Je, bila ya Diamond, muziki wetu utasonga zaidi ya hapa?

Mziki wa Tanzania ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo. Huyo dogo ameukuta mziki na ndiyo maana hata nyimbo nyingine anacopy toka zile za zamani. Hana jipya zaidi ya kunengua stejini ili kuvuna washabiki uchwala wa muziki kama wewe.
Mfalme wa Reggae alikufa (Bob Marley) lakini sio Raggae ilikufa.
 
Ni kweli kaukuta mziki, ila haukuwa hapo alipoufikisha yeye. Huo ndio ukweli ambao hata kama ni mchungu ni lazima tuukubali. Leo anayebeba icon ya muziki wa Tanzania kimataifa ni Diamond. Huwezi kuzungumzia mafanikio makubwa ya muziki wa Tanzania kimataifa halafu ukamuweka Diamond pembeni. Ni yeye ndiye kaufanya muziki wetu uthaminike kimataifa ndani ya Afrika na nje ya Afrika.
 
Uko sawa kwa upande mmoja, ila hauko sawa kwa upande mwingine.
Labda unashindwa kujiuliza yafuatayo:- , hivi yeye alizaliwa kwa ajili ya muziki wa Tanzania? Na kabla hajaanza kuimba, watanzania hawakuwa na mziki? Na je wazazi wa Tanzania wameacha kuzaa? Na kama wanazaa hawatatokea wanamuziki wazuri zaidi ya Diamond?
Ukipata majibu ya hayo maswali .... utakuwa umenielewa.
 
Unaongeleaje kushuka kwa soko la bongomuvi baada ya kanumba kufa ? Akiondoka diamond kumpata msanii mwingine wa kaliba hiyo itachukua miaka mingi sana kama wanavyostruggle bongomuvi kufika alipofika kanumba.
 
Kwa hilo sikupingi ila sio kwamba bongomovie imekufa ... imedorola. Kumbuka kuteleza sio kuangua. Kila kitu hakimtegemei mtu mmoja ..
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ,mkuu upo sawa kweli?
 
Hilo ni swali au ni nini? Mi niko sawa kwa sababu mambo mengi simtegemei mtu, namtegemea Mungu zaidi ya kitu chochote. Unaweza kushangaa hata mwaka haujaisha (2016) anaibuka msanii mpya anamfunika Diamond. Tatizo ni kwamba hakuna mtu alojitoa kufanya kazi ya kuibua vipaji vya watanzania. Wapo wengi tu.
 
Hata kama wakiwa na vipaji je wana maono ya mbali kama Diamond.

Mfano wakina belle 9,ben pol, barnabasi wanaimba zaidi ya Diamond ila hawana uthubutu alionao Diamond.

Kwa Tanzania ili muziki wetu uwe na tija kwa taifa letu ni vyema wasaniii wawe na uthubutu Kama Diamond.
 
Unajua kumshabikia mtu ni mapokeo ya mshabiki. Wapo wanaomuona Diamond hafai na wakamuona Barnabas kinara.
Hivi ni ujumbe gani wa maana kwa nyimbo za Diamond? Lakini Barnaba karibia kila wimbo una ujumbe wa hali ya juu!
 
Aisee kwa Dunia ya leo mafanikio kwanza.
 
Tuweni wakweli wadau,

Hivi siku ukisikia Diamond Platinumz kaacha mziki au kafa (siombei itokee) utajiskiaje? Na vipi kuhusu muziki wetu wa Tanzania kwa ujumla unahisi kuna mtu anaweza akausogeza zaidi ya hapa ulipo?

Kwa maana leo nimekaa naskiliza nyimbo zake tangu enzi hizo za Kamwambie mpaka hii ya sasa hivi ya Salome nikaona daah huyu jamaa akiacha mziki kama Suma Lee itakuwa ndio basi tena kwa mziki wetu kupiga hatua.

Kama vile wapenzi wa Bongo Movie walivyoondokewa na Kanumba au wapenzi wa Taarabu walivyoondokewa na Yusuph, mwisho wa siku ndio kama hao akina Thabit wanataka mziki wao upigwe kanisani.

View attachment 411107

View attachment 411108

View attachment 411109
Umeongea ukweli kifesi
 
Unajua kumshabikia mtu ni mapokeo ya mshabiki. Wapo wanaomuona Diamond hafai na wakamuona Barnabas kinara.
Hivi ni ujumbe gani wa maana kwa nyimbo za Diamond? Lakini Barnaba karibia kila wimbo una ujumbe wa hali ya juu!
Nani kakwambia mziki lazima uwe na UJUMBE babu???? kuna mziki wa burudani na mziki wa UJUMBE/mafunzo/kuelimisha.. Nyimbo za ujumbe kama unapenda msikilize 20% Kwa mawazo yako naona anakufaa sana babu
 
Diamond kafika mbali sana, ila watatokea watu ambao watakuja kua wakubwa zaidi yake. Ni kitu cha kawaida duniani hasa kwenye hii fani ya muziki, muziki unabadilika, baada ya miaka kadhaa tutapenda ladha tofauti na ya leo, watakuja watu ambao wanaiweza kuliko diamond na wenye akili wataanza chini na kufika ambapo hata Diamond hajakaribia. Tulisema hayahaya kwa AY, Alikiba, leo hii unaona almasi anavyowakimbiza.
 
Be a man and think beyond normalcy!!!...no matter what happens,musical life will still be there!!!!
 
na waliowashuhudia wakina marehemu marijani rajabu watasemaje nyimbo ya mwaka 70 wakina lady jay dee wanazirudia na bado zikipigwa original huchomok
 
Back
Top Bottom