Je, Casto Dickson ataenda msibani kwa mzee Peter?

Mtoto ni wa Casto sema kwakuwa Peter alimuoa ndo maana watu wanaongea tu. Kumbuka aliolewa na mimba ya miezi 3 na alikuwa na mahusiano na Peter+Casto. I know Peter vizuri was my neighbour somewhere
Sasa unamjua Peter kwani wakati huyo muna anakazwa na wote hao mpaka mimba inaingia ulikuwa wajua?
 
huenda ndio alikuwa mshika miguu ya huyo ajuza au alimsaidia kutelemsha qupi
Kuna kazi yeye anasibitisha kuwa mtoto ni casto, mara muna kaolewa na Peter akiwa na mimba ya miez mitatu mara namjua peter yaani hana points kumjua hakumaanishi kumjua kuliko yeye ukimuuliza unajua wameanza kukazana lini hajui ila yeye ni mtoa hitimisho la mimba na mtoto
 
Kwani Huyu Casto Dickson ndie aliyewahi kuwa Mtangazaji wa redio moja Huku Mtwara inayoitwa PRIDE FM!!!
Ndo yeye uyo nilikuwa namuona sana Mtwara kipindi kile nami nilikuwa kule
 
Wakuu,

Familia ya Muna Love imekubali kuwa msiba utakuwa kwa mzee Peter ambaye alikuwa mume wa Muna, sasa je? Casto ataenda msibani hapo?

Endapo ataenda ni nini kitatokea? Kaa tayari kwa ubuyu huo hapo kesho

Muna, Peter na Casto wote ni ' Mapopoma ' watupu ila Marehemu Patrick ni ' Shujaa ' wa kweli.
 
aliemuona casto atuambie jamani maana sijamskia kabisa tangu msiba utokee
 

Ndiyo wanaume wa Kichaga hao, tutafanyaje sasa?
 
Unalidhalilisha sana jina la Tupac. Tupac alikuwa gangsta na sio mbea mbea na mambo ya kichoko kama haya ya kufuatilia maisha ya watu na sijui ubuyu ni umama wa hali ya juu kwa mwanaume
Anajiita Baba Tupac siyo Tupac.
 
Pengine wewe ndio uelewa wako mdogo .....mtoto wa ndani ya ndoa ni mali ya wana ndoa kwa hiyo uhitaji DNA.....
Hizo ni sheria za kizalamo za kitanda hakizai haramu au?
Sheria za wapi zinazosema mtoto akizaliwa ndani ya ndoa hata kama si wa mume husika ni mali ya wanandoa? Mtoto ni mali ya Biological parents unless agreed otherwise.
msitake kuharalisha mambo ya kipuuzi sababu ya madhaifu yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…