Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Sasa unategemea wataendelea kupata wabunge mpaka ngumi zipigwe? Tunataka tume kura zinahesabiwa na kutangazwa bila ngarambe kabisaKwani hao wabunge 40 mliqapata kwa tume ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unategemea wataendelea kupata wabunge mpaka ngumi zipigwe? Tunataka tume kura zinahesabiwa na kutangazwa bila ngarambe kabisaKwani hao wabunge 40 mliqapata kwa tume ipi?
Watu walikesha kulinda kura na kupigwa juu ndio wakatangazwaKwani hao wabunge 40 mliqapata kwa tume ipi?
Wakifanya hivyo naacha ulozi nafunga kilinge najiunga na CCM kugombea nafasi nyeti.
Jr[emoji769]
Inafuatwa desturi au katiba ya chama?Jibu lako ni hili hapa, Huyu ni msemaji kwa niaba ya mwenyekiti na Chama Cha Mapinduzi