Je, Bunge Linaidharau Mahakama na Kuwadharau Watanzania? Kitendo cha Bunge Kutunga Sheria Batili Iliyoshabatilishwa na Mahakama Kinamaanisha Nini?

Wanabodi,

Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo.

Naomba kuanza kwa msisitizo wasomaji wa andiko hili, waione alama ya kuuliza, (?) kwasababu mimi mwenzenu, niliwahi kuitwa Bungeni kwa kutuhumiwa kuwa nimetoa statement kuwa "Bunge Linajipendekeza kwa serikali", kufika Dodoma mbele ya Kamati, nikasema hiyo sio statement, hilo ni swali na alama ya kuuliza ilikuwepo!, hivyo tunapozungumzia huu mhimili wa Bunge, sitaki tena kuitwa kuhojiwa, tena haswa kwa kuzingatia Spika wa sasa wa Bunge letu, Dr. Tulia Akson, ni mwalimu wangu wa sheria pale UDSM, sio heshima, sio adabu, mwanafunzi kuhoji uwezo na weledi wa mwalimu wake. Hili ni swali tuu na sio statement.

Leo naendelea na zile makala zangu elimishi za kuwafundisha Watanzania kuijua katiba, sheria na haki. Jee wajua kuwa japo Mhimili wa Bunge la JMT, ndilo lenye mamlaka ya kutunga sheria, Bunge halina mamlaka ya kutunga sheria batili, kinyume na Katiba?, kwasababu Katiba, inalizuia!. Swali la kujiuliza, Bunge letu hili tukufu, limepata wapi mamlaka ya kutunga sheria batili ambapo Mahakama iliisha ibatilisha?.

Tena sio tuu Bunge limetunga sheria batili, bali limeuchukua ubatili huo na kuuchomekea kiubatili, ndani ya Katiba yetu hivyo kuibatilisha Katiba yetu kuwa katiba yenye ubatlii!, na sasa Bunge limetunga tena sheria batili ya uchaguzi na ubatili ule ule uliokwisha batilishwa na Mahakama Kuu, na kumpa Rais aisaini kuanza kutumika!. Kwanini Bunge letu litutende hivi?

Hapa ndipo palipopelekea mimi kujiuliza, "Bunge letu Tukufu, linaidharau Mahakama na Kuwadharau Watanzania?. Mahakama imetoa hukumu kubatilisha sheria fulani, kutokana na sheria hiyo kwenda kinyume cha katiba ya JMT ya mwaka 1977, kisha Mahakama Kuu ikakitangaza kipengele hicho batili, kimechomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu, ikaamuru kiondolewe!. Mahakama ya Rufaa, ikakubaliana na msimamo wa Mahakama Kuu kuhusu ubatili huo, ila ikatofautiana na Mahakama Kuu kutangaza ubatili wa katiba uliofanywa na Bunge, na badala yake Mahakama ya Rufaa, ukalimuru Bunge ndio liuondoe ubatili huo ndani ya katiba yetu. Bunge halikuwahi kuuondoa ubatili huo mpake kesho, na limeendelea kutunga sheria zenye ubatili huo, na moja ya sheria hizo ni hii sheria mpya ya uchaguzi ya 2024. Hivyo nauliza, Kitendo cha Bunge letu tukufu, kutunga sheria batili Iliyobatilishwa na Mahakama kinamaanisha Nini?. Huku sio Bunge kuidharau Mahakama na Kuwadharau Watanzania?, Hivi hili Bunge letu, linatuonaje?

Kwa kuanzia, kwanza tulijue Bunge ni nini na majukumu yake ni yapi? 62.-(1) Kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano ambalo litakuwa na sehemu mbili, yaani Rais na Wabunge.

Bunge la JMT, ni moja ya mihimili mitatu ya dola, ya Serikali, Bunge na Mahakama. Japo mhimili wa serikali ndio unaonekana kuwa ndio kila kitu kwasababu Mkuu wa Mhimili wa serikali ni Rais wa JMT, ndie Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu, hali inayofanya serikali kuonekana kama ndio mhimili uliojichimbia chini zaidi, lakini kwa mujibu wa katiba yetu, na kwenye majukumu ya Bunge.

Majukumu ya Bunge ni

(2) Bunge litakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ( hivyo Bunge ni kuu kuliko serikali, kuliko mahakama) ambalo linapata ukuu wake na madaraka yake kutoka kwa wananchi, na linatakiwa kufanya kazi zake kwa niaba ya wananchi.

Moja ya kazi kuu za Bunge ni kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote ukiwemo Mhimili wa Mahakama, katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii, hivyo kikatiba Bunge ndio kila kitu!, sio serikali, sio Mahakama!

(3) Kwa madhumuni ya utekelezaji wa madaraka yake Bunge laweza-

(a) kumuuliza Waziri yeyoyote swali lo lote kuhusu mambo ya umma katika Jamhuri ya Muungano ambayo yako katika wajibu wake;

(b) kujadili utekelezaji wa kila Wizara wakati wa Mkutano wa Bunge wa kila mwaka wa bajeti;

(c) kujadili na kuidhinisha mpango wowote wa muda mfupi, muda wa kati au muda mrefu unaokusudiwa kutekelezwa katika Jamhuri ya Muungano, na kutunga sheria ya kusimamia utekelezaji wa mpango huo.

(d) kutunga sheria pale ambapo utekelezaji unahitaji kuwapo sheria;

(e) kujadili na kuridhia mikataba yote inayohusu Jamhuri ya Muungano na ambayo kwa masharti yake inahitaji kuridhiwa.

64.-(1) Mamlaka yote ya kutunga sheria juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuw mikononi mwa Bunge.

(5) Katiba hii itakuwa na nguvu ya sheria katika Jamhuri nzima ya Muungano na endapo sheria nyingine yoyote itakiuka masharti yaliyomo katika Katiba hii, Katiba ndiyo itakuwa na nguvu, na sheria hiyo nyingine, kwa kiasi inachokiuka Katiba itakuwa batili.

Hii Ibara ya 64 –(5) ndio inayosisitiza ukuu wa Katiba kuwa katiba ina nguvu ya sheria kuliko chombo chochote, katiba ina nguvu kuliko Bunge, ina nguvu kuliko serikali, ina nguvu kuliko Mahakama, katiba ndio kila kitu!.

Pia ni ibara hii, ndio imeipa katiba mamlaka yajuu kuliko mahakama, ya kubatilisha sheria yoyote endapo sheria nyingine yoyote itakiuka masharti yaliyomo katika Katiba hii, Katiba ndiyo itakuwa na nguvu, na sheria hiyo nyingine, kwa kiasi inachokiuka Katiba itakuwa batili.

Ibara hii maana yake ni Bunge halina mamlaka ya kutunga sheria yoyote inayokwenda kinyume cha katiba.

Hukumu ya Mahakama Kuu, katika kesi ya Mtikila, imezitangaza Ibara ya 39 na 63 za Katiba ya JMT ni batili, na zimechomekewa kwenye katiba kiubatili.

Mahakama Kuu umetamka.

Katika pingamizi ya serikali kwa hukumu hiyo kwenye Mahakama ya Rufaa, Hukumu ya Mahakama ya Rufaa, haikubatilisha hukumu ya Mahakama Kuu kuhusu ubatili wa vifungu hivyo kwenda kinyume cha katiba, Hukumu ya Mahakama ya Rufaa imejikita kwenye uwezo wa mahakama kuliingilia Bunge katika utungaji wa sheria.

Hivyo Mahakama ya Rufaa, ikajitoa kuwa mahakama sio “the custodian of the will of the people”, “the custodian ni Bunge”, hivyo ikatoa uamuzi kuwa maadam ubatili huo umefanywa na Bunge, mahakama haiwezi kuliingilia Bunge katika utungaji wa sheria, hivyo Bunge ndilo likarejeshewa kuuondoa ubatili huo.

Kitendo ilichofanya Mahakama ya Rufaa hapa ni kama mtu umeibiwa gari lako, ukashitaki polisi kuwa umeibiwa, kisha ukaliona gari lako, ukaripoti polisi umemkamata mwizi wako, Yule mwizi na ushahidi wa gari lako, akafikishwa mahakamani, mahakama ikatoa uamuzi kuwa ni kweli gari ni lako, na mwizi ameliiba, na amekamatwa nalo, ila kwa vile mwizi huyu ni mtu anayeheshimika sana, mahakama imeamuru mwizi huyo ndie alirudishe gari alipoliiba. Yule mwizi hakulirudisha mpaka leo!

Bunge limetunga sheria batili kinyume cha katiba, mahakama ikatangaza sheria hiyo ni batili, kwasababu inakwenda kinyume na katiba. Bunge likafanya marekebisho ya katiba kwa hati ya dharura, na kuuchomekea huo ubatili ndani ya katiba kwenye Ibara ya 39 na 63 ili kuuhalalisha ubatili huo. Mahakama Kuu ikaamuru kuwa huo uchomekeaji ni batili, ibara hizo ni kinyume na katiba. Mahakama ya Rufaa, ukaliamuru Bunge, kuuondoa ubatili huo ndani ya katiba yetu na kuifuta sheria batili ile!. Kwanini mpaka leo Bunge halijatekeleza hukumu ile ya Mahakama? Na kama haitoshi, Bunge letu tukufu, likatunga sheria mpya ya uchaguzi yenye ubatili ule ule!. Hii maana yake ni nini?

Naelekea Dodoma kwenye Nane Nane, ikitokea nikakutana na wahusika wa maswali hayo, nitawahoji live na kuwaletea.

Nawatakia Jumapili Njema.

Paskali
Mayalla, bila shaka wewe ni mkristo, rejea bibli, hiki kiburi sicha kawaida, kina maana kubwa sana sana katika ulimwengu wa "KIROHO", hata haya matamko ya viongozi, " Mawaziri, Wabunge, viongozi wa Chama nk" yaliyojaa " KIBURI" kejeli na dharau, si bahati mbaya, na hawataacha kwani kuna mambo Mungu anayatengeneza kwenye ulimwengu wa "KIROHO", na mwisho yatatokea kwenye ulimwengu wa " KIMWILI" kwa sababu hiyo tutashuhudia mengi zaidi ya haya hebu soma, kukuhakikishia hili soma-: 1 Samwel 2:25.....
 
Wanabodi,

Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo.

Naomba kuanza kwa msisitizo wasomaji wa andiko hili, waione alama ya kuuliza, (?) kwasababu mimi mwenzenu, niliwahi kuitwa Bungeni kwa kutuhumiwa kuwa nimetoa statement kuwa "Bunge Linajipendekeza kwa serikali", kufika Dodoma mbele ya Kamati, nikasema hiyo sio statement, hilo ni swali na alama ya kuuliza ilikuwepo!, hivyo tunapozungumzia huu mhimili wa Bunge, sitaki tena kuitwa kuhojiwa, tena haswa kwa kuzingatia Spika wa sasa wa Bunge letu, Dr. Tulia Akson, ni mwalimu wangu wa sheria pale UDSM, sio heshima, sio adabu, mwanafunzi kuhoji uwezo na weledi wa mwalimu wake. Hili ni swali tuu na sio statement.

Leo naendelea na zile makala zangu elimishi za kuwafundisha Watanzania kuijua katiba, sheria na haki. Jee wajua kuwa japo Mhimili wa Bunge la JMT, ndilo lenye mamlaka ya kutunga sheria, Bunge halina mamlaka ya kutunga sheria batili, kinyume na Katiba?, kwasababu Katiba, inalizuia!. Swali la kujiuliza, Bunge letu hili tukufu, limepata wapi mamlaka ya kutunga sheria batili ambapo Mahakama iliisha ibatilisha?.

Tena sio tuu Bunge limetunga sheria batili, bali limeuchukua ubatili huo na kuuchomekea kiubatili, ndani ya Katiba yetu hivyo kuibatilisha Katiba yetu kuwa katiba yenye ubatlii!, na sasa Bunge limetunga tena sheria batili ya uchaguzi na ubatili ule ule uliokwisha batilishwa na Mahakama Kuu, na kumpa Rais aisaini kuanza kutumika!. Kwanini Bunge letu litutende hivi?

Hapa ndipo palipopelekea mimi kujiuliza, "Bunge letu Tukufu, linaidharau Mahakama na Kuwadharau Watanzania?. Mahakama imetoa hukumu kubatilisha sheria fulani, kutokana na sheria hiyo kwenda kinyume cha katiba ya JMT ya mwaka 1977, kisha Mahakama Kuu ikakitangaza kipengele hicho batili, kimechomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu, ikaamuru kiondolewe!. Mahakama ya Rufaa, ikakubaliana na msimamo wa Mahakama Kuu kuhusu ubatili huo, ila ikatofautiana na Mahakama Kuu kutangaza ubatili wa katiba uliofanywa na Bunge, na badala yake Mahakama ya Rufaa, ukalimuru Bunge ndio liuondoe ubatili huo ndani ya katiba yetu. Bunge halikuwahi kuuondoa ubatili huo mpake kesho, na limeendelea kutunga sheria zenye ubatili huo, na moja ya sheria hizo ni hii sheria mpya ya uchaguzi ya 2024. Hivyo nauliza, Kitendo cha Bunge letu tukufu, kutunga sheria batili Iliyobatilishwa na Mahakama kinamaanisha Nini?. Huku sio Bunge kuidharau Mahakama na Kuwadharau Watanzania?, Hivi hili Bunge letu, linatuonaje?

Kwa kuanzia, kwanza tulijue Bunge ni nini na majukumu yake ni yapi? 62.-(1) Kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano ambalo litakuwa na sehemu mbili, yaani Rais na Wabunge.

Bunge la JMT, ni moja ya mihimili mitatu ya dola, ya Serikali, Bunge na Mahakama. Japo mhimili wa serikali ndio unaonekana kuwa ndio kila kitu kwasababu Mkuu wa Mhimili wa serikali ni Rais wa JMT, ndie Mkuu wa Nchi, Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama, hali inayofanya serikali kuonekana kama ndio mhimili uliojichimbia chini zaidi, lakini kwa mujibu wa katiba yetu, Bunge ndio mhimili mkubwa zaidi kutokana na majukumu yake.

Majukumu ya Bunge ni
(2) Bunge litakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ( hivyo Bunge ni kuu kuliko serikali, kuliko mahakama) ambalo linapata ukuu wake na madaraka yake kutoka kwa wananchi, na linatakiwa kufanya kazi zake kwa niaba ya wananchi.

Moja ya kazi kuu za Bunge ni kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote ukiwemo Mhimili wa Mahakama, katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii, hivyo kikatiba Bunge ndio kila kitu!, sio serikali, sio Mahakama!

(3) Kwa madhumuni ya utekelezaji wa madaraka yake Bunge laweza-

(a) kumuuliza Waziri yeyoyote swali lo lote kuhusu mambo ya umma katika Jamhuri ya Muungano ambayo yako katika wajibu wake;

(b) kujadili utekelezaji wa kila Wizara wakati wa Mkutano wa Bunge wa kila mwaka wa bajeti;

(c) kujadili na kuidhinisha mpango wowote wa muda mfupi, muda wa kati au muda mrefu unaokusudiwa kutekelezwa katika Jamhuri ya Muungano, na kutunga sheria ya kusimamia utekelezaji wa mpango huo.

(d) kutunga sheria pale ambapo utekelezaji unahitaji kuwapo sheria.

(Hapa katiba inalitaka Bunge ndilo litunge sheria, lakini in reality Bunge letu halitungi sheria, bali linaidhinisha tuu sheria zilizotungwa na serikali. Serikali ndio inatunga miswada ya sheria na kulipelekea Bunge kuipitisha hivyo Bunge linasemwa kuwa ndilo limetunga sheria, kitu ambacho sio kweli na sio right.

Kwenye ile makala yangu iliyoniletea matatizo ya Bunge kujipendekeza kwa serikali, kiukweli kuna ukweli fulani ambao pia utaonekana kwenye utungaji wa sheria.

Bunge ndilo lilipaswa kuandaa miswada ya sheria, lakini miswada ya sheria inaandaliwa na serikali.

Serikali inaandaa miswada yenye vifungu batili vinavyokwenda kinyume cha Katiba yetu, na Bunge letu linatunga sheria batili hadi Mahakama Kuu ilipobatilisha kitendo cha Bunge kuletewa muswada batili na kuutunga kuwa sheria, huku sio kujipendekeza, ni zaidi ya kujipendekeza)

(e) kujadili na kuridhia mikataba yote inayohusu Jamhuri ya Muungano na ambayo kwa masharti yake inahitaji kuridhiwa.
( hapa pia Bunge letu limekuwa likiridhia kitutusa baadhi ya mikataba na mfano mzuri ni mkataba wa DP World na Bandari zetu).

64.-(1) Mamlaka yote ya kutunga sheria juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuw mikononi mwa Bunge.

(5) Katiba hii itakuwa na nguvu ya sheria katika Jamhuri nzima ya Muungano na endapo sheria nyingine yoyote itakiuka masharti yaliyomo katika Katiba hii, Katiba ndiyo itakuwa na nguvu, na sheria hiyo nyingine, kwa kiasi inachokiuka Katiba itakuwa batili.

Hii Ibara ya 64 –(5) ndio inayosisitiza ukuu wa Katiba kuwa katiba ina nguvu ya sheria kuliko chombo chochote, katiba ina nguvu kuliko Bunge, ina nguvu kuliko serikali, ina nguvu kuliko Mahakama, katiba ndio kila kitu!.

Pia ni ibara hii, ndio imeipa katiba mamlaka yajuu kuliko mahakama, ya kubatilisha sheria yoyote endapo sheria nyingine yoyote itakiuka masharti yaliyomo katika Katiba hii, Katiba ndiyo itakuwa na nguvu, na sheria hiyo nyingine, kwa kiasi inachokiuka Katiba itakuwa batili.

Ibara hii maana yake ni Bunge halina mamlaka ya kutunga sheria yoyote inayokwenda kinyume cha katiba.

Hukumu ya Mahakama Kuu, katika kesi ya Mtikila, imezitangaza Ibara ya 39 na 63 za Katiba ya JMT ni batili, na zimechomekewa kwenye katiba kiubatili.

Mahakama Kuu umetamka.

Katika pingamizi ya serikali kwa hukumu hiyo kwenye Mahakama ya Rufaa, Hukumu ya Mahakama ya Rufaa, haikubatilisha hukumu ya Mahakama Kuu kuhusu ubatili wa vifungu hivyo kwenda kinyume cha katiba, Hukumu ya Mahakama ya Rufaa imejikita kwenye uwezo wa mahakama kuliingilia Bunge katika utungaji wa sheria.

Hivyo Mahakama ya Rufaa, ikajitoa kuwa mahakama sio “the custodian of the will of the people”, “the custodian ni Bunge”, hivyo ikatoa uamuzi kuwa maadam ubatili huo umefanywa na Bunge, mahakama haiwezi kuliingilia Bunge katika utungaji wa sheria, hivyo Bunge ndilo likarejeshewa kuuondoa ubatili huo.

Kitendo ilichofanya Mahakama ya Rufaa hapa ni kama mtu umeibiwa gari lako, ukashitaki polisi kuwa umeibiwa, kisha ukaliona gari lako, ukaripoti polisi umemkamata mwizi wako, Yule mwizi na ushahidi wa gari lako, akafikishwa mahakamani, mahakama ikatoa uamuzi kuwa ni kweli gari ni lako, na mwizi ameliiba, na amekamatwa nalo, ila kwa vile mwizi huyu ni mtu anayeheshimika sana, mahakama imeamuru mwizi huyo ndie alirudishe gari alipoliiba. Yule mwizi hakulirudisha mpaka leo!

Bunge limetunga sheria batili kinyume cha katiba, mahakama ikatangaza sheria hiyo ni batili, kwasababu inakwenda kinyume na katiba. Bunge likafanya marekebisho ya katiba kwa hati ya dharura, na kuuchomekea huo ubatili ndani ya katiba kwenye Ibara ya 39 na 63 ili kuuhalalisha ubatili huo. Mahakama Kuu ikaamuru kuwa huo uchomekeaji ni batili, ibara hizo ni kinyume na katiba. Mahakama ya Rufaa, ukaliamuru Bunge, kuuondoa ubatili huo ndani ya katiba yetu na kuifuta sheria batili ile!. Kwanini mpaka leo Bunge halijatekeleza hukumu ile ya Mahakama? Na kama haitoshi, Bunge letu tukufu, likatunga sheria mpya ya uchaguzi yenye ubatili ule ule!. Hii maana yake ni nini?

Naelekea Dodoma kwenye Nane Nane, ikitokea nikakutana na wahusika wa maswali hayo, nitawahoji live na kuwaletea.

Nawatakia Jumapili Njema.

Paskali
Paskal asante kwa makala nzuri na elemishi.
Pana tatizo kubwa jinsi ya kutazama na kutafasri mambo kunakopeleka kwenye upotoshaji.
Hukumu za mahakama ni vyanzo vya sheria na havitakiwi kuungwa mkono na bunge- vinasimama vyenyewe. Mahakama kutoa amri na kuliiagiza bunge ni kitendo cha kustajabisha sana- kinaingilia uhuru wa bunge na wala hakina sababu.
 
Utaitwa tena bungeni ukajieleze, kama ulivoitwaga kipindi kile cha ndugai.

Advocate "mayala "
 
Paskal asante kwa makala nzuri na elemishi.
Pana tatizo kubwa jinsi ya kutazama na kutafasri mambo kunakopeleka kwenye upotoshaji.
Hukumu za mahakama ni vyanzo vya sheria na havitakiwi kuungwa mkono na bunge- vinasimama vyenyewe. Mahakama kutoa amri na kuliiagiza bunge ni kitendo cha kustajabisha sana- kinaingilia uhuru wa bunge na wala hakina sababu.
Mkuu comte , hiki ulichofanya wewe, ndicho Mahakama ya Rufaa ilichofanya kulikingia Bunge lisiamrishwe na Mahakama.
Bunge limevunja katiba kutunga sheria batili, kisha bunge likavunja katiba kuuchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu, na uchomekeaji wenyewe pia umefanywa kiubatili!. Mahakama Kuu ikatoa amri kuwa sheria hiyo ni batili na mabadiliko ya katiba kuuchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu pia ni batili, hivyo sheria hiyo ni batili, na mabadiliko hayo ni batili serikali urekebishe ubatili huo.

Mahakama ya Rufaa ikalikingia kifua bunge kwa kulishauri lenyewe ndio liuondoe ubatili huo. Kwanini Bunge mpaka leo halijauondoa ubatili huo? Niliuliza Watanzania tutaendelea kusubiri mpaka lini Bunge likitunga Sheria batili na kuuchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu? Tufanye nini?

Nikauliza Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?

Pia nikauliza Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?
P
 
Wanabodi,

Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo.

Naomba kuanza kwa msisitizo wasomaji wa andiko hili, waione alama ya kuuliza, (?) kwasababu mimi mwenzenu, niliwahi kuitwa Bungeni kwa kutuhumiwa kuwa nimetoa statement kuwa "Bunge Linajipendekeza kwa serikali", kufika Dodoma mbele ya Kamati, nikasema hiyo sio statement, hilo ni swali na alama ya kuuliza ilikuwepo!, hivyo tunapozungumzia huu mhimili wa Bunge, sitaki tena kuitwa kuhojiwa, tena haswa kwa kuzingatia Spika wa sasa wa Bunge letu, Dr. Tulia Akson, ni mwalimu wangu wa sheria pale UDSM, sio heshima, sio adabu, mwanafunzi kuhoji uwezo na weledi wa mwalimu wake. Hili ni swali tuu na sio statement.

Leo naendelea na zile makala zangu elimishi za kuwafundisha Watanzania kuijua katiba, sheria na haki. Jee wajua kuwa japo Mhimili wa Bunge la JMT, ndilo lenye mamlaka ya kutunga sheria, Bunge halina mamlaka ya kutunga sheria batili, kinyume na Katiba?, kwasababu Katiba, inalizuia!. Swali la kujiuliza, Bunge letu hili tukufu, limepata wapi mamlaka ya kutunga sheria batili ambapo Mahakama iliisha ibatilisha?.

Tena sio tuu Bunge limetunga sheria batili, bali limeuchukua ubatili huo na kuuchomekea kiubatili, ndani ya Katiba yetu hivyo kuibatilisha Katiba yetu kuwa katiba yenye ubatlii!, na sasa Bunge limetunga tena sheria batili ya uchaguzi na ubatili ule ule uliokwisha batilishwa na Mahakama Kuu, na kumpa Rais aisaini kuanza kutumika!. Kwanini Bunge letu litutende hivi?

Hapa ndipo palipopelekea mimi kujiuliza, "Bunge letu Tukufu, linaidharau Mahakama na Kuwadharau Watanzania?. Mahakama imetoa hukumu kubatilisha sheria fulani, kutokana na sheria hiyo kwenda kinyume cha katiba ya JMT ya mwaka 1977, kisha Mahakama Kuu ikakitangaza kipengele hicho batili, kimechomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu, ikaamuru kiondolewe!. Mahakama ya Rufaa, ikakubaliana na msimamo wa Mahakama Kuu kuhusu ubatili huo, ila ikatofautiana na Mahakama Kuu kutangaza ubatili wa katiba uliofanywa na Bunge, na badala yake Mahakama ya Rufaa, ukalimuru Bunge ndio liuondoe ubatili huo ndani ya katiba yetu. Bunge halikuwahi kuuondoa ubatili huo mpake kesho, na limeendelea kutunga sheria zenye ubatili huo, na moja ya sheria hizo ni hii sheria mpya ya uchaguzi ya 2024. Hivyo nauliza, Kitendo cha Bunge letu tukufu, kutunga sheria batili Iliyobatilishwa na Mahakama kinamaanisha Nini?. Huku sio Bunge kuidharau Mahakama na Kuwadharau Watanzania?, Hivi hili Bunge letu, linatuonaje?

Kwa kuanzia, kwanza tulijue Bunge ni nini na majukumu yake ni yapi? 62.-(1) Kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano ambalo litakuwa na sehemu mbili, yaani Rais na Wabunge.

Bunge la JMT, ni moja ya mihimili mitatu ya dola, ya Serikali, Bunge na Mahakama. Japo mhimili wa serikali ndio unaonekana kuwa ndio kila kitu kwasababu Mkuu wa Mhimili wa serikali ni Rais wa JMT, ndie Mkuu wa Nchi, Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama, hali inayofanya serikali kuonekana kama ndio mhimili uliojichimbia chini zaidi, lakini kwa mujibu wa katiba yetu, Bunge ndio mhimili mkubwa zaidi kutokana na majukumu yake.

Majukumu ya Bunge ni
(2) Bunge litakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ( hivyo Bunge ni kuu kuliko serikali, kuliko mahakama) ambalo linapata ukuu wake na madaraka yake kutoka kwa wananchi, na linatakiwa kufanya kazi zake kwa niaba ya wananchi.

Moja ya kazi kuu za Bunge ni kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote ukiwemo Mhimili wa Mahakama, katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii, hivyo kikatiba Bunge ndio kila kitu!, sio serikali, sio Mahakama!

(3) Kwa madhumuni ya utekelezaji wa madaraka yake Bunge laweza-

(a) kumuuliza Waziri yeyoyote swali lo lote kuhusu mambo ya umma katika Jamhuri ya Muungano ambayo yako katika wajibu wake;

(b) kujadili utekelezaji wa kila Wizara wakati wa Mkutano wa Bunge wa kila mwaka wa bajeti;

(c) kujadili na kuidhinisha mpango wowote wa muda mfupi, muda wa kati au muda mrefu unaokusudiwa kutekelezwa katika Jamhuri ya Muungano, na kutunga sheria ya kusimamia utekelezaji wa mpango huo.

(d) kutunga sheria pale ambapo utekelezaji unahitaji kuwapo sheria.

(Hapa katiba inalitaka Bunge ndilo litunge sheria, lakini in reality Bunge letu halitungi sheria, bali linaidhinisha tuu sheria zilizotungwa na serikali. Serikali ndio inatunga miswada ya sheria na kulipelekea Bunge kuipitisha hivyo Bunge linasemwa kuwa ndilo limetunga sheria, kitu ambacho sio kweli na sio right.

Kwenye ile makala yangu iliyoniletea matatizo ya Bunge kujipendekeza kwa serikali, kiukweli kuna ukweli fulani ambao pia utaonekana kwenye utungaji wa sheria.

Bunge ndilo lilipaswa kuandaa miswada ya sheria, lakini miswada ya sheria inaandaliwa na serikali.

Serikali inaandaa miswada yenye vifungu batili vinavyokwenda kinyume cha Katiba yetu, na Bunge letu linatunga sheria batili hadi Mahakama Kuu ilipobatilisha kitendo cha Bunge kuletewa muswada batili na kuutunga kuwa sheria, huku sio kujipendekeza, ni zaidi ya kujipendekeza)

(e) kujadili na kuridhia mikataba yote inayohusu Jamhuri ya Muungano na ambayo kwa masharti yake inahitaji kuridhiwa.
( hapa pia Bunge letu limekuwa likiridhia kitutusa baadhi ya mikataba na mfano mzuri ni mkataba wa DP World na Bandari zetu).

64.-(1) Mamlaka yote ya kutunga sheria juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuw mikononi mwa Bunge.

(5) Katiba hii itakuwa na nguvu ya sheria katika Jamhuri nzima ya Muungano na endapo sheria nyingine yoyote itakiuka masharti yaliyomo katika Katiba hii, Katiba ndiyo itakuwa na nguvu, na sheria hiyo nyingine, kwa kiasi inachokiuka Katiba itakuwa batili.

Hii Ibara ya 64 –(5) ndio inayosisitiza ukuu wa Katiba kuwa katiba ina nguvu ya sheria kuliko chombo chochote, katiba ina nguvu kuliko Bunge, ina nguvu kuliko serikali, ina nguvu kuliko Mahakama, katiba ndio kila kitu!.

Pia ni ibara hii, ndio imeipa katiba mamlaka yajuu kuliko mahakama, ya kubatilisha sheria yoyote endapo sheria nyingine yoyote itakiuka masharti yaliyomo katika Katiba hii, Katiba ndiyo itakuwa na nguvu, na sheria hiyo nyingine, kwa kiasi inachokiuka Katiba itakuwa batili.

Ibara hii maana yake ni Bunge halina mamlaka ya kutunga sheria yoyote inayokwenda kinyume cha katiba.

Hukumu ya Mahakama Kuu, katika kesi ya Mtikila, imezitangaza Ibara ya 39 na 63 za Katiba ya JMT ni batili, na zimechomekewa kwenye katiba kiubatili.

Mahakama Kuu umetamka.

Katika pingamizi ya serikali kwa hukumu hiyo kwenye Mahakama ya Rufaa, Hukumu ya Mahakama ya Rufaa, haikubatilisha hukumu ya Mahakama Kuu kuhusu ubatili wa vifungu hivyo kwenda kinyume cha katiba, Hukumu ya Mahakama ya Rufaa imejikita kwenye uwezo wa mahakama kuliingilia Bunge katika utungaji wa sheria.

Hivyo Mahakama ya Rufaa, ikajitoa kuwa mahakama sio “the custodian of the will of the people”, “the custodian ni Bunge”, hivyo ikatoa uamuzi kuwa maadam ubatili huo umefanywa na Bunge, mahakama haiwezi kuliingilia Bunge katika utungaji wa sheria, hivyo Bunge ndilo likarejeshewa kuuondoa ubatili huo.

Kitendo ilichofanya Mahakama ya Rufaa hapa ni kama mtu umeibiwa gari lako, ukashitaki polisi kuwa umeibiwa, kisha ukaliona gari lako, ukaripoti polisi umemkamata mwizi wako, Yule mwizi na ushahidi wa gari lako, akafikishwa mahakamani, mahakama ikatoa uamuzi kuwa ni kweli gari ni lako, na mwizi ameliiba, na amekamatwa nalo, ila kwa vile mwizi huyu ni mtu anayeheshimika sana, mahakama imeamuru mwizi huyo ndie alirudishe gari alipoliiba. Yule mwizi hakulirudisha mpaka leo!

Bunge limetunga sheria batili kinyume cha katiba, mahakama ikatangaza sheria hiyo ni batili, kwasababu inakwenda kinyume na katiba. Bunge likafanya marekebisho ya katiba kwa hati ya dharura, na kuuchomekea huo ubatili ndani ya katiba kwenye Ibara ya 39 na 63 ili kuuhalalisha ubatili huo. Mahakama Kuu ikaamuru kuwa huo uchomekeaji ni batili, ibara hizo ni kinyume na katiba. Mahakama ya Rufaa, ukaliamuru Bunge, kuuondoa ubatili huo ndani ya katiba yetu na kuifuta sheria batili ile!. Kwanini mpaka leo Bunge halijatekeleza hukumu ile ya Mahakama? Na kama haitoshi, Bunge letu tukufu, likatunga sheria mpya ya uchaguzi yenye ubatili ule ule!. Hii maana yake ni nini?

Naelekea Dodoma kwenye Nane Nane, ikitokea nikakutana na wahusika wa maswali hayo, nitawahoji live na kuwaletea.

Nawatakia Jumapili Njema.

Paskali
Maelezo mujarabu sala ila kila siku najiuliza ilikuaje mkuu na weledi wako uliingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge pale Kawe 😃😃😃ulijibagaza sana mkuu.
 
Uliza vizuri swali lako: ni Mahakama kudharay Bunge, usisahau kuwa Bunge linachaguliwa Mahakama haichaguliwi. Ndiyo maana kukawa na House of Lords na House of Commons - Common people walipochoshwa kunyanyaswa na mabwanyenye. Unless jambo ni la wazi wazi, Bunge liko juu zaidi.
 
Maelezo mujarabu sala ila kila siku najiuliza ilikuaje mkuu na weledi wako uliingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge pale Kawe 😃😃😃ulijibagaza sana mkuu.
Ile ilikuwa ni strategia!, ukinisoma hapa utanielewa Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Unapokuwa vitani kuna wapambanaji wa aina mbili, wapambanaji shupavu na wapambanaji makini. Wapambanaji shupavu ni watapambana mpaka mwisho, no matter what,
wao ni watu wa no retreat no surrender watapigana mpaka risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu, hata kama all will be wiped out. Lakini wapambanaji makini, don't fight a loosing battle Elections 2015 - Tuko Vitani Tuna Wapiganaji Shupavu, Wapiganaji Makini na Watazamaji, Je! Wewe Uko Kundi Gani ? mimi niko kundi la wapiganaji makini

P
 
Nilikuwa nasoma kwa umakini wa kutosha ili nione huo ubatili wa sheria ya Uchaguzi ya Mwaka 2024.
Lakini sijaona ufafanuzi wa ubatili huo.
Rudia kusoma hukumu ya mahakama ya rufaa na utajua ruling yao ilisemaje- huo ndio msingi wa bandiko la mtoa Mada… Bunge waliambiwa wakaoge- wao wananawa na kupangusa pangusa. Kuna tofauti kubwa sana ya kunawa na kuoga. Vifungu batili ni batili tu na cosmetic changes iliyofanyika bado haijatibu tatizo…
Wakati tatizo bado lipo, wanatunga sheria mpya uchaguzi na kujisahaulisha mahakama ya rufaa ilisema wafanye nini…labda watamrejesha mgombea binafsi kama walivyo ambiwa warekebishe…?
 
Nenda mahakamani, hapa unakuwa ni unafiki tu.
Tuliolelewa kwa heshima ya kiasili ya kiafrika, mzazi ni mzazi tuu anatakiwa kuheshimiwa no matter what, unaanzaje kwenda mahakamani kumshitaki mzazi wako?.

Kwa vile Mzazi anakuja kututembelea , nimetafuta wazee nimewaeleza, hivyo akija wazee ndio wamweleze sio sisi watoto. Rais Samia, mgeni rasmi, AGM ya TLS, Wanasheria tumweleze ukweli kuhusu ubatili wa Katiba yetu na sheria zetu, turudishe haki kuu ya Msingi!
P
 
Mkuu urafiki mbaya unaharibu tabia njema. Yupo kijana ambaye alikuwa morally very sound kijijini kwetu,frankly nilimpenda sana yule kijana.Sijui nani alimshawishi akaingia CCM,na sasa kapachikwa udiwani.Majuzi nilipokwenda kijijini as usual tulibadilishana mawili matatu.Nilishangaa sana kuona kwamba mawazo mazuri aliyokuwa nayo kuhusu nchi yetu yame-vanish and instead he categorically told me "if you can't fight them join them," niliumia sana.Anyway nakubaliana 100% na wewe,kuwa CCM is evil and any committed member of CCM is evil,na ukishaingia CCM you will be evil,because bad friendship destroys good manners.CCM kuna maambukizi mabaya sana ya uovu.
Mara kwa mara tunaandika na kusema CCM ndiye baba wa uovu.
 
Back
Top Bottom