Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kuna kitu angemissMuna alitakiwa amsahau Casto kabisa baada ya ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu angemissMuna alitakiwa amsahau Casto kabisa baada ya ndoa
ukishaoa jukumu la kumlinda mkeo kwa manyang.au unalo mwenyewe, wakikulia mzigo unao ndani wewe gugumia tu, unaanzaje kukataa mimba na mzigo uko ndani kila siku unaamka nao!Hizo ni sheria za kizalamo za kitanda hakizai haramu au?
Sheria za wapi zinazosema mtoto akizaliwa ndani ya ndoa hata kama si wa mume husika ni mali ya wanandoa? Mtoto ni mali ya Biological parents unless agreed otherwise.
msitake kuharalisha mambo ya kipuuzi sababu ya madhaifu yenu.
Utasaidia upelelezi mkuuMtoto ni wa Casto sema kwakuwa Peter alimuoa ndo maana watu wanaongea tu. Kumbuka aliolewa na mimba ya miezi 3 na alikuwa na mahusiano na Peter+Casto. I know Peter vizuri was my neighbour somewhere
Mbona nasikia jamaa ni Mario? Ametapeliwa nn tena?Kama Casto hakupelekwa ustawi wa jamii kudaiwa matumizi ya mtoto, kaingizwa mjini na Muna ahesabie alikuwa anatoa sadaka tu.
Hadi dakika za mwisho Muna alikuwa anapewa mamilioni ya hela za matibabu kutoka kwa Peter, huku Casto anaona taarifa Instagram tu Patrick mgonjwa, Muna hajamwambia kitu.
Hapo ndio utajua nani baba, kama hushirikishwi dakika za mwisho za mtoto ujue wewe sio baba.
Casto kama angekuwa anajua sheria asingetoa hata shilingi 10, maana hadi mwisho Peter ndio baba kisheria.
Ushauri wangu ni hivi Casto atafute wanasheria wazuri ikiwezekana akamshitaki Muna mahakamani KWA UTAPELI WA GHARAMA ZOTE ALIZOMUHUDUMIA MTOTO, KUMPOTEZEA MUDA NA KUMSABABISHIA FEDHEA MJINI.
Maana amekula hela zake mwisho wa siku baba wa mtoto ni Peter. Amrudishie hela zake zote.
KWENYE HATI YA MASHITAKA AMUWEKE MUNA, NA MAMA YAKE MUNA, kwa maelezo ya Casto anasema bibi alikuwa anajua halafu mwishowe msiba umetokea bibi ameenda nyumbani kwa Peter kuomboleza msiba.
Huu ni UTAPELI "GRADE A"
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3]kaaah!hakika yaaniHizo ni sheria za kizalamo za kitanda hakizai haramu au?
Sheria za wapi zinazosema mtoto akizaliwa ndani ya ndoa hata kama si wa mume husika ni mali ya wanandoa? Mtoto ni mali ya Biological parents unless agreed otherwise.
msitake kuharalisha mambo ya kipuuzi sababu ya madhaifu yenu.
Unaweza kumlinda mkeo kweli? Tunadanganyana tu hapa naona. Mzigo unaamka nao je unashinda nao? Be realisticukishaoa jukumu la kumlinda mkeo kwa manyang.au unalo mwenyewe, wakikulia mzigo unao ndani wewe gugumia tu, unaanzaje kukataa mimba na mzigo uko ndani kila siku unaamka nao!
Sio kweli bana, JF haina wanaume wa jamii ya Castro. Ni wa aina ya peke yake .[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]wanaume wa jf!!
2pac atakuwaje na baba wa dizaini hii?Anajiita Baba Tupac siyo Tupac.
Wakuu,
Familia ya Muna Love imekubali kuwa msiba utakuwa kwa mzee Peter ambaye alikuwa mume wa Muna, sasa je? Casto ataenda msibani hapo?
Endapo ataenda ni nini kitatokea? Kaa tayari kwa ubuyu huo hapo kesho
Hizo ni sheria za kizalamo za kitanda hakizai haramu au?
Sheria za wapi zinazosema mtoto akizaliwa ndani ya ndoa hata kama si wa mume husika ni mali ya wanandoa? Mtoto ni mali ya Biological parents unless agreed otherwise.
msitake kuharalisha mambo ya kipuuzi sababu ya madhaifu yenu.
Una uhakika?[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]wanaume wa jf!!
Daaaaah mkuu long time!yeye (casto), kalala jr, joel muimba gospo, petit man na mababa wengine wote wa kufikia watangulie tu makaburin tutawakuta huko
Kwahiyo JK na Membe baba yao mmoja?Picha ya 1) Mtoto vs Casto
2) Mtoto vs Peter
Mwenye nayo aiweke hapa tuone uhalisia...
Haya tufanye hiyo sheria ipo. Hata ikiwepo, ukiwa mwanaume kamili huwezi kujibanza kwenye kivuli cha sheria ukitegemea huruma ya sheria ili umiliki mtoto. Mwanaume kamili ni yule anayejiamini na kuoima DNA watoto wake.Umeshiawahi kuisoma hiyo sheria lakini au unabisha tu? kumbukumbu zangu nilivyoisoma zinaniambia mtoto aliyezaliwa ndani ya ndoa ni wa wanandoa unless huyo mshukiwa mwingine alete pingamizi (hapo ndio mambo ya DNA yatafuatia)...sasa huyo Casto wala hana time na mtoto.