Uchaguzi 2020 Je, CCM itaruhusu wanachama wake wachukue fomu za kugombea Urais kama Katiba yao inavyoelekeza?

Uchaguzi 2020 Je, CCM itaruhusu wanachama wake wachukue fomu za kugombea Urais kama Katiba yao inavyoelekeza?

Wakifanya hivyo naacha ulozi nafunga kilinge najiunga na CCM kugombea nafasi nyeti.

Jr[emoji769]
Hawawezi kwa sababu wanajua huyu aliyepo hana mvuto na hakubaliki katika mazingira huru na haki, hivyo lazima abebwe.
 
huna hoja wewe kapuku , endelea kulipwa elfu 7 ili ujikimu
Jibu hoja sio kuleta hasira. Nani alitaka kumuua Membe? Na umeshaulizia ishu ya mzee Mangula Polisi? Na desturi ya kistaarabu ya Ccm kuachiana kijiti kwa amani baada ya miaka kumi inawahusu nini?
 

Hili ni swali tu ndugu zangu na wala halina uhusiano na jambo lolote lile.

Maana tumeanza kuona vyama vingine vya siasa vikiruhusu watia nia kujitokeza na kujitangaza.

Je, CCM nayo itafuata misingi ya demokrasia kama dunia na katiba ya nchi inavyoelekeza?


Sijui Membe kama halmashauri kuu haitaridhia kufukuzwa uanachama. Mwingine hayupo.
 
Hivi kumbe bado hajafukuzwa ? itakuwa damu ya Mangula imemuokoa

Katika press Pole Pole alieleza vibaya, ila Bashiru alisahihisha katika mahojiano na mwananchi.

Kimsingi kamati kuu ilitoa mapendekezo yake. Hayo mapendekezo inabidi yafikishwe katikia kikao cha halmashauri kuu ndio yenye mamlaka ya kumfukuza. Hicho kikao bado hakijakaa. Hivyo ndivyo sheria ilivyo kwa muujibu wa katiba ya CCM, kama figisu nyingine hazitatokea.

Ndio maana mpaka leo Membe hajapewa barua ya kufukuzwa chama toka kwa Bashiru. Tusubiri.......
 
Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Kwanza akijitokeza tu tuendako atakuja kupewa kesi ya kunyonya watu damu (muumiani)🤣🤣
 

Hili ni swali tu ndugu zangu na wala halina uhusiano na jambo lolote lile.

Maana tumeanza kuona vyama vingine vya siasa vikiruhusu watia nia kujitokeza na kujitangaza.

Je, CCM nayo itafuata misingi ya demokrasia kama dunia na katiba ya nchi inavyoelekeza?

Hapana kamati kuu itachagua watatu tu I guess
Rais, Professor maji marefu, Joseph msukuma.

Alafu baadae kamati kuu itateua wa Kwanza kumuandika katika hao

Simple sana naipenda CCM
 
Samahani wana jf naomba mnieleweshe maana sijui kila kitu

Hivi Rais wa sasa wa marekani D.Trump alipambanishwa na wagombea mwingine ndani ya chama cha Republican ili kugombania urais kupitia chama cha Republican.

Au George Bush alipogombea kwa mara ya pili 2004 kupitia Republican alishindanishwa na wagombea wengine
Au Barack Obama 2012 alipokuwa anagombea mara ya pili alipitishwa tu au alipambana na wengine ndani ya Democratic
Jimmy Carter alipambanishwa na akina Edward Kennedy
 
Dunia nzima customary law zipo. Na hizi huanza na customs. Mbona sheria zetu zinasema ukiua unanyongwa mpaka kufa. Lakini marais wametengeneza desturi ya kutokunyonga?
Sheria aijatamka kua ni lazma unyongwe mpaka kufa mkuu..tue tunasoma na kuelewa vizuri.Pili kwasasa watu awanyongwi kuna sababu nyingi..moja shinikizo la mashirika yanayo tetra haki za binadamu na mikataba ambayo nchi imeitilia saini/ imemwaga wino.
 
Je, CCM nayo itafuata misingi ya demokrasia kama dunia na katiba ya nchi inavyoelekeza?

Ubavu huo hawana. Dr Bashiru ni mbeba mizigo tu.
1591265143930.png
 
Shida ya CHADEMA inalindwa na jina na nembo yake.
Lakini mifumo ya utawala ina matatizo sana.

Jina linaakisi vingine viongozi wanafanya vingine.
Kwa hiyo mna hamu nanyi kubadili jina au vipi ?
 
Hivi kwanini Rais anasifiwa sana? Kila kitu rais kila kitu rais kuna agenda gani nyuma ya pazia?
 
Haahaa polepole kaweka mgombea wake mfukoni, anazuia wana ccm wengine kuomba ridhaa ya chama kugombea urais.kisingizio mila na desturi kinyume na katiba.mbaya zaidi msajiri yupo kiimya.
Akikohoa tu anateuliwa mpya hapohapo.
 
Haina ubaya wowote sema mnaweweseka. Toka 1984 mpaka 2020 ni utamaduni Ccm alafu leo hii ndio mjidanganye.
Huu utamaduni umejengeka toka 1984 ndani ya Ccm leo hii ndio mhoji kweli?
Kuwa muelewa. Customs huzaa kitu kinaitwa customary law. Kwa hiyo toka 1984 mpaka 2020 hii desturi imeshakuwa kama sheria. Acheni wivu pambaneni na Chadema inayokufa.
Polepole hajazuia watu kugombea. Ila desturi ndani ya Ccm zaidi ya miaka 36 imeshakuwa kama sheria. Wana Ccm kwa moyo mweupe huwa wanamuachia aliyepo madarakani kupeperusha kibenderaa.
Membe alitaka kuuliwa? Mangula kupewa sumu nenda kawaulize polisi.
Hoja hapa ni desturi ya Ccm kuwa wanamuachia aliyepo madarakani kumaliza ngwe ya pili. Ni suala la kawaida ndani ya Ccm. Nyie pambaneni na ishu ya ubadhilifu wa bil 8 kwanza.
Utetezi wa kuvunja katiba yao wenyewe
 
Back
Top Bottom