kweli ukifa nani atamfunga jamaa yetu pale magogoni (jpm) speed governor.Uwepo wa upinzani katika mfumo wa kisiasa kuna faida na hasara zake.
Moja ya faida ni ile ya kuusingizia upinzani kila wakati mambo yanavyokwenda ndivyo sivyo.
Hakuna upinzani,hata huu unao wanyima usingizi CCM wanaohangaika kuuua siyo upinzaniKwani kuna upinzani au waimba mipasho tu!
Buku 7 zake za siku mbili hazikulipwa akazira kidogo.Mkuu uliadimika kidogo......au ni sikukuu?!
Malipo ya bando yalichelewa.Mkuu uliadimika kidogo......au ni sikukuu?!
Waimba mipasho wasipokuwepo hata wewe hutakuwa na kaziKwani kuna upinzani au waimba mipasho tu!
China kuna vyama vingapi vya siasa ?Uwepo wa upinzani katika mfumo wa kisiasa kuna faida na hasara zake.
Moja ya faida ni ile ya kuusingizia upinzani kila wakati mambo yanavyokwenda ndivyo sivyo.
Hata kwenye dini pasingekuwepo shetani basi sifa na shutuma zote zingekuwa zinapelekwa kwa Mungu lakini sasa uovu huelekezwa kwa shetani japo anayeutenda ni binadamu.
Wakati CCM ikijikita kwenye kuufuta upinzani kwenye ramani ya siasa ikumbuke pia wapinzani wakiisha shutuma na madongo ya wanasiasa yataanza kuelekezwa kwa viongozi wake.
Tusisahau kuwa wanasiasa wa " kweli " hutafuta kusifiwa na wananchi siyo viongozi tulioishi wakati wa Nyerere tunalikumbuka hilo.
Hivyo viongozi wa CCM na hasa wale wenye makandokando wajiandae, hawa akina " Lijualikali " Mbowe na Chadema wakiondoka watatafuta wa kuwatupia madongo ndani ya CCM ili waendelee kusikika.
Nawatakia Eid pili yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Wakudadavuwa
Bundle la chuo lilikataMkuu uliadimika kidogo......au ni sikukuu?!
Na mnatumia mamilioni kuwanunua!Kwani kuna upinzani au waimba mipasho tu!
Siku zote msema kweli lazima aonewe. Maana unafichua maovu ya Chadema.Sikukuu Mkuu, pia wakubwa wa humu wananitandika sana ban yaani naonewa sana humu Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app