Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Jun 17, 2020 #121 kabombe said: Kwani hao wabunge 40 mliqapata kwa tume ipi? Click to expand... Sasa unategemea wataendelea kupata wabunge mpaka ngumi zipigwe? Tunataka tume kura zinahesabiwa na kutangazwa bila ngarambe kabisa
kabombe said: Kwani hao wabunge 40 mliqapata kwa tume ipi? Click to expand... Sasa unategemea wataendelea kupata wabunge mpaka ngumi zipigwe? Tunataka tume kura zinahesabiwa na kutangazwa bila ngarambe kabisa
TUTUO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,251 Reaction score 2,030 Jun 17, 2020 #122 kabombe said: Kwani hao wabunge 40 mliqapata kwa tume ipi? Click to expand... Watu walikesha kulinda kura na kupigwa juu ndio wakatangazwa
kabombe said: Kwani hao wabunge 40 mliqapata kwa tume ipi? Click to expand... Watu walikesha kulinda kura na kupigwa juu ndio wakatangazwa
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Jun 17, 2020 #123 Kuna watu wanamuambia jamaa yao abadili katiba akae miaka dahal! Wanatetea matumbo yao. Mm naomba usiache ulozi. Zile dawa ulizonipa nikampata yule demu bado zinafanya kazi. Ukiacha ulozi ntampoteza yule demu. Mshana Jr said: Wakifanya hivyo naacha ulozi nafunga kilinge najiunga na CCM kugombea nafasi nyeti. Jr[emoji769] Click to expand...
Kuna watu wanamuambia jamaa yao abadili katiba akae miaka dahal! Wanatetea matumbo yao. Mm naomba usiache ulozi. Zile dawa ulizonipa nikampata yule demu bado zinafanya kazi. Ukiacha ulozi ntampoteza yule demu. Mshana Jr said: Wakifanya hivyo naacha ulozi nafunga kilinge najiunga na CCM kugombea nafasi nyeti. Jr[emoji769] Click to expand...
TUTUO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,251 Reaction score 2,030 Jun 17, 2020 #124 Cannabis said: Jibu lako ni hili hapa, Huyu ni msemaji kwa niaba ya mwenyekiti na Chama Cha Mapinduzi View attachment 1467849 Click to expand... Inafuatwa desturi au katiba ya chama?
Cannabis said: Jibu lako ni hili hapa, Huyu ni msemaji kwa niaba ya mwenyekiti na Chama Cha Mapinduzi View attachment 1467849 Click to expand... Inafuatwa desturi au katiba ya chama?