Je breki za upepo zinafanyaje kazi?

Je breki za upepo zinafanyaje kazi?

Kula chuma hicho...ndo nimekumbuka leo kukutaftia ile video,, dk ya 18 ndo utaona ule mlio unatoka wap kifupi angalia yote
Hamjambo wanafamilia wa jf

Ningependa kujifunza jinsi breki za gesi zinavofanyakazi
Sambamba na hili ningependa nifahamishwe jinsi ya ufanyaji kazi wa "Stop engine" au "stopper" na kwanini zinatumika zaidi kwenye magari makubwa

Pia ule mlio kwenye gari zinazotumia breki za gesi hasa wakati wakusimama ambao ni kama gasi inaachiwa yaani "zchaaaaa'' unatokana na nini?

Karibu unielimishe

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Taaluma Yako Kwanza, usichoshe watu bure kuelezea Mtu wa HGL..

Go and read about operations of pneumatic valves and cylinders.

This is pure Engineering, Electromechanical
Hujamsaidia lolote. Kama wewe ni mtaalamu eneo hilo, ungemuelekeza kwa lugha rahisi ambayo 'mtu wa HGL' angeelewa vizuri.

Ila kwa huu mtazamo wako, ina maana kwamba hata tukienda hospitali, kwa kuwa hatukusoma medicine, basi hatupaswi kuuliza kwa kuwa tulisoma HGL.

Na mganga haruhusiwi kutufafanulia kwa lugha rahisi changamoto za kiafya zinazotukabili kwa sababu tunawachosha.
 
Taaluma Yako Kwanza, usichoshe watu bure kuelezea Mtu wa HGL..

Go and read about operations of pneumatic valves and cylinders.

This is pure Engineering, Electromechanical
Hii ndio pure akili ya mafala wa kibongo wanaojiita wasomi. Kama huwezi kutumia usomi wako kumuelewesha mtu wa kawaida, wewe ni stupid tu
 
Hujamsaidia lolote. Kama wewe ni mtaalamu eneo hilo, ungemuelekeza kwa lugha rahisi ambayo 'mtu wa HGL' angeelewa vizuri.

Ila kwa huu mtazamo wako, ina maana kwamba hata tukienda hospitali, kwa kuwa hatukusoma medicine, basi hatupaswi kuuliza kwa kuwa tulisoma HGL.

Na mganga haruhusiwi kutufafanulia kwa lugha rahisi changamoto za kiafya zinazotukabili kwa sababu tunawachosha.
Inawezekan neno HGL likawa linakera , ila ukweli ndio huo mambo mengine inabidi uyachukulie kama yalivyonl ni ngumu kuelewa Kila kitu.

Dunia ya kujua kila kitu hiyo haipo, kama brake zinafanya Kazi fine, haziko Sawa peleka Kwa fundi.
 
Hii ndio pure akili ya mafala wa kibongo wanaojiita wasomi. Kama huwezi kutumia usomi wako kumuelewesha mtu wa kawaida, wewe ni stupid tu
Naona wenye HGL zenu mmenuna tuvumiliane. Hata Mimi mambo ya ww1 na ww2 siyaelewo
 
Inawezekan neno HGL likawa linakera , ila ukweli ndio huo mambo mengine inabidi uyachukulie kama yalivyonl ni ngumu kuelewa Kila kitu.

Dunia ya kujua kila kitu hiyo haipo, kama brake zinafanya Kazi fine, haziko Sawa peleka Kwa fundi.
Feel the need to help when your expertise is required. It doesn't cost you a dime. That's my point.

Neno HGL halikeri hata kidogo. It was figurative. I studied HGL yes, however, that doesn't stop me from learning other stuffs.

I have a PhD in linguistics, but, my interests are in cars, and sci and tech. I normally use Google and YouTube to learn stuffs.

When one wants to learn something I know, I feel obliged to help. It satisfies me.
 
Back
Top Bottom