Je,BOSI NDIYE ALIYETAKA MABADILIKO?. Ona sehemu ya kilichoandikwa.

Je,BOSI NDIYE ALIYETAKA MABADILIKO?. Ona sehemu ya kilichoandikwa.

stonecutter

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2022
Posts
2,446
Reaction score
3,616
Wakuu, salaam.

Nimeisoma barua inayosemekana kuwa ya mwenyewe.

Nukuu: "Pia nilimhakikishia kuwa siku yoyote akiona anahitaji makamu mwingine wa Rais, nitaachia nafasi hii.

NIMEJIRIDHISHA PASIPO SHAKA KUWA MH. RAIS ANATAMANI MABADILIKO, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu".

Mungu awabariki.
 
Swali la kujiuliza hapo ni mabadiliko yepi ambayo rais anafikiria kuyafanya Hadi makamu kujihudhuru
 
Hiyo ya "kujiridhisha pasi na shaka kuwa rais anataka mabadiliko" ukiisoma kwa akili ndogo utaona ni kauli ya kawaida tu lakini ina ujumbe mkubwa sana ndani yake.

Yani anamaanisha amejiridhisha kuwa sir100 hamtaki na hata kule Rufiji juzi yani kibibi alikuwa amemnunia jamaa kishenzi.

Hapo ameamua kuandika barua ya busara tu ila angeamua kufunguka hali ya hewa ingekuwa ya taharuki kubwa
 
Sehemu hiyo ya barua inamaanisha emma kashinikizwa.

Na mama akiwa kwenye tamasha la kijiini kwake, mbele ya mama zake aliropoka kuwa "yule atajiuzulu".
 
Back
Top Bottom