JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
- Thread starter
-
- #41
Kwa diesel ni around 14km/l mpaka 16km/lAhsante kwa maelezo mazuri na ya kitaalam. Hivi ulaji wa mafuta wa VW Tourage V6 ya petrol yenye CC 3200 au 3600 ukoje, unatofautiana vp na VW Tourage ya uingereza TDI engine ambazo ni diesel yenye CC 2700 au 3000.
Je, kwa Tanzania hizi za diesel zinafaa? Nyingi tourage zilizopo Tz ex Japan ni petrol, vp hizi za diesel za uingereza?
Hybrid Tamu sana.. Ngozi nyeupe ina rahusisha sana maisha. Itafikia kipindi Lita moja ya V 8 unatembea 40 Km 😀😀😀😀
Ukipata sehemu wana mafuta mazuri, Diesel ni nzuri.Kwa mazingira ya Tanzania, gari za Diesel hazifai sana, maana wachakuchuaji sana wa mafuya
Gari inatumia nguvu kubwa ikiwa kwenye 4WD. Simply chukua gari ambayo 4WD ni optional yaani unaweza kuengage mwenyewe. Ukitembelea 2WD na ukitembelea 4WD utauona utofauti Kwenye 4WD gari inakuwa nzito.Hivi 4WD inaongeza ulaji wa mafuta kivipi? Maana kuna magari ni full time 4wd...
Kwa uzoefu wangu nimeshaendesha Subaru Legacy B4 yenyewe ni AWD pia nimeshaendesha Hilux Surf KZN130 yenyewe ina 4WD nimeshatumia yote ila sio hayo mafuta yanayosemwa yanaenda mengi maana average ya magari madogo ya 2000CC ni 7-8km/l lwa safari za mjini kwaio ndo nashindwa kuelewa hapo mafuta yanaongezekaje? Wakati hata ukichukua Altezza ambayo haina 4WD au AWD average mafuta unapata hayo hayo ya 7-8km/l
Kweli, hapa ndip mtihani sasa. Sio kila siku utajazia mafuta kituo kimojaUkipata sehemu wana mafuta mazuri, Diesel ni nzuri.
Hivi kaka kuna RAV4 za fourth generation(generation ya miaka ya 2013-2018) ambazo zina engine chini ya Cc 2000 kama vile 1790cc?Pamoja sana mkuu
Zimeanzia Cc2000. Ukiwa na hela kuna hybrid ya Cc2500. Utaenjoy sana.Hivi kaka kuna RAV4 za fourth generation(generation ya miaka ya 2013-2018) ambazo zina engine chini ya Cc 2000 kama vile 1790cc?
Sasa hiyo ya cc2500 si janga katika fuel economy mkuu?Zimeanzia Cc2000. Ukiwa na hela kuna hybrid ya Cc2500. Utaenjoy sana.
Hiyo ya cc 2500 fuel consumption yake ikoje?Zimeanzia Cc2000. Ukiwa na hela kuna hybrid ya Cc2500. Utaenjoy sana.
Sifahamu ila hakuna hybrid yenye fuel consumption mbaya. tena ni nzuri kuliko gari nyingi zenye engine ndogo unazoziona barabarani.Hiyo ya cc 2500 fuel consumption yake ikoje?
Hizo Cc zisikutishe. yaani hybrid hata ukiikuta ya Cc4000 unaweza kuwa inatumia mafuta vizuri kuliko IST ya Cc1500Sasa hiyo ya cc2500 si janga katika kutumia mafuta mkuu?
Aisee!Shukrani kwa hii elimu mkuu.Hizo Cc zisikutishe. yaani hybrid hata ukiikuta ya Cc4000 unaweza kuwa inatumia mafuta vizuri kuliko IST ya Cc1500
Cha kuzingatia ni uzima wa gari.Je nini cha kuzingatia wakat unanunua gari mkonon..unapaswa kuangalia milege au namba ya gari (registration number)