Je, bunge litatii amri hii ya mahakama ya rufani?

Mtikila alishinda kesi ya uwepo wa mgombea binafsi, lakini mpaka leo amri ya mahakama haijatekelezwa.
 
Kitendo cha bunge kufuta hiyo sheria ndani ya hiyo wiki utashangaa msururu wa kesi zitakazofunguliwa mahakamani
 
We chawa acha kujimwambafai... Utalishughulikia wewe na nani?
 
Kwani bado mna matumaini na kufanya uchafuzi kwa gharama kubwa?
Uchaguzi Tz ni biashara kama ilivyo biashara ya kukuimbiza mwenge. Wanaonufaika ni viongozi na waliobahatika kuajiriwa ktk biashara husika. Ndiyo maana, inyeshe isinyeshe, ‘uchaguzi’ ni lazima ufanyike
 
Na wajiue tu kuwa kinga ya kutokushtakiwa sio muhuri wa kudumu, inaweza kuondolewa. Nafikiri ilishafanyika hivyo kwa Fredrick Chiluba wa Zambia na hivi karibuni kwa aliyekuwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika. Mutharika aliondolewa kinga saa 24 tu baada ya Rais wa sasa, Chikwera, kuingia madarakani!
 

Wewe sio Bunge, umejibu moja kwa moja kama Bunge, acha ujinga, you look more arrogant than normal..!
 
Kwa kiburi cha Tulia hakuna kitu kitafanyika
 
Kwa vile muda upo wa kutosha, mezi 12, utekelezaji ni Bunge lijalo!
P
 
Ngoja tuone,kwa bunge hili la chama kimoja!!!,, Tuombe mungu
 
Safi sana
 
There is no way vijana vitatu tu vikae mahali eti halafu vije viwakoromee wawakilishi wa wananchi zaidi ya milioni 64. That one will never happen on earth gentleman..
Duuh,
Ukute chawa kama huyu kuna mahali anaongea anazikilizwa na maoni yake yanazingatiwa!!!

Hajui umuhumu wa maamuzi ya mahakama, wala hajui mantiki ya "checks and balances" kati ya mihimili.

Hivi lile bunge la mchongo ambalo halikutokana na kura halali za wananchi linawakilisha nini na nani??
 
hiyo balance binafsi uipendayo si ukaipate kwenye familia yako gentleman?
 
Does the state observe the Rule of Law?
Since we have no Absolute Separation of Power, this Judgment is a mere judgment and will remain only in records of the court. PERIOD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…