Je, CC za engine pekee ndio zinaamua ulaji wa mafuta wa gari?

Je, CC za engine pekee ndio zinaamua ulaji wa mafuta wa gari?

Ahsante kwa maelezo mazuri na ya kitaalam. Hivi ulaji wa mafuta wa VW Tourage V6 ya petrol yenye CC 3200 au 3600 ukoje, unatofautiana vp na VW Tourage ya uingereza TDI engine ambazo ni diesel yenye CC 2700 au 3000.

Je, kwa Tanzania hizi za diesel zinafaa? Nyingi tourage zilizopo Tz ex Japan ni petrol, vp hizi za diesel za uingereza?
Kwa diesel ni around 14km/l mpaka 16km/l

Kwa petrol ni around 8km/l mpaka 11km/l
 
Kwa uzoefu wangu nimeshaendesha Subaru Legacy B4 yenyewe ni AWD pia nimeshaendesha Hilux Surf KZN130 yenyewe ina 4WD nimeshatumia yote ila sio hayo mafuta yanayosemwa yanaenda mengi maana average ya magari madogo ya 2000CC ni 7-8km/l lwa safari za mjini kwaio ndo nashindwa kuelewa hapo mafuta yanaongezekaje? Wakati hata ukichukua Altezza ambayo haina 4WD au AWD average mafuta unapata hayo hayo ya 7-8km/l

Tafuta gari zenye same specs. Zote ziwe zimepigwa service na zisiwe na shida. Moja iwe 2WD na nyingine iwe 4wd.

Hapo unaweza ona utofauti ukiendesha.
 
Je nini cha kuzingatia wakat unanunua gari mkonon..unapaswa kuangalia milege au namba ya gari (registration number)
 
Back
Top Bottom