Imekuwa kawaida kuwa Bunge likishavunjwa Waheshimiwa Mawaziri wanakuwa ni wananchi wa kawaida mpaka hapo Serikali mpya itakapoundwa tena. Serikali mpya inapoundwa basi Mhe. Rais anateua tena Mawaziri wake katika Baraza lake.
Bunge likiishavunjwa wanaosimamia Mawizara mpaka Serikali mpya itakapoingia madarakani ni Makatibu Wakuu wa Wizara. Ninaona mpaka sasa Waheshimiwa Mawaziri bado wanasimamia Wizara zao licha ya kuwa Bunge limekwishavunjwa. Ninauliza je ni sheria kuwa waendelee kusimamia Wizara zao ilhali Bunge tayari limevunjwa?.