Ila hii inaleta shida kidogo, mama wa mtoto anaposimama hadharani na kusema mtoto sio wako halafu wewe unakomaa kuwa mtoto ni wa wako halafu unakuja tu na vikaratasi sijui cheti cha ndoa, mara sijui cheti cha kuzaliwa eti ndio udhibitisho kuwa wewe ndiyo baba wa mtoto kidogo napata mashaka na uelewa wa huyo Peter maana hayo ni makaratasi hayakufanyi Uwe biological father. Peter angekuwa na uwezo angefanya DNA test huo ndio ungekuwa udhibitisho wa maana ingawa hata huo pia kuna namna ni maamuzi ya dokta akitaka kuhamisha goli anahamisha vile vile. Peter atulie tu ashaambiwa aligongewa Sasa atulie tu