Je, Casto Dickson ataenda msibani kwa mzee Peter?

Inasemekana Casto alikataa mimba na alimwambia Muna aitoe. Peter alimuoa Muna akiwa na mimba.
Sasa kama alikataa mimba na kutaka itolewe
Sasa kinachomwasha nini kupiga picha Instagram na mtoto wa Peter?! Yeye si alijiona mjanja sasa amemtia fedhea baba wa watu kalea mimba na mtoto hadi kifo.
 
Mtoto ni wa Casto sema kwakuwa Peter alimuoa ndo maana watu wanaongea tu. Kumbuka aliolewa na mimba ya miezi 3 na alikuwa na mahusiano na Peter+Casto. I know Peter vizuri was my neighbour somewhere
Hata wewe unaongelea umbea tu. Huwezi kuwa na uhakika.
 
Kistaarabu tu, futa hii post...
 
Wakuu,

Familia ya Muna Love imekubali kuwa msiba utakuwa kwa mzee Peter ambaye alikuwa mume wa Muna, sasa je? Casto ataenda msibani hapo?

Endapo ataenda ni nini kitatokea? Kaa tayari kwa ubuyu huo hapo kesho

Unalidhalilisha sana jina la Tupac. Tupac alikuwa gangsta na sio mbea mbea na mambo ya kichoko kama haya ya kufuatilia maisha ya watu na sijui ubuyu ni umama wa hali ya juu kwa mwanaume
 
kamuulize mwenyewe!
Wakuu,

Familia ya Muna Love imekubali kuwa msiba utakuwa kwa mzee Peter ambaye alikuwa mume wa Muna, sasa je? Casto ataenda msibani hapo?

Endapo ataenda ni nini kitatokea? Kaa tayari kwa ubuyu huo hapo kesho[/QU
 
demu wa Castro, ni nani vile, maana inabidi naye alee mtoto wa mwanamume mwenzie ati!
Wakuu,

Familia ya Muna Love imekubali kuwa msiba utakuwa kwa mzee Peter ambaye alikuwa mume wa Muna, sasa je? Casto ataenda msibani hapo?

Endapo ataenda ni nini kitatokea? Kaa tayari kwa ubuyu huo hapo kesho
 
Hii inatumika sana na it seems hatuna ujanja tenaπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Ndio maana kunatakiwa kuwe na Zoezi la DNA kitaifa, nyumba kwa nyumba, mlango kwa mlango
 
Unalidhalilisha sana jina la Tupac. Tupac alikuwa gangsta na sio mbea mbea na mambo ya kichoko kama haya ya kufuatilia maisha ya watu na sijui ubuyu ni umama wa hali ya juu kwa mwanaume
Kiongozi ukitaka habari za kujenga nchi nenda jukwaa la siasa, huku hizi ndio habari zenyewe hakuna kilimo cha mbogamboga huku.

Likiisha hili linakuja la Diamond, wema, zari na mama Diamond. Utapasuka kichwa bure.
 
yeye (casto), kalala jr, joel muimba gospo, petit man na mababa wengine wote wa kufikia watangulie tu makaburin tutawakuta huko
Akanana DEMBA una maakili sana huu ndio ushauri wanapaswa kuufata hao uliowataja kinyume na hapo wanaweza sababisha vurugu na wakapakiwa kwenye defender..... wanatakiwa kukaa mbali na mke wa mtu kwa sasa lasivyo watapata tabu sana
 
Pengine wewe ndio uelewa wako mdogo .....mtoto wa ndani ya ndoa ni mali ya wana ndoa kwa hiyo uhitaji DNA.....
 
Peter ni mjinga kuoa mwanamke mwenye mimba,castro ni mpumbavu kukwepa majukumu kisha mwanamke kuolewa na mtu mwingine baadaye atake mtoto na mke.Muna ni msengerema maana hakumbuki alipotelekezwa akaenda wapi kupata kimbilio.Castro atalipwa humu duniani coz huyu binti siyo mwaminifu atazaa na mtu nwingine hata akiwa naye yeye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…