Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madereva wa viongozi wa serikali na watoto wao wanapenda sana kutulingishia ma vii eitii hapa JF!!!😂😂😂😂😂😂😂 viete kusukuma sio shida, tatizo kumiliki braza.
Ahsante kwa maelezo mazuri na ya kitaalam. Hivi ulaji wa mafuta wa VW Tourage V6 ya petrol yenye CC 3200 au 3600 ukoje, unatofautiana vp na VW Tourage ya uingereza TDI engine ambazo ni diesel yenye CC 2700 au 3000.Kuna baadhi ya watu huyakataa magari kwa kuangalia Cc za engine(Engine capacity). Lakini huenda kuna watu wameacha magari mazuri kwa sababu ya kigezo hiki. Hebu tuangalie baadhi ya mambo mengine ambayo yanaweza kuchangia ulaji wa mafuta kwenye gari..
Hybrid Tamu sana.. Ngozi nyeupe ina rahusisha sana maisha. Itafikia kipindi Lita moja ya V 8 unatembea 40 Km 😀😀😀😀Gari ile mafuta ila ikujali na uchumi wako aisee. Imagine uweke mafuta ya laki moja almost 50+ litres kisha utembelee siku 3 is it worth it? Uende kazini na kurudi tu siku tatu gari ikuzimikie kabla hujafika kwako? Utafurahia hilo?..
Kwa mazingira ya Tanzania, gari za Diesel hazifai sana, maana wachakuchuaji sana wa mafuyaAhsante kwa maelezo mazuri na ya kitaalam.
Hivi ulaji wa mafuta wa VW Tourage V6 ya petrol yenye CC 3200 au 3600 ukoje, unatofautiana vp na VW Tourage ya uingereza TDI engine ambazo ni diesel yenye CC 2700 au 3000.
Je kwa Tanzania hizi za diesel zinafaa? Nyingi tourage zilizopo Tz ex Japan ni petrol, vp hizi za diesel za uingereza?
Hivi 4WD inaongeza ulaji wa mafuta kivipi? Maana kuna magari ni full time 4wd...
Kwa uzoefu wangu nimeshaendesha Subaru Legacy B4 yenyewe ni AWD pia nimeshaendesha Hilux Surf KZN130 yenyewe ina 4WD nimeshatumia yote ila sio hayo mafuta yanayosemwa yanaenda mengi maana average ya magari madogo ya 2000CC ni 7-8km/l lwa safari za mjini kwaio ndo nashindwa kuelewa hapo mafuta yanaongezekaje? Wakati hata ukichukua Altezza ambayo haina 4WD au AWD average mafuta unapata hayo hayo ya 7-8km/lTechnically kuna utofauti kati ya All wheel drive AWD na 4WD. Gari yenye AWD pia ina 4WD.
Gari ya 4WD inaweza isiwe AWD.
Nafikiri nimeshakuacha hapo,
Haya twende sawa,
AWD huwa ndani hakuna Button/ Gia ya Kuingage Miguu mi4 ila badala yake guwa inagundua Mizunguko ya tairi/ Drive shaft na kujua kuwa inatakiwa ifungue 4WD pia hufanya mechanisim ya ku lock diff nk.
Kwa uzoefu wangu nimeshaendesha Subaru Legacy B4 yenyewe ni AWD pia nimeshaendesha Hilux Surf KZN130 yenyewe ina 4WD nimeshatumia yote ila sio hayo mafuta yanayosemwa yanaenda mengi maana average ya magari madogo ya 2000CC ni 7-8km/l lwa safari za mjini kwaio ndo nashindwa kuelewa hapo mafuta yanaongezekaje? Wakati hata ukichukua Altezza ambayo haina 4WD au AWD average mafuta unapata hayo hayo ya 7-8km/l
Ngoja nitafanya jaribio kama ulivyoshauriConcept is
Chukua gari zenye Engine na gearbox aina moja,
Moja iwe 4WD na nyingine iwe 2WD
Yenye 2WD itakuwa verry Economy kuliko nyingine
Inatumiaje kwa sasa hivi hayo mafuta ?Ni kivipi naweza kubalance toyota Ist ya 4WD isitumie sana mafuta kwenu wajuzi
Inatumiaje kwa sasa hivi hayo mafuta ?
Mkuu. Nilikuwa safarini week iliyopita. So mambo yalikuwa mengi.Rav4 2006
Somo zuri sana
Kila la heri mkuu.Asante kwa Elimu hiii
Tunajiandaa kumilk mwak 2023/4
150kSame issue on toyota caldina 3s engine
wenye vituo vya mafuta watalala njaa.Gari ile mafuta ila ikujali na uchumi wako aisee. Imagine uweke mafuta ya laki moja almost 50+ litres kisha utembelee siku 3 is it worth it? Uende kazini na kurudi tu siku tatu gari ikuzimikie kabla hujafika kwako? Utafurahia hilo?
Thus why Carburetor ikatupiliwa mbali. Sasa kuna VVT-i ila nayo soon tunaiacha tutahamia HYBRiD kisha full EV. Gari imekuwa ni kitu cha lazima so lazma kuimiliki kusiwe chanzo cha mateso.