Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Nithibitishe Magufuli kaenda UN kwanii mimi nimesema Magufuli kaenda UN?Umeyasema mengi ya kejeli na kuingiza kizungu katika baadhi ya sehemu kitu ambacho huwa nakuambia sijui kizungu.ila sio kesi sana mana wacha nihoji point ya muhimu.
Sasa nataka uniambie kwamba ikiwa hutaki kuonyeshwa(kuthibitishiwa) mungu kwa macho ama aliumba hivyo vitu kwa macho yako.
Niambie wewe utathibitisha vipi kwamba magufuli ndiye kaenda kwenye mkutano wa UN na sio mwingine?
Njia ambayo utaitoa kuthibitisha basi hiyo hiyo nadhani tutakuja kuihoji juu ya uumbaji wa mungu kisha tuone hapa unakataa nini unakubali nini.
Mbona unanipa kesi si zangu?
Nikikwambia siwezikuthibitisha Magufulikaenda UN, kwa sababu hajaenda, utasemaje?