stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
Swali la kujiuliza hapo ni mabadiliko yepi ambayo rais anafikiria kuyafanya Hadi makamu kujihudhuruWakuu, salaam.
Nimeisoma barua inayosemekana kuwa ya mwenyewe.
Nukuu: "Pia nilimhakikishia kuwa siku yoyote akiona anahitaji makamu mwingine wa Rais, nitaachia nafasi hii.
NIMEJIRIDHISHA PASIPO SHAKA KUWA MH. RAIS ANATAMANI MABADILIKO, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu".
Mungu awabariki.
Huenda kumbadilisha makamu ndiyo mabadiliko yenyewe.Swali la kujiuliza hapo ni mabadiliko yepi ambayo rais anafikiria kuyafanya Hadi makamu