Je, BRAC ni taasisi "genuine" ya utoaji mikopo?

asante sana. Ushuhuda wako nauamini. I have somebody very close to me anataka kukopa. Nikaona nitafute information, to satisfy due diligence, nijiridhishe angalau kama wako legitiamate and the like! asante sana.
Peace
 
kweli ukienda kwa hawa wa mitaani, wanakwambia leta kadi na gari uviweke hapa. Riba ni kwenye 200%/week.. blood fool and bustard!!
Ningekuunga na Platinum Credit. Au wacheki kwa simu ucheck process na gharama wapi pana unafuu
 
Brac ni taasisi ya kweli.haina utapeli.pia mkopo unalindwa na dhamana.Bima ni ikiwa mkopaji atafariki basi mkopo ulipwe na bima badala ya kuuza dhamana yako.halafu thamani ya dhamana ni lazima iwe sawa na thamani ya mkopo pamoja na riba yake.so ukiambiwa weka 250,000 kama dhamana maana yake mkopo wako ukizidi 250,000 lazima wakudai dhamana nyingine isiyohamishika.kuhusu hiyo hela ya bima,unaweza kuwambia wakukate kwenye hela utakazo kopa pia

Du! nadhani elimu ya mikopo inahitajika kwa umma.

Cha masingi angalia zaidi kama kile unachoenda kufanyia huo mkopo kinaweza kulipa.kama ni biashara,uwe na uhakika ni biashara inayoendelea au unataka kuongezea mtaji wa kununulia bidhaa.usiendee kukarabati fremu au kununulia vitu ambovyo si bidhaa za kuuza.

Mikopo ni mkombozi wa maisha lakini pia mikopo ni chanzo cha umasikini na ugonjwa wa kiharusi
 
asnte sana tena sana. I can now gather enough assurance!
 
Huko mkoani nilipokua unakuta mmama kakopa laki 8 ili amfanyie shughuli mwanae na huyu mtu hafanyi biashara with consistency yeye atafanya biashara ili apate rejesho tu. So ikatokea kafanya leo na kesho na rejesho limetimia basi ujue siku zilizobaki hafanyi biashara.

Kutokana na hili siyo ajabu kukuta mtu kakopa BRAC halafu anaenda kukopa taasisi nyingine ili kuwalipa BRAC, kisha ataenda kukopa kwingine ili kuwalipa hawa. Hii debt servicing ikifeli ndiyo unakuta dada/ mama zetu wanatumika mno kingono.
 
U
Upo sahihi mkuu mkijiunga kivikundi mnaanza kukopeshwa kuanzia laki nne.

Na rejesho lake kila week ni 12500 ndani ya week 40 na una uhuru wa kudabo ili umalize haraka.

Ila sijui huko huku wanakopeshwa na wanawake tu.
 
Hutoi pesa ili wakukopeshe kwao hiyo ni RUSHWA.
 
Mwanzilishi wake alitunukiwa tuzo ya amani ya Nobel, Model yake ilikuwa ni ya kipekee kabisa Duniani

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Una biashara iliyosajiliwa?, kama ni ndiyo nenda Vision Fund.
Mfano lki tano unarudisha 120,000 kwa miezi mitano mfululizo, yaani kila mwezi sawa na laki sita
Laki sita toa laki tano riba laki moja
 
Kwahiyo ndio wanaondowa umaskini kwa mkopo wa 250,000/= uwape kwanza 60,000/=

Sasa huu si ndio upatu wenyewe? Yani watumie pesa za haohao maskini kukopeshea?

Declare interest kwanza kabla hujaanza kudemka na kuhororoja.
Uko sahihi
 

amu nataka uje unifundishe marketing na insuarance[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji120][emoji120][emoji120]
 
amu nataka uje unifundishe marketing na insuarance[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji120][emoji120][emoji120]
Utapata F...Yaani "fa fa fa "
 
BRAC ni Microfinance ya tangu zamani mnooooo.

Siyo ya jana wala juzi
 
BRAC siyo matepeli na taasisi za kukopesha fedha kama zilivyo nyingine, wanazo ofisi zimesambaa nchi nzima
 
1. Umefuatilia mishahara ya wafanyakazi wake?(mabinti wamekuwa Malaya tu kwenye hiyo taasisi,mishara midogo sana)

2. Una uhakika watu wanakomboka na hiyo taasisi,hasa mtanzania?

Mr Yunus alikuwa na lengo ulilotaja,nikuulize sasa brac imeshauzwa Mara ngapi?
WEWE NI KIONGOZI WA BRAC
 
Acha dharau wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…