souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,098
ikitokea mondi kafa na WCB itakufa ila mziki wetu utasonga mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kaukuta mziki, ila haukuwa hapo alipoufikisha yeye. Huo ndio ukweli ambao hata kama ni mchungu ni lazima tuukubali. Leo anayebeba icon ya muziki wa Tanzania kimataifa ni Diamond. Huwezi kuzungumzia mafanikio makubwa ya muziki wa Tanzania kimataifa halafu ukamuweka Diamond pembeni. Ni yeye ndiye kaufanya muziki wetu uthaminike kimataifa ndani ya Afrika na nje ya Afrika.Mziki wa Tanzania ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo. Huyo dogo ameukuta mziki na ndiyo maana hata nyimbo nyingine anacopy toka zile za zamani. Hana jipya zaidi ya kunengua stejini ili kuvuna washabiki uchwala wa muziki kama wewe.
Mfalme wa Reggae alikufa (Bob Marley) lakini sio Raggae ilikufa.
Uko sawa kwa upande mmoja, ila hauko sawa kwa upande mwingine.Ni kweli kaukuta mziki, ila haukuwa hapo alipoufikisha yeye. Huo ndio ukweli ambao hata kama ni mchungu ni lazima tuukubali. Leo anayebeba icon ya muziki wa Tanzania kimataifa ni Diamond. Huwezi kuzungumzia mafanikio makubwa ya muziki wa Tanzania kimataifa halafu ukamuweka Diamond pembeni. Ni yeye ndiye kaufanya muziki wetu uthaminike kimataifa ndani ya Afrika na nje ya Afrika.
Unaongeleaje kushuka kwa soko la bongomuvi baada ya kanumba kufa ? Akiondoka diamond kumpata msanii mwingine wa kaliba hiyo itachukua miaka mingi sana kama wanavyostruggle bongomuvi kufika alipofika kanumba.Uko sawa kwa upande mmoja, ila hauko sawa kwa upande mwingine.
Labda unashindwa kujiuliza yafuatayo:- , hivi yeye alizaliwa kwa ajili ya muziki wa Tanzania? Na kabla hajaanza kuimba, watanzania hawakuwa na mziki? Na je wazazi wa Tanzania wameacha kuzaa? Na kama wanazaa hawatatokea wanamuziki wazuri zaidi ya Diamond?
Ukipata majibu ya hayo maswali .... utakuwa umenielewa.
Kwa hilo sikupingi ila sio kwamba bongomovie imekufa ... imedorola. Kumbuka kuteleza sio kuangua. Kila kitu hakimtegemei mtu mmoja ..Unaongeleaje kushuka kwa soko la bongomuvi baada ya kanumba kufa ? Akiondoka diamond kumpata msanii mwingine wa kaliba hiyo itachukua miaka mingi sana kama wanavyostruggle bongomuvi kufika alipofika kanumba.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ,mkuu upo sawa kweli?Kwa hilo sikupingi ila sio kwamba bongomovie imekufa ... imedorola. Kumbuka kuteleza sio kuangua. Kila kitu hakimtegemei mtu mmoja ..
Hilo ni swali au ni nini? Mi niko sawa kwa sababu mambo mengi simtegemei mtu, namtegemea Mungu zaidi ya kitu chochote. Unaweza kushangaa hata mwaka haujaisha (2016) anaibuka msanii mpya anamfunika Diamond. Tatizo ni kwamba hakuna mtu alojitoa kufanya kazi ya kuibua vipaji vya watanzania. Wapo wengi tu.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ,mkuu upo sawa kweli?
Unajua kumshabikia mtu ni mapokeo ya mshabiki. Wapo wanaomuona Diamond hafai na wakamuona Barnabas kinara.Hata kama wakiwa na vipaji je wana maono ya mbali kama Diamond.
Mfano wakina belle 9,ben pol, barnabasi wanaimba zaidi ya Diamond ila hawana uthubutu alionao Diamond.
Kwa Tanzania ili muziki wetu uwe na tija kwa taifa letu ni vyema wasaniii wawe na uthubutu Kama Diamond.
Aisee kwa Dunia ya leo mafanikio kwanza.Unajua kumshabikia mtu ni mapokeo ya mshabiki. Wapo wanaomuona Diamond hafai na wakamuona Barnabas kinara.
Hivi ni ujumbe gani wa maana kwa nyimbo za Diamond? Lakini Barnaba karibia kila wimbo una ujumbe wa hali ya juu!
Umeongea ukweli kifesiTuweni wakweli wadau,
Hivi siku ukisikia Diamond Platinumz kaacha mziki au kafa (siombei itokee) utajiskiaje? Na vipi kuhusu muziki wetu wa Tanzania kwa ujumla unahisi kuna mtu anaweza akausogeza zaidi ya hapa ulipo?
Kwa maana leo nimekaa naskiliza nyimbo zake tangu enzi hizo za Kamwambie mpaka hii ya sasa hivi ya Salome nikaona daah huyu jamaa akiacha mziki kama Suma Lee itakuwa ndio basi tena kwa mziki wetu kupiga hatua.
Kama vile wapenzi wa Bongo Movie walivyoondokewa na Kanumba au wapenzi wa Taarabu walivyoondokewa na Yusuph, mwisho wa siku ndio kama hao akina Thabit wanataka mziki wao upigwe kanisani.
View attachment 411107
View attachment 411108
View attachment 411109
Nani kakwambia mziki lazima uwe na UJUMBE babu???? kuna mziki wa burudani na mziki wa UJUMBE/mafunzo/kuelimisha.. Nyimbo za ujumbe kama unapenda msikilize 20% Kwa mawazo yako naona anakufaa sana babuUnajua kumshabikia mtu ni mapokeo ya mshabiki. Wapo wanaomuona Diamond hafai na wakamuona Barnabas kinara.
Hivi ni ujumbe gani wa maana kwa nyimbo za Diamond? Lakini Barnaba karibia kila wimbo una ujumbe wa hali ya juu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,daahUmeongea ukweli kifesi