Je, Casto Dickson ataenda msibani kwa mzee Peter?

Hapa mods hawafurukuti mana umepiga kivumishi cha kiarabu😀😀😀
 
Ila hii inaleta shida kidogo, mama wa mtoto anaposimama hadharani na kusema mtoto sio wako halafu wewe unakomaa kuwa mtoto ni wa wako halafu unakuja tu na vikaratasi sijui cheti cha ndoa, mara sijui cheti cha kuzaliwa eti ndio udhibitisho kuwa wewe ndiyo baba wa mtoto kidogo napata mashaka na uelewa wa huyo Peter maana hayo ni makaratasi hayakufanyi Uwe biological father. Peter angekuwa na uwezo angefanya DNA test huo ndio ungekuwa udhibitisho wa maana ingawa hata huo pia kuna namna ni maamuzi ya dokta akitaka kuhamisha goli anahamisha vile vile. Peter atulie tu ashaambiwa aligongewa Sasa atulie tu
 
Tukianza kuingia kwenye mambo ya DNA basi hapa mjini itakua vurugu sana, acha tu ibaki hivyo hivyo kua mtoto ni wa Peter
 
Tukianza kuingia kwenye mambo ya DNA basi hapa mjini itakua vurugu sana, acha tu ibaki hivyo hivyo kua mtoto ni wa Peter
Hahahaha kwa hiyo "tufanye" tu mtoto ni wa Peter si ndio?
 
Ataenda kama mwananchi wa kawaida...

Mambo yao waachie wenyewe...


Cc: mahondaw
 
hili ndo swali nalojiualiza hadi sasa. alafu mbona casto haonekani kabisa yupo wapi? au amejifungia na tunda mafichoni mmh!
 
Ah [emoji31] ndio mnayofundwa unyagoni (kitchen party) huko dah [emoji17]
Kuna mama mmoja aliniambia ukiwa huna uhakika wa Baba wa mtoto mwanaume wa kwanza atakaekubali shikilia hapo hapo labda DNA ikuumbue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…