Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekosea ile sauti huwa ni "Zeeeeeeech'a"Sikujua kama hiyo sauti ni zchaaaaaa, big up!
Huo mlio husababishwa na hewa iliyokuwa imezuiwa isitoke nje sasa inaruhusiwa itoke kwa presha kali!Nashukuru kwa elimu ndugu
Engine break nayo huwa na mlio fulani kama gesi inaachiwa huwa ni nini mkuu?
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Hamjambo wanafamilia wa jf
Ningependa kujifunza jinsi breki za gesi zinavofanyakazi
Sambamba na hili ningependa nifahamishwe jinsi ya ufanyaji kazi wa "Stop engine" au "stopper" na kwanini zinatumika zaidi kwenye magari makubwa
Pia ule mlio kwenye gari zinazotumia breki za gesi hasa wakati wakusimama ambao ni kama gasi inaachiwa yaani "zchaaaaa'' unatokana na nini?
Karibu unielimishe
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Hujamsaidia lolote. Kama wewe ni mtaalamu eneo hilo, ungemuelekeza kwa lugha rahisi ambayo 'mtu wa HGL' angeelewa vizuri.Taaluma Yako Kwanza, usichoshe watu bure kuelezea Mtu wa HGL..
Go and read about operations of pneumatic valves and cylinders.
This is pure Engineering, Electromechanical
Hii ndio pure akili ya mafala wa kibongo wanaojiita wasomi. Kama huwezi kutumia usomi wako kumuelewesha mtu wa kawaida, wewe ni stupid tuTaaluma Yako Kwanza, usichoshe watu bure kuelezea Mtu wa HGL..
Go and read about operations of pneumatic valves and cylinders.
This is pure Engineering, Electromechanical
Inawezekan neno HGL likawa linakera , ila ukweli ndio huo mambo mengine inabidi uyachukulie kama yalivyonl ni ngumu kuelewa Kila kitu.Hujamsaidia lolote. Kama wewe ni mtaalamu eneo hilo, ungemuelekeza kwa lugha rahisi ambayo 'mtu wa HGL' angeelewa vizuri.
Ila kwa huu mtazamo wako, ina maana kwamba hata tukienda hospitali, kwa kuwa hatukusoma medicine, basi hatupaswi kuuliza kwa kuwa tulisoma HGL.
Na mganga haruhusiwi kutufafanulia kwa lugha rahisi changamoto za kiafya zinazotukabili kwa sababu tunawachosha.
Naona wenye HGL zenu mmenuna tuvumiliane. Hata Mimi mambo ya ww1 na ww2 siyaelewoHii ndio pure akili ya mafala wa kibongo wanaojiita wasomi. Kama huwezi kutumia usomi wako kumuelewesha mtu wa kawaida, wewe ni stupid tu
Feel the need to help when your expertise is required. It doesn't cost you a dime. That's my point.Inawezekan neno HGL likawa linakera , ila ukweli ndio huo mambo mengine inabidi uyachukulie kama yalivyonl ni ngumu kuelewa Kila kitu.
Dunia ya kujua kila kitu hiyo haipo, kama brake zinafanya Kazi fine, haziko Sawa peleka Kwa fundi.